Mama afia lodge na mme wa mtu

Nimepata habari mbaya na za kusikitisha kuna mama mmoja amefia Rombo Green View maeneo ya Shekilango akiwa na hawala. Inasemekana mama huyo alikuwa hapo anavinjari na huyo hawala ambaye ni staff wa mme wake huko Mkwawa.
Mama alikuwa ni mtu mzima yaani mama wa makamu. Polisi wanamshikilia hawala kwa uchunguzi zaidi mwili wa marehemu hauna majeraha yoyote yale. Tukio limetokea week end hii.
Yawezekana mama alipata utamu mpaka akapitiliza na kulala fofofo na kushindwa kuamka.

sasa yeye mpaka anakamtwa alikuwa ansubiri nini? ukishaona hivyo unasepa...inatakiwa polis wakutafute na hapo ndio watakuwa na wao wamejisikia kuwa wamefanya kazi siyo wakukamate kama kuku....huo ni ujinga...
 
naskia mama alikuwa na tatizo la low pressure,baada ya kupelekewa sana akazimia,jamaa akaona isiwe ishu akachukua maji na kumwagia kumbe ndo kamaliza kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,msiba uko obey kwa wakweze,anazikwa now kinondoni .
 
mweeeeh, kumbe ni balaa...mazishi ni sa ngapi na mimi nikamwage huyo aliyefia kazini?
 
Nimepata habari mbaya na za kusikitisha kuna mama mmoja amefia Rombo Green View maeneo ya Shekilango akiwa na hawala. Inasemekana mama huyo alikuwa hapo anavinjari na huyo hawala ambaye ni staff wa mme wake huko Mkwawa.
Mama alikuwa ni mtu mzima yaani mama wa makamu. Polisi wanamshikilia hawala kwa uchunguzi zaidi mwili wa marehemu hauna majeraha yoyote yale. Tukio limetokea week end hii.
Yawezekana mama alipata utamu mpaka akapitiliza na kulala fofofo na kushindwa kuamka.

...astaghafirullah! ha ha ha! acha basi masihara bana,...kulalaje huko fofofo na kushindwa kuamka?
 
sasa yeye mpaka anakamtwa alikuwa ansubiri nini? ukishaona hivyo unasepa...inatakiwa polis wakutafute na hapo ndio watakuwa na wao wamejisikia kuwa wamefanya kazi siyo wakukamate kama kuku....huo ni ujinga...

unafikiri ni yeye ..unajua haya mambo ya kwenda na vitambulisho vya maofisini gesti ndio tatizo lake unakimbia wanajua kila kitu..na nyie wamama kwa nini msiamue kufa na wanaume zenu jamani
mnafia na vijana wadogo mmh sitaki bana atakusema
 
we koma si shemeji huyo ni NYOOOOOOOOOOOOOKA kwa hasira za watanzania ungemwitw fisadi wa mapenzi ..
 
Hii ni noma mkuu, nimeipata asubuhi hii WAPO radio. Jamaa anaitwa Christopher Mabere ni IT Mkwawa Colledge Iringa Mwanamke alikua anasoma chuo cha Diplomasia, Mume wa marehemu ni mwalimu Mkwawa Iringa. Bw Mabere alikuja Dar kwa shughuli za kikazi (IT) UDSM

IT huyo alikuwa anamfundisha mamas computer nini. Chunga walimu hao na maexpart wana mambo yao habari ndio hiyo.
 
Hii habari ni kama ya yule MC wa Moshi aliyefia juu ya kifua cha mtu ilikuwa ya mwanzoni mwa mwaka huu nadhani.....dah haya bana muendage mdogo mdogo wadau kama afya hairuhusu zaidi kama unakuwa na mpango wa nje...mambo mengine ni balaa. RIP mama nanihiiiii...........
 
wanaume wengine bana, angetakiwa kukimbia, mambo yameharibika eti anakaa hapo, najua imetokea bahati mbaya labda mama utamu umezidi hadi kalala moja kwa moja hadi
ahera, so mwanaume ange run away, ooohh
 
My heart is kwa Mzee mwenye mke!

I can only imagine anajisikiaje, anaumia kiasi gani? Nahisi akitemebea dunia yote inammnyooshea kidole anajiona uchi kuliko wa mnyama!

Popote ulipo mzee; nakupa pole sana na nakuombea kwa mungu akupe faraja! Unapitia kipindi kigumu mno!

Pole sana mzee wangu!
 
Back
Top Bottom