Mama Diamond Ni Moja ya Walionifanya niache kumshabikia Diamond

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,957
28,436
Wakuu Salaam Sana
Mimi Nilikua shabiki mkubwa wa Diamond Platinums Baada ya uswahili na uanakijiji uliopitiliza wa Mama yake kujianika privacy zao kwenye mitandao ya kijamii na kuonekana familia yake hawajiheshimu nimeacha kumshabikia Mond na nimeshachoma kazi zake zote za kwake nilizonunua , mliobaki kama mashabiki zake mwelezeni aige mfano hata kwa wasanii wengine wakubwa ambao mama zao hawatukani hovyo kwenye mitandao ya kijamii.
 
khaaa.. sasa we unamfuatilia huyo mama ndio muimbaji.. ndo anapandaga strjini kukuburudisha? .. kwanini usi concentrate kwa diamond tu.

hata hvyo usipomshabikia sisi tutafanya hvyo..

Unataka aniburudishe? Wewe koboko hupendi ujinga
 
Back
Top Bottom