Malimbikizo hayalipwi kwa wafanyakazi--posho zinalipwa fasta-whyyy???

bartazary bon

Member
May 19, 2011
11
1
Wana JM--hivi kwanini malimbikizo na hele za kujikimu huwa zinachelewa sana tena sana kulipwa ili hali POSHO za kulipana kwenye vikao huwa ni fasta tuuu??? tena huku kwenye halmashauri zetu ndo usiseme.mfano mwaka jana kuna kada mbali mbali ziliajiliwa selikarini lakini wengi wao hawajalipwa haya malimbikizo na hata hela za kujikimu,lakini cha kushangaza POSHO zinaendelea kulipwa daily.

Kwa hili wana JM -mnalizungumziaje.NAWAKILISHA
 
Back
Top Bottom