Malipo ya madaktari wa majuu - tujilinganishe

Mzelelo

Member
Dec 12, 2006
22
7
WADAU WAKATI KILA MTU ANAONGEA KIVYAKE KUHUSU MADAI YA MADAKTARI HEBU TUANGALIE JINSI KAZI ZINAZOLIPA MNO HUKO MAREKANI KUWA NI ZA MADAKTARI WENGINE WANAFUATA. NAFIKIRI HUKU KWETU - TZ MAMBO NI KINYUME. WATU WANAWEZA CHANGIA KWA KULINGANISHA NA UCHUMI NA FINANCIAL RESOURCE LAKINI POINT HAPA NI KWAMBA INATAKIWA KWA RESOURCE TULIZONAZO TUTOE VIPAUMBELE KWA KADA MUHIMU

No. 1 Best-Paying Job: Anesthesiologists
Average Annual Pay: $234,950
Employees in Field: 33,310

No. 2 Best-Paying Job: Surgeons

Average Annual Pay: $231,550
Employees in Field: 42,340

No. 3 Best-Paying Job: Obstetricians and Gynecologists

Average Annual Pay: $218,610
Employees in Field: 20,540

No. 4 Best-Paying Job: Oral and Maxillofacial Surgeons

Average Annual Pay: $217,380
Employees in Field: 5,800

No. 5 Best-Paying Job: Orthodontists

Average Annual Pay: $204,670
Employees in Field: 5,040
 
madai ya madaktari siyo pesa tu..hivyo kulinganisha mishahara na nchi nyingine ni kuupotosha umma..
 
Kulinganisha mishahara ya madaktari wa USA na Tanzania ni sawa na kulinganisha Paka na Tembo. Ingawa najua madai ya madaktari sio mishahara tu, lakini pia kama ungetaka kufanya ulinganifu wa mishahara ungelinganisha na nchi za ukanda wa kwetu ambazo relativelu tunafanana kiiuchumi na kijiografia mathalani, Kenya, Uganda, Rwanda, Botswana, etc.

Ulinganifu wake huu POGO!
 
Ni vema ukalinganisha sector za afya za nchi ya Tanzania na jirani zetu Kenya, uganda tu .
 
Naona unataka kupotosha uma, kwa hapa TZ usilinganishe malipo ya fani nyingine kutoka Private Sectors utakuwa hauna ulinganisho wa kweli. Swala ni kwamba, kwa wafanyakazi wa kawaida Serikalini kwa fani zote, bado Doctors wanalipwa juu ya wengine woote! Unabisha????. Na kubaliana na wewe Marekani Madaktari wanalipwa vizuri, lakini kwa taarifa yako, siyo kwamba hata Marekani Madaktari ndo wanaongoza kwa kulipwa, labda kama unaangalia sector ya umma. Kumbuka sector binafsi marekani inalipa mbaya! Usilinganishe huko mbali sana.

Weka ulinganisho na nchi za Africa Mashariki, wewe unakimbilia Marekani, hiyo ni dunia nyingine. ''The problem is, you are too ambitious'' kwa ulinganisho huu utasubiri sana. Marekani ni Taifa lenye miaka zaidi ya 400! Unakuja kulinganisha na taifa la miaka Dhaifu 50! Shame on you

NIKUULIZE SWALI, HOSPITALI HOSPITALI BINAFSI KAMA AGA KHAN, TMJ, HINDU MANDAL DAKTARI ANAEANZA KAZI ANALIPWA SH. NGAPI? ...NAOMBA HII UNIJIBU MKUU!

MY TAKE
TATIZO HAPA NI MFUMO WA MALIPO YA WAFANYAKAZI KWA UJUMLA SERIKALINI, WANASIASA WANAJILIPA PESA NYINGI SANA KULIKO PROFESSIONALS, HILI NDO TATIZO, HATA KAMA WAKIONGEZA KWA MADAKTARI, KESHO WATAIBUKA NA SECTOR NYINGINE. SERIKLI INABIDI IKUBALI KWAMBA, HUU NI MUDA WA KUANGALIA MALIPO BORA KWA PROFESSIONALS NA SI WANASIASA, WASIPOFANYA HIVYO KITANUKA ZAIDI YA HAPA!
 
Very poor comparison! Mishahara hapa kwetu "Govt Salary Scales" iko chini toka kwa mfagizi hadi juu ukilinganisha na nchi nyingi zilizoko duniani. Halafu mbaya zaidi unafanya mlinganisho na nchi ya Marekani, ambao wametupiga gap ambalo hata miaka 50 ijayo hatuwezi kuwafikia kwa lolote. Nakerwa sana na threads kama hizi, kama ningeweza kuota kilichoandikwa ndani ya thread wala nisingekuwa nafungua.
 
kwetu best paying job ni UBUNGE.

Kwa sasa 120,000,000/= kwa mwaka bila marupurupu.
 
Naona unataka kupotosha uma, kwa hapa TZ usilinganishe malipo ya fani nyingine kutoka Private Sectors utakuwa hauna ulinganisho wa kweli. Swala ni kwamba, kwa wafanyakazi wa kawaida Serikalini kwa fani zote, bado Doctors wanalipwa juu ya wengine woote! Unabisha????. Na kubaliana na wewe Madaktari wanalipwa vizuri, lakini kwa taarifa yako, siyo kwamba hata Marekani Madaktari ndo wanaongoza kwa kulipwa, labda kama unaangalia sector ya umma. Kumbuka sector binafsi marekani inalipa mbaya! Usilinganishe huko mbali sana.

Weka ulinganisho na nchi za Africa Mashariki, wewe unakimbilia Marekani, hiyo ni dunia nyingine. ''The problem is, you are too ambitious''.

NIKUULIZE SWALI, SECTOR HOSPITALI BINAFSI KAMA AGA KHAN, TMJ, HINDU MANDAL DAKATRAI ANAEANZA KAZI ANALIOPWA SH. NGAPI? ...NAOMBA HII UNIJIBUI

MY TAKE
TATIZO HAPA NI MFUMO WA MALIPO YA WAFANYAKAZI KWA UJUMLA SERIKALINI, WANASIASA WANAJILIPA PESA NYINGI SANA KULIKO PROFESSIONALS, HILI NDO TATIZO, HATA KAMA WAKIONGEZA KWA MADAKTARI, KESHO WATAIBUKA NA SECTOR NYINGINE. SERIKLI INABIDI IKUBALI KWAMBA, HUU NI MUDA WA KUANGALIA MALIPO BORA KWA PROFESSIONALS NA SI WANASIASA, WASIPOFANYA HIVYO KITANUKA ZAIDI YA HAPA!

Yawezekana sikujieleza vizuri. Nilipolinganisha sikuwa na maana ya kujumuisha private sector , nililenga public. Nimependa ulivyofafanua - hicho ndicho nilichotaka kusema kuwa mfumo wetu hauangalii kada nyeti katika malipo.
 
Webondo

Sikutaka kulinganisha magnitude ya mshahara!!! nilitaka kuonesha how serious wenzetu wako katika kurank malipo kwenye public sector
 
Yawezekana sikujieleza vizuri. Nilipolinganisha sikuwa na maana ya kujumuisha private sector , nililenga public. Nimependa ulivyofafanua - hicho ndicho nilichotaka kusema kuwa mfumo wetu hauangalii kada nyeti katika malipo. [/COLOR]

Pamoja mkuu!
 
Ni vema ukalinganisha sector za afya za nchi ya Tanzania na jirani zetu Kenya, uganda tu .

Nikilinganisha nchi za ukanda wetu hatutaona tofauti kubwa katika kuvalue professionals. Nimefanya hivi makusudi kuonesha kuwa kwa wenzetu professionals wanakuwa na value..usilinganishe kwa magnitude ya mshahara
 
Naona mnafananisha Simba na Paka.

1. Daktari wa majuu anasoma kwa mkopo (mfano OSAP) akimaliza masomo analipa mkpo wake
2. Daktari wa majuu yupo dedicated hata saa saba usiku anakurupuka kwenda kutibia akihitajika.
3. Daktari wa majuu haweki tamaa mbele na haruhusiwi kugoma.
4. Daktari wa majuu anapenda kazi yake hatibii kama kazi anakuwa na passion, kama anamtibia mtoto mdogo basi ata m handle huyo mtoto kama ni wakumzaa mwenyewe.

Kule kwa wenzetu kazi ya udaktari ni wito kweli kweli na hata hizo pesa wanazolipwa ni ndogo sana kulinganisha na utendaji wao, na wao wamefundishwa kuokoa maisha popote pale walipo hata asipokuwa kazini akiona sehemu ujuzi wake unahitajika hata barabarani atatoa huduma bila kuuliza kwanza malipo au daftari la kusaini.

Acheni kufananisha Simba na Paka.
 
huduma zote za jamii hapa kwetu duni sana, si kwamba tu mishahara kwa wengi haitoshi, watu wengi hawana kazi yoyote. na wala hatuna excuse....angalau mpaka pale skendo za wizi wa mamilioni na matumizi mabaya ya pesa zitakapokwisha
 
Naona mnafananisha Simba na Paka.

1. Daktari wa majuu anasoma kwa mkopo (mfano OSAP) akimaliza masomo analipa mkpo wake
2. Daktari wa majuu yupo dedicated hata saa saba usiku anakurupuka kwenda kutibia akihitajika.
3. Daktari wa majuu haweki tamaa mbele na haruhusiwi kugoma.
4. Daktari wa majuu anapenda kazi yake hatibii kama kazi anakuwa na passion, kama anamtibia mtoto mdogo basi ata m handle huyo mtoto kama ni wakumzaa mwenyewe.

Kule kwa wenzetu kazi ya udaktari ni wito kweli kweli na hata hizo pesa wanazolipwa ni ndogo sana kulinganisha na utendaji wao, na wao wamefundishwa kuokoa maisha popote pale walipo hata asipokuwa kazini akiona sehemu ujuzi wake unahitajika hata barabarani atatoa huduma bila kuuliza kwanza malipo au daftari la kusaini.

Acheni kufananisha Simba na Paka.
well said for the serious, conscious and pragmatic minds But not for greedy and the egocentric
 
madaktari wa bongo ni group lingine la mafisadi,

wanataka walipwe 3.5m wakati walimu waliowafundisha wanalipwa laki mbili, hamnazo madaktari
 
naona mnafananisha simba na paka.

1. Daktari wa majuu anasoma kwa mkopo (mfano osap) akimaliza masomo analipa mkpo wake
2. Daktari wa majuu yupo dedicated hata saa saba usiku anakurupuka kwenda kutibia akihitajika.
3. Daktari wa majuu haweki tamaa mbele na haruhusiwi kugoma.
4. Daktari wa majuu anapenda kazi yake hatibii kama kazi anakuwa na passion, kama anamtibia mtoto mdogo basi ata m handle huyo mtoto kama ni wakumzaa mwenyewe.

Kule kwa wenzetu kazi ya udaktari ni wito kweli kweli na hata hizo pesa wanazolipwa ni ndogo sana kulinganisha na utendaji wao, na wao wamefundishwa kuokoa maisha popote pale walipo hata asipokuwa kazini akiona sehemu ujuzi wake unahitajika hata barabarani atatoa huduma bila kuuliza kwanza malipo au daftari la kusaini.

Acheni kufananisha simba na paka.

kwa kawaida hata bubu akizidiwa hutaka kusema!kwa kuanzia tu naomba nikuambie jamii ya mtanzania leo si ya jana!
Moja ya kazi zinalipa vizuri na kuheshimika usa ni udactari zikifuatiwa na kada nyingine za kisayansi.katika jamii ya kimarekani ukiwa dr unachukuliwa ni kati ya watu matajiri na wa ngazi za juu kabisa.hivyo si kweli unapojaribu kupotosha wana jf hapa.
Daktari wa kimarekani akiudumia wagonjwa wengi kwa siku ni nane,na hiyo ni ktk baazi ya majimbo.katika hali hii atakaa na mgonjwa wake kama ambavyo art ya kuchukua history ya mgonjwa inavyotaka.hapa kwetu ukiwa opd m/nyamala na ukakaa kwa muda mrefu na mgonjwa,walio nje wanakufuata na kukuambia ukaze mkono kana kwamba unafanya kazi ya kupanga matofali!kama una akili utaona hapa dr anapata changamoto mbili za msingi achilia mbali nyingi nyinginezo.kwanza idadi ya wagonjwa ni kubwa kuliko binadamu yeyote anaweza kuihudumia na kuwa na ufanisi wa asilimia mia kwa sababu zifuatazo
-hana muda wa kutosha kukaa na mgonjwa kuweza kufikia hatua ya kumaliza historia ya mgonjwa kama ambavyo ingepasa!
-uchovu unaotokana na kusikiliza wata zaidi ya 50 with different prpblems in just a few minutes with different challanges!
Lakini pili ambalo pia ni la msingi ni kwamba tunadili na watz wengi wao wakiwa na akili kama zako,wanaoamini dktari ni aina fulani ya mashine na anapaswa akiona tu mgonjwa dakika tano awe amejua shida yake.hawa hawaelewi ukikaa na mgonjwa na kuhojiana nao kwa muda mrefu.haya nayosema yanatokea kila siku katika public hosp,just do your h/w!na maanisha madaktari hufikia kutukanwa na wagonjwa kisa amekaa na mg kwa muda wa kutosha.
Kitabubu yapo magonjwa au conditiona ambazo humchukua dr seconds kujua shida ya mgonjwa.lakini zipo shida ambazo humchukua dr siku hata miezi mpaka kutambua shida hasa ya mg!
Siku iliyotangazwa kuanza mgomo hapa ndio siku ambayo pia madr wa uingereza walitangaza mgomo.labda utujuze wana jf uingereza iko katika sehemu gani ya bara la afrika!
Kimsingi mtu yeyote duniani bila kujali aina ya kazi anayofanya,yakimzidia hutafuta njia yoyote ile ili ajiokoe,na hili ndio chimbuko ya world unrestlessness today.achilia mbali madr hata wanajeshi hugoma kwa kile kinachoitwa uhasi kwa serikali!kwa akili mnazotumia sasa sioni kama tuko mbali na hilo.madr wanandugu,marafiki,wazazi,wake,waume na raia tu ambao ni maaskari!endeleeni na ufisadi wenu huku mkiendelea kudhani watanzania ni majuha.siku moja hata mubarak alikuwa anaamini hawezi kuguswa.siku moja alikuwa na watu ambao walikuwa na watu ambao walikuwa wanamuandikia propaganda kama inavyofanywa na baadhi ya watu humu.kumbuka kina mobutu,abacha,gadafi na wengine
wengi ambao baada ya kulewa ulevi wa madaraka,na kuanza kuamini wao ni miungu watu nakilichotokea.
Kunatofauti gani ya pesa iliyowekwa na charles taylor uswisi na hizi tunazozisikia sasa!?najua sasa hivi mnaamini hamgusiki na mnaona nyinyi mko class nyingine,lakini wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingu,aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa na kila lenye mwanzo linamwisho.damu ya dr uli haitakwenda bure!endeleeni tu,maana serikali zote za kidharimu,zilipokuwa mwishoni,zilisahau kabisa usemi wa wahenga ukila na kipofu usimguse mkono.nyinyi sasa hivi mnamakata mkono.
Kama muna moral consciousness na msikie yanayosemwa na watzd ambao hawako biased na hivi vijihera vyetu vya kodo mnavyotumia kuwanyamazisha watz.naililia nchi yangu.jf itakumbukwa daima kuwa kuna watu wenye busara walipata kuionya serikali kupita humu.amen
 
Salary for Country: Kenya

Country: Kenya Median Salary by Hospital Setting

Hospital SettingNational Salary Data (?)$0$19K$38K$57K
General Hospital$7,703
Other$7,972
Community / Home Health$7,606
Physician's Office / Private Practice$9,870
Travelling or Agency$54,894
Ambulatory Care / Surgery Center$15,480
Health Insurance Company$12,384
small_logo.png

Country: Kenya | Currency: USD | Updated: 28 Jun 2012 | Individuals Reporting: 93
copyright.png

PayScale Kenya - Kenya Country Salary, Average Salaries
How much do doctors in Kenya get paid?

Answer:
about 120,000ksh/month for an intern...150,000ksh/month for a qualified Dr and for specialists anything from 200,000ksh to 300,000ksh/month.

How much do doctors in Kenya get paid

What are the highly paying jobs in Tanzania?

Answer:
The following are the highly payoing jobs in tanzania!
1. C.E.O these are highly paid eg a member of parliament receives over tsh 6 million,managers of b.o.t.. The ministers and the cabinet ingeneral!
2. Engineers. Infact engineers receive a lot of money in different construction deals they get! Bt through salaries they earn about tsh 3-5 million
3. Doctors. These include the gynacologists,paedetricians and surgeons. These are highly paid in tanzania!
4.Business managers and accountants!
5.Lawyers and judges!
The above are the major categories of highly paying jobs!
By Godfrey P Mucky and Victor S Malima

What are the highly paying jobs in Tanzania
 
Their demands of improved on-call allowances, a house allowance increase, and health insurance might prove too much for a country whose budget is dependent on foreign aid.Other demands include a transport allowance and hardship allowances.The doctors are currently paid $7

(USD) for on-call stipends. The starting salary for interns is $638 (USD) per month.
In their new demands, the staff doctors want an increase

in their per-month stipends that would make their gross pay $5,133 USD.
They also want specialist doctors to get paid $11,333 (USD) per

month.
In 1961, the country had nine doctors. Today, Tanzania’s population stands at 45 million people but has 5,026 doctors. That means one doctor has to serve over 9,000 patients.

Death by kidney stone: Tanzanian health care in crisis « Gemini News Service
 
Very poor comparison! Mishahara hapa kwetu "Govt Salary Scales" iko chini toka kwa mfagizi hadi juu ukilinganisha na nchi nyingi zilizoko duniani. Halafu mbaya zaidi unafanya mlinganisho na nchi ya Marekani, ambao wametupiga gap ambalo hata miaka 50 ijayo hatuwezi kuwafikia kwa lolote. Nakerwa sana na threads kama hizi, kama ningeweza kuota kilichoandikwa ndani ya thread wala nisingekuwa nafungua.

tukitoka hapo tutaangalia wachezaji wetu wa soka kwa kulinganisha wa ligi za uingereza,spain na italy ambao kwao ni soka la kulipwa
 
Back
Top Bottom