Malisa aandika historia saut

Huyu anaweza kuwa na uhusiano na Benno, ila siyo muhimu kwa sasa



Ni kweli ana uhusiano wa kinasaba na Beno hata wakati alipogombea uongozi CHADEMA aliulizwa hivyo, ila akasema hicho sio kigezo cha kumzuia kuwa na mawazo huru. Mbona Laurent Masha ni CCM lakini baba yake Dr.Masha ni UDP hamsem??
 
Saut ndo nini? Viva udsm

wewe punguza ubwege sometimes, hivi hiyo udsm yako hapa inakuja kivipi? elimu sio majengo bali uelewa wako wa kupambana na mazingira kwa kutumia elimu uliyoipata hata kama utasoma online poa tu.
 
Hongera Malisa pamoja na wapiga kura waliowezesha ushindi... Kudhibiti mizengwe na kurinda kura ndio dawa ya CCM na wenye akili kama za CCM.
 
Katika siasa kuna makundi muhimu ambayo ukiweza kukaa nayo vizuri utashinda, nayo ni working class, elites, and farmers!! Kwa mantiki hiyo naona mbele mwanga zaidi. Kwa wakulima tuanzie tandahimba/kusini yote theni kule mashamba ya tumabaku ambayo walipelekewa dawa fake na wakala aliyeteuliwa na wizara husika, na mbegu fake, na mbolea fake, you name all. Mbona hatuamki?
 
malisa ,hongera sana.Nakua na imani zaidi na chadema mwaka 2015,wilaya ya nyamaghana kata zote, CDM tutachukua.hasa kata hiyo ya mkolani,huyo jamaa anaitwa mabula(diwani) asirudi tena hapo katani.pipooooooooooooooz .............p!!!!!
 
Bwana shemeji...tulikutana KB jioni moja ikiwa ni muda mrefu tokea tupotezane...hatukuongea mengi kwa kua muda ulikwisha tupa mkono ilihali kulikua na wadau wengine wa kujuzana mawili matatu...Kisha ikaja jioni moja St. Dorcas...tuliongea mengi sana na hatimaye nikakwambia kaka unaweza...ulicheka sana nakumbuka, hadi pale nilikokuplease kwamba taratibu "bwana shemeji" tusimwamshe Mshiu...Nina mengi,ila kwa sasa nitumie slogan ya Chama Chetu kwamba umejaribu,umeweza na natumai utasonga mbele zaidi...Mungu awe nawe daima!
Kaka Eng!
 
Back
Top Bottom