Mama Karume amuhakikishia Rais Kagame kuwa Mumewe alitokea Rwanda

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu ya Yanga amwemweleza Rais Kagame wa Rwanda kuwa mumewe alimwambia kuwa chimbuko lake na asili ya alikotokea ni nchi hiyo, Kagame alimjibu kwamba alishasema kuwa sisi majirani ni wamoja na ukifuatilia utakuta una ndugu Uganda, Rwanda ...............
 
Aliyasema hayo wakati timu hiyo ya Yanga ikiwa katika ziara nchini Rwanda kufuatia mwaliko wa Raisi Kagame
 
Sometimes mtu anapokosa story ambayo itamfurahisha mwenyeji wake basi hujikuta anaropoka lolote.
Si ajabua angeenda China angesema mumewe chimbuko lake ni China.
 
Yanga wamerudi jana moja kwa moja wakaenda kariakoo kununua mipira ya kufanyia mazoezi jioni.
 
Ni kweli mzee karume mama yake alikuwa mtutsi kutoka rwanda na baba yake alitoka malawi....hakuna uongo hapo!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
naamini hakutakiwa kusema maneno hayo maana si mahala pake, hata hivyo ukimchukua karume, joseph kabila na yoweri ,useveni na kuangalia wajihi wao, utashangaa wanavyolandana kwa wajihi wao, labda kweli wana chanzo kimoja
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom