Maliza kusoma - Jose

Wimbo mzuri
kilichonifurahisha zaidi anapiga vita mimba za utotoni, nadhani anastahili kupewa ubalozi wa kupiga mimba za utotoni, na wakwetu wanapaswa kuiga aachane na nyimbo za hovyo kama "hainaga ushemeji"
 
wapewe Ubalozi wa kuhamsisha Ngono
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom