Mali ya Uma inapopakwa 'rangi' ya CCM

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,489
79
i954_1258042470mark3.jpg

Kazi ipo!
 
mimi nadhani wameweka hizo rangi kulingana na shughuli wanayofanya
kijani uoto wa asili unaotegemea kuukuta huko ngorongoro
njano inaonaoneshautajiri/mali asili zilizopo huko ngorongoro
au walitakiwa wapake mpaka rangi za wanyama na ndege wote utakaowakuta huko?????
 
Uwezo wako wa kufikiria ndy huo! shabiki wa simba akiona hivo atasema wanapendelea YANGA!! teh teh
 
Uwezo wako wa kufikiria ndy huo! shabiki wa simba akiona hivo atasema wanapendelea YANGA!! teh teh

Haaaaaaaaaa! hivi kweli ni uwezo wa kufikiri mdogo? huu sasa ni UVIVU WA KUFIKIRI (Kufikiri ni kazi ngumu nayo)
 
mimi nadhani wameweka hizo rangi kulingana na shughuli wanayofanya
kijani uoto wa asili unaotegemea kuukuta huko ngorongoro
njano inaonaoneshautajiri/mali asili zilizopo huko ngorongoro

Si ngorogoro tu ila hifadhi/mbuga zote za taifa, na njano ina signify madini yanayopatikana nchini

(shule ya msingi huwa wanachambua rangi ktk bendera ya taifa zinawakilisha nini, nadhani na wizara wame-draw from there)
 
kwa hiyo mkuu ulitaka waweke rangi ambayo hakuna chama cha siasa inazitumie au vipi?unadhani ni kweli wamepaka rangi hii kwa sababu ni wana CCM?hizi ni siasa za kitoto.....

watu wako sensitivu jamani heeeeee cant u note zat ebooo!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom