Mama huyu anatumalizia watoto wetu!

....by the way wewe Kiroroma unazungumzia mtaa gani, maanake nasoma location yako umeandika uko Lady Brand RSA? Ni hapa Bongo au maana naona watu wameanza kujadili sheria zetu na kauli za Rais wetu. Isije kuwa uko ng'ambo

Ni vema ukasoma thread hii tangu mwanzo ujue wenzako wanasema nini kuliko kukurupuka tuu na njozi zako ambazo hazijakamilika.Mleta mada ameweka kila kipasacho hadharani,Jukumu letu ni kumpa mchango wa mawazo ili janga hili lisimalize Taifa kwa mtindo huo!!Please read btn the lines!!
 
Taja jina , umri, kazi yake , mtaa wake. Ili iwe rahisi watu kumng'amua, maana kama utaficha jamii itajifunzaje
 
Ni vema ukasoma thread hii tangu mwanzo ujue wenzako wanasema nini kuliko kukurupuka tuu na njozi zako ambazo hazijakamilika.Mleta mada ameweka kila kipasacho hadharani,Jukumu letu ni kumpa mchango wa mawazo ili janga hili lisimalize Taifa kwa mtindo huo!!Please read btn the lines!!
wewe mwehu kweli aliyekurupuka kati yangu na wewe ni nani? Kwani kumuuliza mtu anakoishi ni kosa au ndio unalivyolelewa wewe, acha unanii wako wewe
 
jamani hebu nendeni haraka kwenye vyombo vya usalama mtoe hii report ili waanza upelelezi juu ya hili na kama lina ukweli wachukue sheria fasta kabla kizazi hakijaendelea kuteketea
kuna watu wana roho za kinyama hapa duniani looh

vyombo vya usalama vifanyeje?mbona kutwa tunaambukizwa virusi kule corner bar lakini haturipoti katika vyombo vya usalama...mwache mama awape watoto kitu roho inataka,juu ya nini kwani!!!
 
vyombo vya usalama vifanyeje?mbona kutwa tunaambukizwa virusi kule corner bar lakini haturipoti katika vyombo vya usalama...mwache mama awape watoto kitu roho inataka,juu ya nini kwani!!!

eeeh kigogo hivi wewe ni mzazi kweli??
 
wewe mwehu kweli aliyekurupuka kati yangu na wewe ni nani? Kwani kumuuliza mtu anakoishi ni kosa au ndio unalivyolelewa wewe, acha unanii wako wewe

Sipo nadhani wewe ni mwehu sawa sawa manake unakwenda mzobe mzobe tuu na kujibu majibu yasiyoeleweka na maswali yenye majibu tayari.Mbona hivyo??ACHA UGOMVI WEWE!!
 
wewe mwehu kweli aliyekurupuka kati yangu na wewe ni nani? Kwani kumuuliza mtu anakoishi ni kosa au ndio unalivyolelewa wewe, acha unanii wako wewe

Sipo,

Msichoelewana ni kidogo, mwenzio anataka kukwambia pitia thread nzima kabla huja uliza swali......coz maswali uliyouliza mtoa mada ameshajibu huko mwanzoni, ww inaelekea umeingia kny last post siyo?....msitoane macho bure.......!
 
WE KIROROMA NA WAZAZI WENZIO NDIO WAUAJI, yaani kweli mpaka unafikia kulileta humu JF, ndio upate solution na wakati watoto wanaangamia, hapa hakuna cha ushauri wala nini uamuzi unao na unaujua ufanye sasa
 
Kiroroma mpaka umemlete huyu mama hapa jamvini wewe umechukua hatua gani kwa vile kimekuuma kama mzazi/mlezi?
 
Sasa hali hii tuifanyeje? Uongozi Serikali za Mitaa una habari hata na mume wa huyo mama ana habari pia naye ni mwathirika.

Hakika huyo mama si wa kuoneya aya. Shirikiana na wazazi wa watoto waliochezeshwa libeneke na huyo mama muuaji; kisha ita waandishi wa habari -itapendeza kama ataoneshwa kwenye luninga na magazeti; pamoja na polisi ili akamatwe. Hapo tutakuwa tumeueleza umma kuwa kuna wauaji wa watoto wetu wa jinsi hiyo, na yeye mwenyewe atakuwa akielekea kwa Pilato kwa mashitaka ya matendo yake mwenyewe.
 
kuna mama mmoja mitaa ya mbezi ana mshiko si kitoto ni huyo nini? kama ni huyo mnamsingizia hana ngoma....
 
I wonder? i don't know what to say. Ikiwa ni kweli huyu mama atamaliza watu. Ninadhani wanalijua suala hili watoe taarifa hata kwa siri ili uwekwe mtego wa kumkamata mama huyo.
 
Kiongozi hili suala sijui kama limeshatungiwa sheria, nilisikia kuna plan kama hiyo ila sijui maendeleo yake. Kama bado halijatungiwa sheria ndio hivyo tena vijana inabidi waanze mapema ARV, hakuna la zaidi.

Hii sheria itasaidia nini kama mtoto alishaambukizwa.....,ama tukawanyonge hadharani kama mamombi ya chama cha maalbino wale wauwaji wa maalabino wanyongwe hadharani
 
Mimi nashauri haraka sana weka mambo hadharani, Tuache USIRI, taja jina lake, mtaa na hata nyumba namba. Kwani kuwaficha watu kama hao ni kuliangamiza Taifa. Tusimwonee aya

kabisa mkulu...hawa ndio wanaoangamiza nchi..yawezekana umeleta hili kwa nia njema lakini kama umekaa kimya bila kutaja mtaa...jina lake hakuna tofauti na huyu muuwaji wa watoto wetu...natumai umelewa lengo letu..unaweza ukawa unaua kwa maneno na wanaouua kwa vitendo mwisho wa vitendo akawa ana afadhali......haya njoo sasa usiogope hata kama ameptiwa nduguyo ,rafiki yako,,,taja anza sasa
 
kuna mama mmoja mitaa ya mbezi ana mshiko si kitoto ni huyo nini? kama ni huyo mnamsingizia hana ngoma....

mkuu YO YO unaweza kutusaidia kwenye uchunguzi wa polisi kwa hili...una msaada mzuri sana
 
Sasa Kiroroma mbona umechagua kutopokea PM? au hii story ni fafa nini?

we need to expose these problems, open up buddy!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom