Malori ya mkutano wa CCM

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
31,272
31,396
Haya bandugu, ukiliona lori limebeba watu wa kuhudhuria mkutano wa CCM jangwani leo hebu tupia namba zake hapa... Nimeliona moja likitokea Mbagala charambe mida hii lenye namba T327AWV FUSO
 
Tupia ili iweje..?
 
Wapinzani presha inapanda presha inashuka..mnaweweseka.
 
Haya bandugu, ukiliona lori limebeba watu wa kuhudhuria mkutano wa CCM jangwani leo hebu tupia namba zake hapa... Nimeliona moja likitokea Mbagala charambe mida hii lenye namba T327AWV FUSO

ikiwezekana hata picha kabisa,mie niko jangwani kwa sasa naona wanaendelea kusomba viti vya plastic vyeupe viko kama 1,000 na kujenga stage na wanaandaa mabango.Full ulaghai ukipita mgao wa 10,000 nitakujuza.
 
Wanapelekwa Jangwani muda huu kwani mkutano unaanza saa ngapi?
Au wao ni solar pannels wanaenda kuzalisha umeme ili utumike mkutano utakapoa anza?
Haya bandugu, ukiliona lori limebeba watu wa kuhudhuria mkutano wa CCM jangwani leo hebu tupia namba zake hapa... Nimeliona moja likitokea Mbagala charambe mida hii lenye namba T327AWV FUSO
 
watanzania tunanunuliwa hata kwenye haki? aibu sana kweli umasikini ni mbaya sana. tufikirie kama unawekwa kwenye lori kama ng'ombe za usukumani zikiletwa dar kuchinjwa au viazi mviringo kutoka uporoto tukuyu aibu sana
 
Back
Top Bottom