Malimwengu---- maajabu ya tanzania

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
[h=3]Muhimbili yafungwa[/h]

*Huduma zote zasitishwa hadi kitakapoeleweka
*Tamko la serikali lasubiriwa kuokoa jahazi
*Wizara yahaa kutafuta madaktari wa ziada
Na Waandishi Wetu
Vitanda vya wagonjwa vikiwa tupu kufuatia mgomo wa madaktari na wauguzi unaoendela katika Hospitari ya Taifa ya Muhimbili (MNH), madaktari bingwa na wauguzi wa hospitari hiyo wameungana katika mgomo huo kuanzia juzi, Dar es Salaam jana. (Picha na Michael Machellah
 
Back
Top Bottom