Malipo mbalimbali yakwama hazina na ofisi za serikali zakwama kutokana na malipo hayo kukwama

bamwaiche

Member
Aug 30, 2011
50
8
Wizara ya fedha imejikuta iko kwenye wakatai mgumu baada ya malipo mbalimbali ya kuendesha ofisi za serikali kukwama kutokana na kuingiza mfumo mpya wa malipo. Kwa taarifa zilizopo ni kwamba mzabuni huyo mweye kusupply mfumo inasemekana kuwa aidha hana utalaam nao au watumishi wa wizara nao hawana utaalamu nao. Na hii ni moja ya sababu ambazo zinasabaisha kero kwa watumishi wa umma na kwa taifa kwa ujumla. Na haya ndiyo ma=mabao ya ten percent yanavyoweza kuharbu nchi na hatimaye maendeleo ya taifa kurudi nyuma. Tangu malipo haya yamekwama hadi leo ni karibu wiki mbili sasa. Kwa jinsi hiyo ofisi za serikali zinaendeshwaje sasa? :flypig:
 
Back
Top Bottom