Mama kanikataza!

Vodka

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
906
96
Mtoto mmoja kila akiulizwa jina lake alikuwa ana tabia ya kujibu, 'Mimi ni mtoto wa Mzee John'. Mama yake akamwambia,' Usiwe unasema hivyo, ukiulizwa sema naitwa Jane John'. bahati mbaya sana mtoto akakutana na mtu ambaye alimuuliza, ' Wewe siyo mtoto wa John?'. Mtoto akajibu,'Zamaninilikuwa nafikiri hivyo sasa mama kanikataza'...
 
Back
Top Bottom