Malipo ya korosho hayooooo!!

MMAHE

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
816
417
kilio cha wanaTandahimba kimesikika, wakulima wameanza kulipwa pesa zao jana.



source mimi mwenyewe.
 
CCM bana wataiingiza nchi yetu tuipendayo katika machafuko makubwa huko mbeleni. We wanadhulumu hata haki za wakulima maskini wa korosho!!! Mi nilidhani wanaiba za kodi zetu tu kumbe wanaiba hata haki ya msingi ya mkulima maskini.
 
Back
Top Bottom