Malipo ya gesti

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,583
Zamani ilikuwa ukienda na totoz gesti au kwenye hizi hoteli za Sinza, walikuwa wanachaji kwa chumba.

Lakini siku hizi naona mtindo umebadilika. Wanachaji kwa kichwa.

Chumba cha 80,000 kwa mtu mmoja ukienda na totoz wanaweza hadi kukuchaji hadi laki na 20.

Inaboa sana.

20160608_173850.jpg
 
Wakichaji kwa chumba wanaona wanaingia hasara.
Wakati ujao watacharge kwa masaa.
 
!
!
kwa hiyo ukiingia na huyu saa nne hadi saa sita labda...baadae ukirudi na mwingine wanakuchaji upya au? maana wengine tukija Dar saa mbili mpaka saa sita wa kwanza, nikitoka najidai naenda kwa mishe naachana nae saa tisa tisa mpaka kumi na mbili moja moja hivi mwingine huyu ndio ntaondoka nae hadi kwao na atapata dinner na wa kupindua naye huyu atakula na beer hadi saa mbili asubuhi. Kisha nahama guest.
 
Sasa hapo tatizo liko wapi mkuu, hata hoteli wana double na single, bei zinatofautiana. Licha ya ukweli kwamba hotelini kuna gharama ambazo zinaingiwa na hoteli kuwahudumia watu wawili.

Sijajua kwa guest house inakuaje, huenda mtu mmoja hachafui mashuka kwa kiwango cha watu wawili ndio maana wanatoza zaidi:):)
 
Back
Top Bottom