Mama au mke?

Hana shida na hela zangu wala mimi za kwake. Mimi ndio provider wa all the basics hela zake yeye zaidi naona ni kuremba nyumba. It works for us.
 
duh yaani mke wangu alivyohuru na atm yangu na mshahara wangu mpaka siamini km bd kuna wanawake wanatengwa kiasi hiki duuuuh.
 
LD. Ni sehemu yangu sana tu. Na labda niongezee kitu,hanyanyasiki kwa lolote na huwa tunawekana wazi kwa vitu vitukeravyo. Pili she has her businesses and she is happy. Ukweli sina mashaka nae LAKINI ukweli pia ni kwamba binadam ni binadam,nimeona mengi kwa ndugu na marafiki kusalitiwa,nami kuumiza kichwa ni ili nami nisije umizwa kama hao wengine.

Kwanza pole kwa majereha uliyoyapata kwa jamaa zako, hadi ukafikia kutomwamini mtu unayelala naye kitanda kimoja. Naomba kuuliza tena. Wewe unamwamini mama yako kuliko unavyomwamini mkeo?? Yani moyo wako unafunguka kwa mama yako kuliko kwa mkeo?? Sio lazima ujibu hapa jijibu hata moyoni. Halafu fikiria maisha ya mkeo wakati ambapo labda Mungu ameamua kukuita kabla yake.
 
Pili she has her businesses and she is happy. Ukweli sina mashaka nae LAKINI ukweli pia ni kwamba binadam ni binadam,nimeona mengi kwa ndugu na marafiki kusalitiwa,nami kuumiza kichwa ni ili nami nisije umizwa kama hao wengine.
Acha kuishi kwa wasiwasi!Kama usaliti ungekua unatokea kwa kila mtu usingeoa on the 1st place kwasabu wanandoa kibao wanasalitiana..sio kila mtu ni mbaya!Mwamini mkeo mpaka atakapokupa sababu ya kuacha kumwamini!
 
Ilikua noma eti,kidogo nikimbia. Nimetukanwa nahis tungekua uso kwa uso wangeniharibu reception kabisa. Lol.
Sidhani kama kuna aliyekutukana!Tumetoa tu mawazo yetu katika hali ya kukereka kwa jinsi unavyomchukulia mkeo!
 
Anyways fine lets not take this issue personally.
Ila next time LD na lizzy kumbukeni watu tuna background na upbringing tofauti mtu akiomba ushauri msikimbilie kumshutumu na kumtukana,hamtaweza kumshauri aone vitu from your angle.
Mimi nimewaelewa,namwachia everything.
Ila natenga ka 15 au 20 m hivi JUST INCASE! Maana nikikuta hola sijui ntawapata wapi nyie. All is gud.
 
Ila next time LD na lizzy kumbukeni watu tuna background na upbringing tofauti mtu akiomba ushauri msikimbilie kumshutumu na kumtukana,hamtaweza kumshauri aone vitu from your angle.
Mimi nimewaelewa,namwachia everything.
Ila natenga ka 15 au 20 m hivi JUST INCASE! Maana nikikuta hola sijui ntawapata wapi nyie.
Pole kama umehisi kutukanwa!Issue uliyoleta imetugusa sana ndo maana tumekua wakali kidogo!Asante kwa kuelewa!Be blessed!
 
Habari wakuu. Naomba tubadilishane mawazo kwa hili.
Naenda kusoma nje. Mshahara wangu utaendelea kuingia kwenye akaunt yangu ambayo nayo ndio naitumia kwa biashara zangu. Sasa navyoondoka sijui kadi nimpatie mama au mke kwa ajili ya kuendelea ku run shughuli na matumizi mengine. Wife hajui kipato changu taslimu na ni vizuri,ila kwenda kuomba kwa mama inaweza ikawa kero.
Mwalioneje hili?
Kama Humwamini kiasi hicho unaweza kuandika standing instruction kwa mwajiri wako akawa anapeleka sehemu ya mshahara wako kwenye akaunt ya mkeo . Otherwise, Imani muhimu .
 
Anyways fine lets not take this issue personally.
Ila next time LD na lizzy kumbukeni watu tuna background na upbringing tofauti mtu akiomba ushauri msikimbilie kumshutumu na kumtukana,hamtaweza kumshauri aone vitu from your angle.
Mimi nimewaelewa,namwachia everything.
Ila natenga ka 15 au 20 m hivi JUST INCASE! Maana nikikuta hola sijui ntawapata wapi nyie. All is gud.

Samahani kwa yote kaka angu, lakini namshukuru Mungu umeelewa, asante kwa hekima yako pia. Chukua changanya na zako, ili uwe na ndoa yenye furaha na amani. Ndoa ambayo hata watoto wako watakuja kusema tunamskuru Mungu kwa sababu ya Baba na Mama yetu. Barikiwa sana.
 
We mwanaume vipi?Yani una mke alafu mama yako ndo asimamie mambo yako?Unless mkeo humuamini linapokuja swala la pesa au unamwona sio smart enough kufuatilia shughuli zako humtendei haki kabisa!Yani unajaribu kutengeneza bomu linaloweza kulipua ndoa yako wakati wowote!Eti mke aende kwa mama kuomba pesa!Nwyz kabla sijaendelea naomba kuuliza kwanini unaonyesha kutokumwamini mkeo?Kwani akiujua mshahara wako utapungua?

Kuna vitu unavyoweza kuvionyesha hadharani but NOT upumbavu wako!
Jaribu kuficha upumbavu
 
Mmh hata cjui nisemeje! Natamani tungekuwa ana kwa ana mana mie mvivu wa kuandika... Nways uyafanyayo sasa yatadetermine sana ukitoweka ghafla namna watakavomhandle mkeo hao relatives zako yani bado unaallow mkeo kuwa controlled na outsiders! Kamaunataka pesa isitumike yote tenga kiasi cha yeye kutumia kila mwezi na kiasi ambacho utataka asave kila mwezi! Kama ikitokea dharura akipitiliza pia utamuelewa I kno unaweza rudi hata likizo kama ni muda mrefu then utaona tu what kind of wife u have! Lazima urisk na kuweka imani fulani kwa mwenzio! Akiharibu bado u can see how to handle your issues mwaka mbona ni muda mrefu kuwa umeshamjua mwenzio jamani na utatuzi wake should be within your house piga ua ukitaka ndoa yako idumu unaepuka mengi!
 
Pongezi kwa ushauri mzuri,LIZZY, LD & CARMEL!!!! You girls are smart and considerate!!!nimewapa thanks zenu,i wish i could give more!!:coffee:
 
Back
Top Bottom