Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
Hebu tuliza akili zako halafu ujipange kwenda mbele. Ukifanya mchezo utapoteza mwelekeo mzima wa maisha yako. Hiyo ndiyo historia yako. Hakuna kitu unachoweza kubadilisha. Na tayarii umekosea step kumvaa mama kwa kitu ambacho ni kizito kama hicho. Nakushauri uanze maisha upya kwa kujikubali (kwamba kweli wewe ni mtoto wa huyo mama, hata kama maisha yake huyapendi na yanakuumiza) na kuonesha upendo wa hali ya juu kwa mama. Mpende kama alivyo na unaweza kushangaa. Naamini utaweza kutuandikia kitabu siku moja.
Ubarikiwe sana.
Utu uzima Dawa; DC
Ubarikiwe sana.
Utu uzima Dawa; DC