Mama Diamond amwaga machozi kwa uchafu wa mwanae

...once said that she her son Diamond Platinumz to get married so that she stops appearing with her girlfriends........... ...................meanwhile the heath of her mother is dwindling...

Kama kiingereza chenga si uwakilishe kwa lugha ya nyumbani tu. Kwanza wasomaji wenyewe wote hapa waswahili, tabu yote ya nini?
 
Mnamsingizia bi sandra

Kuwa mama harafu kijana wako mdogo akubadilishie waka mwana na Kazi yako uwe unauza nao sura kwenye mitandao na magazeti Uku wakibadilishwa Kama nguo na kijana wako harafu uone Kama utajisikia vizuri,harafu utasemaje namsingizia wakat picha ziko wazi au uoni Kapime macho
 
Huyo mama yake Diamond simjui ila wamama aina hii wanaolilia watoto wao
wa kiume kuoa, ni hatari. Siku Diamond akioa kwa pressure ya mama Diamond atajuta.
Mama ataanza maneno mengi sana dhidi ya mwali wake.
 
Back
Top Bottom