marrykate
JF-Expert Member
- Mar 4, 2012
- 733
- 442
CHIZI WW,uwalimu unasomea miaka mingapi?
unadhani ni madakari tu wanaosoma miaka mingi, mawazo yako mafupi weye
CHIZI WW,uwalimu unasomea miaka mingapi?
CHIZI WW,uwalimu unasomea miaka mingapi?
Very poor comparison! Mishahara hapa kwetu "Govt Salary Scales" iko chini toka kwa mfagizi hadi juu ukilinganisha na nchi nyingi zilizoko duniani. Halafu mbaya zaidi unafanya mlinganisho na nchi ya Marekani, ambao wametupiga gap ambalo hata miaka 50 ijayo hatuwezi kuwafikia kwa lolote. Nakerwa sana na threads kama hizi, kama ningeweza kuota kilichoandikwa ndani ya thread wala nisingekuwa nafungua.
Hapo UMEDANGANYA umma, nenda bodi ya mkopo watakujibu vizuri kuhusu kuwakata madaktari kama kada zingine......wanaolipiwa na wizara tu ndio hawarudishi hiyo hela na inajulikana kama grant(ruzuku)kwa vyuo vya private nafasi 25 tu hutolewa kwa ajili ya hiyo grant. Usikurupuke kutoa hoja bila hata ya kuwauliza subjects na ujue kuna tofauti ya grant na loan kwa wanafunzi wa udaktari......kada nyingine pamoja na mishshara midogo kila mwisho wa mwezi bodi ya mikopo wanakinga bakuli uwarudishie hela zao kutoka kwenye mshahara lakini daktari alisoma bure hadaiwi hata senti toka loan's board.