Malecela's politics & social interaction in fb, twitter: A strategy towards political career?

1. Kwanza hakuna pahali popote nilipoomba maoni kuhusu blog, nilichosema ni kwamba blog ni mpya ipo kwenye matengenezo haijaisha, lakini kwa mawazo yako ukaona kwamba hata kama blog haijaisha lazima iwe na misimamo yangu ya siasa! ha! ha! ha! mis-communicatiion!

2. Unasema umeona picha zangu na wanasiasa na pia na warembo, za warembo zimekukera maana zinaonyesha kwamba nipo karibu na warembo, lakini hukukerwa na picha na viongozi, kwa maana ya kwamba unataka ile blog lazima iwe ya siasa, meaning kwamba huna uwezo wa kuwa objective wala kuuliza, ndio wanaita kudandia treni kwa mbele, maana hujui wala huna uhakika, lakini tayari una conclusion!

I mean nimeshindwa kumaliza post yako bro!

William.
Nani kasema nimekerwa na picha za warembo na kuridhika na picha za wanasiasa? Mbona unapenda sana kutafsiri maneno yangu? Nimesema niliona hizo picha, sijasema kama zimenikera.
Kama hujaelewa nilisema hivi: As a politician (as you descibe your profession) I did not see your political views. Instead, I saw your pictures with political leaders and other person (mostly female). I also mentioned that kuwepo kwa picha hizo, bila kuweka political views zaku kunaifanya blog yako kuonekana kua ki-PIMP zaidi kuliko kuonekana politician.
Kama hukutaka watu watoe maoni kuhusu blog yako sababu bado hujamaliza kiujenga (I wonder unajenga nini wakati it is a template) kwa nini basi ulitupa link tukatizame?
The first pages of your blog zimeonesha trend ya content we can expect. Asante kwa kusoma post yote, na kupigilia mistari hadi nukta ya mwisho. usiku mwema.

Bado tupo kwenye majaribisho, matenegenezo bado yanaendelea kwa sasa tupo kwenye 80%, karibuni sana tutakamilika ninaomba uvumilivu tu kidogo.

William J. Malecela.​

Posted by Malecela WJ Blog at 9:31 AM Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
 
People get life mwacheni huyu bwana na maisha yake nae....
Anaweza kuwa anakosea au anapatia ila kwangu ni binafsi sana unless kiongozi wa umma
 
Nani kasema nimekerwa na picha za warembo na kuridhika na picha za wanasiasa? Mbona unapenda sana kutafsiri maneno yangu? Nimesema niliona hizo picha, sijasema kama zimenikera.
Kama hujaelewa nilisema hivi: As a politician (as you descibe your profession) I did not see your political views. Instead, I saw your pictures with political leaders and other person (mostly female). I also mentioned that kuwepo kwa picha hizo, bila kuweka political views zaku kunaifanya blog yako kuonekana kua ki-PIMP zaidi kuliko kuonekana politician.
Kama hukutaka watu watoe maoni kuhusu blog yako sababu bado hujamaliza kiujenga (I wonder unajenga nini wakati it is a template) kwa nini basi ulitupa link tukatizame?
The first pages of your blog zimeonesha trend ya content we can expect. Asante kwa kusoma post yote, na kupigilia mistari hadi nukta ya mwisho. usiku mwema.

- Nimesoma hapo kwenye red tu nakuacha kabisa maana kwako mwanamke yoyote anayekwenda Club ni pimp no wonder hapa JF malumbano hayaishi kila siku!

William.
 
_MG_5020.JPG

shemeji huyo
 
- Jamani kubalini tu kwamba taifa tuna matatizo na wengi wetu hatujui solutions, sasa tumebakia kurusha rusha matusi bila solutions na kumrukia anybody tunayeona hafanani na sisi, poleni sana siasa na socila life ni muhimu sana!

MBARIKIWE SANA NA MUNGU WA MBINGUNI!

William.

Sasa kama unaona hufanani na sisi kwa nini unataka kulazimisha kutuongoza?
 
Ha! ha! ha! ha! ha!
image+5.jpg

Dada Vida Katamba, ni mrembo wa Ki-Tanzania anayeishi Marekani, ni mcheshi, mstaabu na mpenda watu sana na ni dada anayejipenda sana pia.

Malecela WJ Blog: MREMBO TOKA DC WASHINGTON!

BTW mr malecela nice blog keep blogging broda..we need these kind of mapicha aisee......
vida.jpg

Malecela WJ Blog: MREMBO WA DC AFUNIKA BLOG!

fere5.jpg

William Malecela alipotembelea Moshi hivi karibuni, hapa akiwa na mmoja wa marafiki wake wa Facebook, Dada Claudi, mjini Moshi.
Malecela WJ Blog: THE MOSHI EXPERIENCE!

Ha! ha! ha! ha! ha!
 
Naona laana ya nyerere inaitafuna familia ya mzee 'asugumwise', kutoka kizazi hadi kizazi...
 
Ha! ha! ha! ha! ha!
image+5.jpg

Dada Vida Katamba, ni mrembo wa Ki-Tanzania anayeishi Marekani, ni mcheshi, mstaabu na mpenda watu sana na ni dada anayejipenda sana pia.

Malecela WJ Blog: MREMBO TOKA DC WASHINGTON!

BTW mr malecela nice blog keep blogging broda..we need these kind of mapicha aisee......
vida.jpg

Malecela WJ Blog: MREMBO WA DC AFUNIKA BLOG!

fere5.jpg

William Malecela alipotembelea Moshi hivi karibuni, hapa akiwa na mmoja wa marafiki wake wa Facebook, Dada Claudi, mjini Moshi.
Malecela WJ Blog: THE MOSHI EXPERIENCE!

Ha! ha! ha! ha! ha!

Mkuu huyu jamaa atakuwa PIMP au ana tabia za ki-PIMP. Lakini si mbaya as long as mkono unaenda kinywani. DSM ngumu, unafikili atafanya nini? Hakuna kubeba box kama ughaibuni, na ubaharia haulipi tena. Mwecheni afanye biashara yake ya ukuwadi...
 
Unasema umeendesha meli miaka sita baharini na kwamba kwa kazi hiyo umeweza kutembelea karibu 90% ya Dunia. Hapa nakukatalia rafiki yangu maana kwa akili yangu ya Jiografia inaonyesha kuwa siyo karibu 90% ya nchi za dunia zipo connected na bahari. Majority na nchi ni 'Land locked' countries. Kwa hiyo kama ni kutembea duniani basi naamini umefanikiwa kutembelea nchi zilizo kando kando mwa bahari au maziwa au mito ambazo hazizidi 50% ya nchi zote duniani.

TUMBIRI wa JF,
tumbiri@jamiiforums.com

Huyu jamaa muongo sana.....hivi kuwa baharia si ni kazi kama kazi nyingine na mara nyingi huishia kwenye bandari tu? Huo muda wa ''kutembela dunia na kujifunza mengi'' unapatikana wapi?
 
Tanzania ni free country kila mtu ana haki na uhuru wa kufanya chochote kinachompa furaha as long as havunji sheria za nchi. Na kijamii kama hamtukani mtu au kumdhalilisha mtu. Mwacheni bro!
 
Huyu **** hana tofauti na Mange Kimambi!

Akatafute wajinga wenzie awaongoze!

Barking dogs seldom bite!
 
- Mwakalinga you have no idea na what kind of a human being unaye-deal naye huku upande wa pili bro, HOWEVER; TAREHE 26 NIMEALIKWA MAKUMBUSHO KUTAKUWA NA MHADHARA MAALUM NITATOA PAPER YA MAONI YANGU KUHUSU VIJANA NA AJIRA, NJOO BRO UNIJUE VIZURI, KWAMBA KWENYE MAISHA KILA KITU KINA WAKATI WAKE!

- MUCH RESPECT BRO!

William.

Ningehudhuria mkuu wa kazi aka Le Mutuz ila siko pande hizo za Tz.

1 lov Le Mutuz
 
@W.J. Malecela, mkuu nna ka swali kadogo, hivi unavyosema JK kafunika DC? sijui JLO wa bongo kafunika, wanakuwa wamefunika nini?
 
- Mleta mada naomba nikushuru sana kwa kunisaidia sana kuitangaza my new Blog, yaani; Malecela Blog kwenye

Malecela Blog

- I mean I am humbled sana na utu wako, nilipokuwa njiani kurudi nyumbani toka US, niliptia baadhi ya nchi kama nne za Ulaya, hapa nikarushiwa maneno mengi sana kwamba ninenda kufanya nini, nilipofika hapa nikaenda Mtera kuwasikiliza wananchi, again nikarushiwa maneno mengi sana kwamba mimi ni nani hasa kuwasikiliza wananchi, nilipogombea ubunge wa EAC again nikarushiwa maneno mengi sana kwamba sina elimu, ha! ha! ha! ha! na sasa here you come na maneno maneno mengi yasiyo na tija kabisa kwa taifa!

- Sasa ninajiuliza one question, exactly what is the problem here? I mean ninawashukuru sana cause mnanitangaza sana tena bure bila ya kulipia, lakini something is a miss, unajua ninajua kitu kimoja JF huwa hatuwajadili watu au Viongozi tusiowapenda, siku zote tunawajadili wale tu tunaowapenda na infact kuna msemo kwamba:

MTI WENYE MATUNDA MEMA NDIO HURUSHIWA SANA MAWE

- So between, ninawasoma sana ndugu zangu blog nimeanzisha kwa sababu ya kuwaachia wengine kwa sababu sina sana muda tena, otherwise ninawashukuru sana kwa kunijali sana maana kila kukicha haikosi thread yangu, saafi sana mimi nipo powa sana, na ninaendelea na shughuli zangu, sijaamua nini cha kufanya next, lakini nipo Shambani kwangu Kinyerezi, maana nikiwa Baharini nilinunua shamba kubwa sana miaka ya 90 NA kujenga nyumba, sasa ninalima huko kila siku, karibuni sana mkiweza!

MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI

William.

Le Mutu ushauri uliopewa ni muhimu sana.Ufanyie kazi.Mimi sikukufahamu kabla lakini kwa hulka za 'kitoto' ulizozionesha toka ufike Bongo nimekufahamu na nilishangaa kusikia unagombea ubunge wa EA.Ni wazi hakuna mtu wa kukupa nafasi. Ndiyo maana nashawishika kuamini kuwa, ungeliweza kufikiriwa kwenye nafasi za u DC za hivi karibuni lakini wapi. Kuna kitu.Unaonekana unashindwa kuyamaizi mazingira ya watz.

Kilimo chema huku Kinyerezi
 
SASA HUYU MNATEGEMEA AWE KIONGOZI WENU NADHANI SEHEMU ANAYOFIT NI CCM TU NASIKIA KICHEFU CHEFU MTOTO WA NYOKA NI NYOKA UR THE SAME LIKE MAGAMBA GO BACK TO USA MJOMBA:poa
 
- Mleta mada naomba nikushuru sana kwa kunisaidia sana kuitangaza my new Blog, yaani; Malecela Blog kwenye

Malecela Blog

- I mean I am humbled sana na utu wako, nilipokuwa njiani kurudi nyumbani toka US, niliptia baadhi ya nchi kama nne za Ulaya, hapa nikarushiwa maneno mengi sana kwamba ninenda kufanya nini, nilipofika hapa nikaenda Mtera kuwasikiliza wananchi, again nikarushiwa maneno mengi sana kwamba mimi ni nani hasa kuwasikiliza wananchi, nilipogombea ubunge wa EAC again nikarushiwa maneno mengi sana kwamba sina elimu, ha! ha! ha! ha! na sasa here you come na maneno maneno mengi yasiyo na tija kabisa kwa taifa!

- Sasa ninajiuliza one question, exactly what is the problem here? I mean ninawashukuru sana cause mnanitangaza sana tena bure bila ya kulipia, lakini something is a miss, unajua ninajua kitu kimoja JF huwa hatuwajadili watu au Viongozi tusiowapenda, siku zote tunawajadili wale tu tunaowapenda na infact kuna msemo kwamba:

MTI WENYE MATUNDA MEMA NDIO HURUSHIWA SANA MAWE

- So between, ninawasoma sana ndugu zangu blog nimeanzisha kwa sababu ya kuwaachia wengine kwa sababu sina sana muda tena, otherwise ninawashukuru sana kwa kunijali sana maana kila kukicha haikosi thread yangu, saafi sana mimi nipo powa sana, na ninaendelea na shughuli zangu, sijaamua nini cha kufanya next, lakini nipo Shambani kwangu Kinyerezi, maana nikiwa Baharini nilinunua shamba kubwa sana miaka ya 90 NA kujenga nyumba, sasa ninalima huko kila siku, karibuni sana mkiweza!

MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI

William.
SASA HUYU MNATEGEMEA AWE KIONGOZI WENU NADHANI SEHEMU ANAYOFIT NI CCM TU NASIKIA KICHEFU CHEFU MTOTO WA NYOKA NI NYOKA UR THE SAME LIKE MAGAMBA GO BACK TO USA MJOMBA
1W3JxAGTp52yOb1ahUek1nWlhESpYqcoliWUVk13xOZKZKxPx35EFAAAOw==
 
- Mwakalinga you have no idea na what kind of a human being unaye-deal naye huku upande wa pili bro, HOWEVER; TAREHE 26 NIMEALIKWA MAKUMBUSHO KUTAKUWA NA MHADHARA MAALUM NITATOA PAPER YA MAONI YANGU KUHUSU VIJANA NA AJIRA, NJOO BRO UNIJUE VIZURI, KWAMBA KWENYE MAISHA KILA KITU KINA WAKATI WAKE!

- MUCH RESPECT BRO!

William.

Umealikwa na Ngwasuma nini? Toka lini makumbushao pakawa na mhadhara? Wewe mwenyewe ajira huna sasa utaongea nini?
 
Back
Top Bottom