Mama Diamond amwaga machozi kwa uchafu wa mwanae

masuper star hawaoi wanatakiwa wabadili tu madem wakioa basi na u supastaaa unaanza kuisha pili huyo mdada atayeolewa anajitafutia shida tu kila cku atakua analalamika ovyo oooh jamaa hatulii wakat kwa kazi yake kuchapa madem ndio part and parcel!!! diamond anatakiwa azae tu ataoa akifika miaka 35 labda
 
Mwenzangu na sie tukashike midolaliiii atiiii.Mwenzangu kwani akiongea kingereza unadhani utaniona hapa.Thubutuuu!!!

Si ndio nakushangaa hapa unamchokonoaaaà tumuombee na warumi nae akabebe boksi alivyo mbea sasa ataweza kulea watoto yulee
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mi nipo serious pia nayajua maisha ya bongo si mazuri hadi mnaitwa dunia ya 3 ngoja niamke tutaongea vizuri inakaribia saa 10 alfajil sasa

Haya lala basi nawe mfadhili mwisho majogoo yaanze kuwika na wakati asubuhi tena unatakiwa job
 
Hahahaha haki ya nani warumi atafanya tuachishwe kazi kwa umbea wake maana kama namuona.Ila sasa je kingereza cha huko tutaweza kweli kupeana ubuyu???

kuna walatino uku na raia wengine hawajui english kabisa lakin boksi linaenda.

cha muhimu kama english ni shida mnipm nitawatumia video za kujifunza yani hizo ndani ya wik moja mnatapika ngeli kama hamna hakili nzuri.
 
Last edited by a moderator:
Miaka 25 aoe, anakimbilia wapi? Ningepata kumshauri ningemwambia asubiri 30s
 
kuna walatino uku na raia wengine hawajui english kabisa lakin boksi linaenda.

cha muhimu kama english ni shida mnipm nitawatumia video za kujifunza yani hizo ndani ya wik moja mnatapika ngeli kama hamna hakili nzuri.

Yaan tumbo linaniuma kucheka ujue kwa hiyo lazima tujue ngeli si tutaijulia huko huko ee
 
Yaan tumbo linaniuma kucheka ujue kwa hiyo lazima tujue ngeli si tutaijulia huko huko ee

mtaijulia uku si lazima watu wengi hawajui ,mfano kuna kazi ukionyeshwa video tu jinsi ya kufanya utafanya tu ata kama lugha shida ukiona video vile kazi inafanywa lazima utajua tu
 
Back
Top Bottom