Mangimeli
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,151
- 286
Mi barua nimepata, kuna wasimamizi na makarani, makarani wamegawanyika(wa dodoso fupi na refu). Mi nimechaguliwa kama msimamizi wa kata moja hivi. Tuko wasimamizi wanne. Ni tshs. 780,000, makarani wa dodoso refu ni 670,000(sh.35,000 kwa siku 1xsiku 11 za semina, siku 7 za field ni sh.250,000/= na tsh. 35000 za nauli kwa siku 7 za field). Nadhani umenielewa boss. Kama hujaelewa niPM nipe email adress nikutumie copy ya barua kwani inaeleza.
jamani mbona ela ni nyingi sana,mbona amna huruma na nchi yenu,laki saba naa kwa kichwa kimoja,je nchi nza kuna wasimamizi na makarani wangapi,na nyie mnakubali kupokea tu amna ata uchungu,mmekaa tu kulalamika na posho,za wabunge, pamoja na posho za viongozi wengine hili la,kwenu mbona mnakaa kimya,??nyie wa wapi?