Malori ya ulaya haya

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
Truck.car.transporter.arp.750pix.jpg



gari kubw ahilo.jpg



Kubwa gari hilo.jpg



Amerikana.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hilo linaitwa Kia dume mkuu MM,ukileta ya kwako yatachoka mapema na kuliacha letu liko palepale.
ni kweli mkuu mana yao yanachagua barabara.... kwenye barabara zetu wikli mbili tu unapaki hilo gari, yetu hayo hata mlima kilimanjaro yanapanda tu!! ziwe barabara za namtumbo, ludewa au nachingwea yetu yanamudu tu.....
 
Hizi ndizo wanazotumia walimu kwenda kusimamia mitihani!
Safi sana....tehetehetehe....nimelipenda sana hili!

Duh hii ngoma inanikumbushia pale Ilboru sec. Kulikuwa na Isuzu kama hiyo tuliita KATARA, na tulilitumia wakati tukiwa tunaenda disco machame girl's au ashira girl's.
 
@songito Mbona Lori lenyewe limechoka namna hiyo? Hili ni lori la Ufisadi.

mkuu hili jipya na lipo dar hii hii.... ni rangi tu ndo imepauka.... likipigwa rangi ya goldstar utadhani limetoka china leo!! malori yaliyochoka yapo ludewa, namtumbo, na sehemu kama hizo..
 
Back
Top Bottom