Mama Joyce Ndalichako:

Rafiki hujanielewa. Ninachosema hapa ni usiri. Hata wewe hapo una siri ambazo hutaki watu wazijue. Privacy ya mtu iheshimiwe. Matokeo ya mtu ni haki kuwa siri yake, natural justice dictates that. It should not be for public consumption. Hatusemi abadilishe matokeo, afiche siri za matokeo ya mitihani ya watoto. Ni mazoea ambayo yanakiuka haki za mwanafunzi. najua tumezoea hivyo tangu ukoloni. It is now time to reverse that trend.

ndio maana hata mikataba kati ya serikali na wawekezaji mnafichwa kwa sababu ya huo usiri unaoutaka! hivi kwa mfano mtoto wa jk angepata div1 ungemuomba Ndalichako atoe matokeo kwa namba ili watu wasiwe wanaona div1 za watu? siku nyingine utasema hata shule ziandikwe kwa namba tu ili kuficha siri za hizo shule! umenikera.....:smash:
 
Haya mambo ya kufichaficha ndiyo maana na nchi inakwenda hayahaya ya natural justice, matokeo ya mtihani sidhani kama ni siri kiasi hicho,mwisho wa siku inakuwa suala la umma. Katika hili la mtoto wa JK acha wamjadili hayo ndiyo matunda ya ubinafsi.
 
kwa mwendo huu... Inawezekana kabisa bajeti ya kumsafisha Mwanaasha imeshategwa!!:smash:
 
Sijakupata vizuri....
una maana yakiwa mazuri waweke majina na yakiwa mabaya ndo waweke namba??
mmmh sidhani kama hili ni jambo baya bali naiona kama changamoto.
Watanzania tupende kuukubali ukweli hata kama unauma kiasi gani ili itusaidie kubadilika
 
ndio maana hata mikataba kati ya serikali na wawekezaji mnafichwa kwa sababu ya huo usiri unaoutaka! hivi kwa mfano mtoto wa jk angepata div1 ungemuomba Ndalichako atoe matokeo kwa namba ili watu wasiwe wanaona div1 za watu? siku nyingine utasema hata shule ziandikwe kwa namba tu ili kuficha siri za hizo shule! umenikera.....:smash:

Nimekwambia wewe unabishana na hasira. Nimekwambia personal privacy na sio public privacy. Shule ni public, lakini mwanafunzi binafsi sio public information.
 
Dr Ndalichako ebu fikiria suala la sms mtandao, watahiniwa watakiwe kuandika namba zao za simu ambazo zitaingizwa kwenye database na kuconnect na server ya baraza matokeo yakitoka tu automatically yanamfikia mlengwa. ingawa kwa vijijini bado safari ni ndefu kwa huduma hii. check if possible
Hilo mbona lipo siku nyingi tu. Lakini mfikirie wasio na uwezo wa kutumia simu
 
Back
Top Bottom