sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,846
watoto raha sana yani wanakufanya kuwa so happy ingawa muda mwingine wana maudhi mpaka basi. nakumbuka mama yangu alikuwa anawasema wadogo zangu wangekuwa ni watoto wa ndugu yake angewarudisha kwa wazazi wao ila wadogo zangu wakienda tu shule kesho yake unamsikia duh nimewakumbuka watoto zangu tunabaki kucheka tu. ila watoto raha huwa tunawaita kwa jina la utani ''kibonzo''.