Mama apotea ghafla salendar bridge

inasambaa haraka ni kwasababu ya jamii inataka kusikia miujiza, maluweluwe, ajabu na kila ushenzi,
ukitaka kujua jamii inakula nini ktk sekta ya habari na mawasiliano ya umma, wewe tazama namna habari za udaku zinavyo pokelewa, simple mind inatokana na elimu legelege, malezi ya hovyo hovyo..............hakuna lolote, ni ujinga mtupu.

Si afadhali hata ya ujinga. Ni upumbavu mtupu.
 
Ni habari ya uzushi. Wa-Tz tuache mambo ya "Alipita Kipepeo mtoto akaumwa Degedege". Tuwaze mambo ya maana. Hii ni Karne tofauti
 
Usicheze karibu na Fidel anapenda sana bata ! Nipo si unajua leo njia ya msalaba

Muulize hata tukiwa chawote au zero, am always next to my big brother Iribini!!!

fide na mimi ni ng'ambo na ng'ambo!!!!

ooh yeah sikosei unaisalia hapo ulipo lakini si church tena unaiendesha wewe mwenyewe (katekista masa)
 
Hapana nimeenda kabisa church na nimefuata kabisa all stations of the cross
 
takriban wiki nne zilizopita wapo radio nilisikia ushuhuda wa shehe mmoja ambaye sasa ameokoka,alisema alikuwa mchawi wa kutupwa na ameua wengi sana ktk ushuhuda wake alisema amehitimu uchawi chini ya bahari na aliingilia chini ya bahari kupitia pale salenda bridge na nilishasikia ushuhuda kwa watu wengine kama watatu hivi wakisema pale salenda bridge kuna lango chini la kuingilia kuzimu kuweni macho wadau msikubali kumpa mtu lift kuna jamaa alitoa lift akajikuta siku ya tatu amelala beach kuduchi hana nguo na gari lake limeegeshwa chini ya mbuyu.Wenye upako angusheni maombi ya nguvu lifungwe lango
 
hizo hadithi tu, kweli mtu alieua anaweza kujisifu, watakutoa roho wananchi wenye hasira.
waambieni wakatoe shuhuda hizo shinyanga....
usiamini katika maneno yakusikia sikia, hayana mashiko, hizo alcadabra mjomba, wenye akili hawadanganyiki.
 
kama ni hivyo basi ni hatari kwani yule muhubiri alikuja siku mbili na akazidi kuendelea kuhubiri huko mbagala,kwa masikio yangu alimtaja mwanamke mmoja wa magomeni aliyemuua kwa sababu ya kukataliwa,alimpiga kitu akalazwa amana hospital,akaenda akambadilisha akaweka jini lake akampeleka ktk chumba chake cha mauji sharifu shamba akamwamsha akamwambia ulisema nikukome ndiyo nakukoma sasa akamaliza;sijui ujasiri huu aliupataje,ila huyo bwana anafahamika alikuwa mkorofi sana ktk mihadhara ya chuki,kama haya mambo ni fix basi haya makanisa yetu ya kilokole yanahusika na kushiriki kwa nini kila mara ni huko tu?
 
Mh, jamani inabidi Jiji la Dar-es-Salaam liweke bayana jina la hilo daraja manake leo ndio nasoma hapa kumbe linaitwa "surrender" bridge?

:) Enjoy the weekend
Hata hilo uliloandika umelikosea,ukipita kwa miguu pale darajani utakuta limeandikwa selander bridge,na sio surrender au salender!!
 
Hata hilo uliloandika umelikosea,ukipita kwa miguu pale darajani utakuta limeandikwa selander bridge,na sio surrender au salender!!

watu wana-surrender mengi pale Mchajikobe acha tu liitwe hivyo
 
Hata hilo uliloandika umelikosea,ukipita kwa miguu pale darajani utakuta limeandikwa selander bridge,na sio surrender au salender!!

Haswa!! Nafahamu mkuu ndio maana nikaandika namna hiyo, alieweka mada hii aliandika "surrender" bridge.

My post was on the light side, I know it is Selander bridge, not Salender and certainly not "surrender"!!

Have that nice weekend, will you?
 
Haswa!! Nafahamu mkuu ndio maana nikaandika namna hiyo, alieweka mada hii aliandika "surrender" bridge.

My post was on the light side, I know it is Selander bridge, not Salender and certainly not "surrender"!!

Ghave that nice weekend, will you?
Thanx for being positive,One love to you wherever you are!!
 
Mh, jamani inabidi Jiji la Dar-es-Salaam liweke bayana jina la hilo daraja manake leo ndio nasoma hapa kumbe linaitwa "surrender" bridge?

:) Enjoy the weekend

heheheheeeeeee, umenichekesha sana, kwa kweli jina hilo haliandikwi hivyo ila ni matamshi ndio yanayowalemaza watu! tunaliomba jiji kuweka kibao cha kuonyesha jina la daraja!!!!

ila story hii haijaniingia akilini unless nionyeshwe huyo mama kwenye luninga na nduguze wakitoa maelezo hayo hadharani au angalau huyo traffic police atoe ushuhuda hadharani, naiona kama hadithi ya popobawa vile!! wakati mwingine zinaleta mkanganyiko na hofu kwa wananchi
 
maisha magumu walahi lazima tulogane sana maana kwa ufisadi mnafakamia mihela ya watz sasa dumba dumba tu mpaka kieleweke. iko siku mbunge na atadisapia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom