Mama hamtaki mpenzi wangu

kishoreda

Senior Member
Nov 2, 2010
174
29
Jamani habari zenu!Naomba ushauri wenu jamani mm ninataka kumuoa binti mmoja ambae alikuwa beki tatu wetu zamani ila mother wangu hakubaliani na mm ila mm nampenda sana na kwa moyo mmoja na nimemuahidi nitamuoa.Sasa nifanye nn kumshawishi mother amkubali Nisaidieni jamani.

Niliongea na dingi akaniambia kuwa mwanaume huwa achaguliwi mwanamke wa kuishi nae ila akaniambia tatizo liko kwa mother.Na katika utafiti wangu nimegundua mother anaona aibu kwani atakuwa amefanya kazi ya kuniletea mke ndani na isitoshe eti mwanamke mwenyewe hajasoma.Na pia mm binti nimemfungulia biashara na home alishaondoka long time sana kwani mahusiano seriously yalianza baada ya yy kutoka home.
 
Jamani habari zenu!Naomba ushauri wenu jamani mm ninataka kumuoa binti mmoja ambae alikuwa beki tatu wetu zamani ila mother wangu hakubaliani na mm ila mm nampenda sana na kwa moyo mmoja na nimemuahidi nitamuoa.Sasa nifanye nn kumshawishi mother amkubali Nisaidieni jamani.

Mazarau hayo kijana
 
Mweleze mama yako akuelewe tu kwamba mapenzi ni popote, na unaweza muoa huyo msichana ukakaa nae kwa amani na upendo kuliko anaowafikiria mama yako, pia unaweza tafuta ndugu mwingine kama mjomba hivi ili amweleweshe mama yako, pole ndio mapenzi yalivyo
 
mpe ujauzito kwanza huyo msichana alafu ndo umwambie mama yako akuelewa
 
Ungekuwa umeeleza sababu za mama yako kumkataa ingekuwa rahisi kukushauri lakini kwa sasa ni vigumu kujua kwa nini mama anakataa,wazazi huwa na sababu za msingi sana wakati mwingine sio vizuri kuwapuuza,jaribu kumuuliza kwanza kabla hujafanya lolote!
 
pole sana ndugu yangu.......hope hata wewe ulitegemea kukutana na vikwazo kma hivyo
vuta muda kidogo huku ukiwa unaongea na mama yako taratibu tu atakuelewa na mwisho wa siku mtaweza kuoana
usiwe na haraka ukweli ni kwama kwa mzazi yoyote yule lazima angesita kidogo....
 
Ina maana uliwahi kula wakati akiwa beki 3?
Ni bora ujue kwa nini mama yako hampendi. Kumbuka kwua mama yako atakwua ameishi naye kwa karibu sana na kuna kitu inaweza kuwa aligundua!

Au mdingi alionja na sasa mama hataki/hawezi kukwambia....
 
Mama yako nadhani ni mtu mzima, naamini kabisa hawezi mkataa pasipo kukupa sababu.. Acha kuandika vitu nusunusu toa maelezo ya kutosha kwani kwa styl hi uwezi pewa ushauri utakao kufaa,
 
We kama umempenda mtoe hapo mfanye awe na hughuli ingine ya kumfanya awe bize ili mama ako amkubali, mapenzi yakishakua huwezi tena kujizuia nashangaa wamama wengine huwa hawaelewi kabisa
 
Ungekuwa umeeleza sababu za mama yako kumkataa ingekuwa rahisi kukushauri lakini kwa sasa ni vigumu kujua kwa nini mama anakataa,wazazi huwa na sababu za msingi sana wakati mwingine sio vizuri kuwapuuza,jaribu kumuuliza kwanza kabla hujafanya lolote!
Thats it bra...
Y
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom