Malori ya mafuta 18 ya petrol yakamatwa kwa kuchanganya na mafuta ya taa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Wapendwa kuna habari zimetufikia kuna malori zaidi ya 18 yamekamatwa huko mpakani na rwanda kwa kuchanganya petrol /diesel na mafuta,..mbaya zaidi kati ya madereva wa malori 18 ni 4 waliobaki wengine baada ya sample kuchukuliwa wakachapa lapa,..wapendwa hii ni habari mbaya na zaidi hata wanyarwanda awatatuamini tena kwa hili...anyway tusubiri zaidi
 
Hapahapa dunian...kamuulize jk anawajua hawa wachanganya naniino anafikiri pesa za uchaguzi wanamchangia zinatoka peponi
 
Hata wale wa Madawa ya Kulevya JK alidai anawajua, lakini mpaka leo hajawashughulikia....
 
Ujui uchaguzi umekaribia

akiwakamata atapata wapi hela za uchaguzi mafisadi ndio wanaotuingizia rais madarakani
big up fisadist
we r together
 
Ni zaidi ya 18 yanafika 150 rwada na burundi.rwanda tayari wamepiga marufuku mafuta yao kupitia bongo.hukumsikia zakaria hans pope
 
Back
Top Bottom