Mama Hellen Kijo Bissimba ndani ya Channel ten akiongelea yaliyojili Salenda Bridge

Wanaharakati wameongea kwa uchungu kweli serikali sikivu isikie hata kidogo.now lusekelo anaongea upuuzi eti madaktari wanaroho za shetani
 
Samahani hivi lusekelo waumini wake hawatoi sadaka? Nauliza ili nikazimie haya anayoyaandika
 
Wanaharakati wameongea kwa uchungu kweli serikali sikivu isikie hata kidogo.now lusekelo anaongea upuuzi eti madaktari wanaroho za shetani

kama anaona huruma si aende akawaponye ye anaitwa mponyaji?
 
Lusekeleo bila sadaka atatoa huduma????
Na akigoma kutoa huduma yeye tumwiteje?
 
No. Nashindwa kuvumilia hizi pumba zake. Hivi madaktari hawali? Hawalipi kodi ya nyumba? Wasipolipa umeme, maji hawakatiwi kwa kuwa ni madaktari? Hawalipi nauli? Hawalipi kodi? Hizo hela za kulipia kipindi anazitoa wapi kama siyo sadaka za hao madaktari. Hili jamaa li mbumbumbu kweli
 
Lakini hawa wanaharakati wanahitaji pongezi kubwa sana maana wamejitoa zaidi ya wapiga kelele wengi. Mungu atawatangulia katika kila jambo
 
Samahani hivi lusekelo waumini wake hawatoi sadaka? Nauliza ili nikazimie haya anayoyaandika

Achana na akina Lusekelo hao wanatumia nguvu za giza kuwachanganya waumini. Hawaishi kwenda Nigeria kila mwaka kupeleka mamilioni na kupewa vibuyu vya kuchagi makanisa yao
 
huyo Lusekelo hana tofaut na sheik yahya ispokuwa yeye amenyimwa uwezo wa kumiliki ma,,,,j,,,ini!!!!!

Heko mama Bisimba na timu yako!!!!!, hongera sana pia Dr.Ulimboka na kamati yako kwa kuichachafya serikali hadi sasa imewasimamisha kazi mganga mkuu wa serikali na katibu mkuu wa wizara ya Afya....., tunasubiri maamuzi ya kina ya ma-DR.!!!
 
Wanaharakati wameongea kwa uchungu kweli serikali sikivu isikie hata kidogo.now lusekelo anaongea upuuzi eti madaktari wanaroho za shetani

Unachobisha ni kitu gani? wewe uliona wapi mtu anaacha kwa makusudi mtu mwingine afe?
 
No. Nashindwa kuvumilia hizi pumba zake. Hivi madaktari hawali? Hawalipi kodi ya nyumba? Wasipolipa umeme, maji hawakatiwi kwa kuwa ni madaktari? Hawalipi nauli? Hawalipi kodi? Hizo hela za kulipia kipindi anazitoa wapi kama siyo sadaka za hao madaktari. Hili jamaa li mbumbumbu kweli
Kanisani kwake hakuna madaktari wala manesi.
 
Back
Top Bottom