Mama Chiku Abwawa,Karibu rasmi Jimbo la Isman.

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Jimbo la Ismani ni moja kati ya majimbo maskini Tanzania na mkoa wa Iringa.Ni jimbo linalongoza kwa njaa,ukosefu wa Elimu,maji na huduma ya Afya. Kwa mda mrefu vijana na wazee wamehtaji mabadiliko lakin hawakupata wa kumdhamini,alikuwepo Dr.Kapwani kwa tiketi ya Chadema,lakini alikuwa mwepesi kwa kuhongwa na hatimaye kutorudisha fomu adi siku ya mwisho(Mungu ampe uzima mana amepooza) Tumefarijika na ujasiri wa Chiku Abwawa,tumeona harakati zako,na usisite kutembelea Jimbo la Isman walau upate shida na matatizo yetu uyapeleke Bungeni.Mbunge wetu hatuwakilishi,hatujawah muona na wala hajawah kutetea maslah yetu kwa kisingzio kuwa n waziri wa Serikali. Vijiji vyetu havina maji,hatuna huduma ya afya ya uhakika.Maji tunapata toka mto Ruaha,makorongoni msimu wa mvua na bwawa la Mtera ambayo si salama kabisa kwa afya zetu. Vituo vya afya n kwa msaada wa kanisa,vijana hawana uwezeshaji na hatuna wa kutusemea Dunia ikajua dhima na shida zetu.Karibu mama Chiku Abwao,katka wewe tumeona matumaini. LUKUVI VANGIMEMBE WILLIAM ametukimbia,hayupo tena nasi.
 
Mama amewasikia atakuja. Dr Slaa alisema anataka wabunge viti maalumu CDM wawe wenaoweza kujenga hoja na hilo amelifanikisha, hawajapeleka vilaza kama wa CCM. Naamini Chiku amewasikia watu wa Izazi, Mandela, Champumba, Migori hadi Nyang'oro, nadhani akitoka bungeni atafika huko.
 
Mama amewasikia atakuja. Dr Slaa alisema anataka wabunge viti maalumu CDM wawe wenaoweza kujenga hoja na hilo amelifanikisha, hawajapeleka vilaza kama wa CCM. Naamini Chiku amewasikia watu wa Izazi, Mandela, Champumba, Migori hadi Nyang'oro, nadhani akitoka bungeni atafika huko.
<br />
<br />
Nditolo duh..hadi Makumbiko,Nyegere,Kinyali,Mbweleli,Itunundu,Mapogolo na Makatapola..hawanywi maji,bali n tope sawa na punda na ng'ombe wao
 
Huyo ndio Dr.Slaa,Daktari wa Ukweli,maana sifa moja wapo ni kufundisha watu wakafundishika.Sasa Jakaya Kikwete na udaktari wake wa kupewa matokeo yake hata Wabunge wake viti maalum kila kitu wanasubiri kupewa maskini hayawani wakubwa wale.Sasa Lukuvi kwa taarifa yenu na darasa la saba yake kudanganya watu alisoma Highlands,ukiangalia Attendance jina lake lina ning'inia Halali tena usingizi,maana Mama Chiku anamfahamu fika sumu zake.Vile vile kwa msisitizo,ushindi wa Msigwa pale tauni ulichagizwa sana na huyu mama Jamani.Lukuvi bye bye(bai bai),Nyie tazameni,ushindi alipita bila kupingwa-Chaajabu Kura za Uraisi aliongoza Dr.Slaa against JK!!Sasa Kapwani maskini wa watu,Watu wa Isimani wamemshitaki kwa Muumba,kapalalaizi baada ya kumuuzia Vangimembe jimbo.Fuatilieni Bungeni,Wakati Mama Chiku anachangia Lukuvi huwa kama analia vile.......<<>>2015 Isimani hakuna kulala na hakuna kudanganyika tena(Najua hamkudanganyika ndio maana Mlimchagua Dr.Slaa)
 
Back
Top Bottom