joel amani
Senior Member
- Nov 22, 2011
- 100
- 8
Huku Mbozi makarani kwenye semina ya siku saba wanalipwa 35 elfu kwa siku,sijajua siku za kazi ambazo itakuwa siku saba je tutalipwa sh ngapi kwa siku? Jumla ya fedha zote kuanzia semina mpaka kumaliza zoezi itakuwa sh ngapi? naomba anayefahamu anijuze mana nami ni karani