Malenga wetu leo: Jenerali Ulimwengu!

Ha haa haa jenerali ana vituko sana huyu mtu,hii ilikua siku ya msiba wa ndugu yetu mazura,wengi tulikua na uchungu lakini jenerali alitupatia sana na kutulainisha kidogo majonzi yakatoweka japo kwa muda,tulijua amaendaa utenzi lakini hatukua na idea kwamba atauwasilisha kwa style hiyo ya kughani yeye mwenyewe...
 
Back
Top Bottom