Mama kabaka anaijua Tanzania?(anajua ajiri anazozungumzia?)

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
mwalimu huyu ambaye leo ni waziri wa kazi na ajira,amenishangaza kuzungumza swala la ajira ambalo ni BOMU lijalo kubwa,ktk hali ya kimasihara kiasi hicho sijui kama anafanya utafiti au wanasema tu.mfano udom walitangaza nafasi za mawarden 30 wakaomba elfu 6 hao ni graduate's.sasa mathalani kwa mwaka wanagraduate laki 8 hiyo bajet ijayo itakuwa ya trilion ngapi? Aweze kumudu hili?.badala ya kupanua fursa na kuleta mitaala ya kumfanya mtu aelimike na kuweza kujiajiri tunan'yany'ana na kukariri copy and past ili tupate vyeti.hapa panaitaji utafiti wa kina si siasa tu
 
Back
Top Bottom