AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
AshaDii rudi haraka nimekumiss sana na umalizie bana
Miss you too Rocky... Nimerudi na kipato....
Kipato....
Mbu kipato is a defination ya mafanikio ama kuanguka kwa mambo mengi katika maisha hasa katika mahusiano, Whether we like it or not!... Kipato kizuri kwa wahusika woote wawili hufanya hata kupokea a new step kid kua rahisi ukilinganisha na usipokua na kipato kizuri... Kipato kizuri chaweza kua beneficial huo step kid akiishi na wazazi ama hata kama kalelewa na Grand parents....
Kipato kizuri /kibaya na mtoto mgeni...
Mhusika mke/mume haoni kua huyo mtoto atakua kikwazo humo ndani hasa katika material needs za huyo mtoto... for they can provide anything; labda tu in rare cases ambazo wengine wana roho mbaya regardless ya hali zao nzuri kimaisha... Kuna mwingine ana nia nzuri kabisa ya kutaka mpokea step kid, lakini anaangailia je huyo mwenza wake mudu kumlea mwanae (kifedha)??, nafasi yao hapo nyumbani (mazingira) yanatosheleza?? Huyo mtoto ana age gani - yaani ni yule ambae anawachakachua umri - in the sense kua wawazungukao wakiona hao/huyo mtoto wanashangaa (maybe mtoto mkubwa mpaka hawalingani na mzazi wake)?? Hayo maswali yakiwa na majibu negative - then kweli kabisa ni kazi saana huyo mtoto kua accepted na huyo new step parent...