Malecela's politics & social interaction in fb, twitter: A strategy towards political career?

Kupigwa chini kwa huyu Jamaa kwangu ni ushahidi kwamba CCM bado kuna chembe chembe za uhai zimebaki.
 
Umetoa Ujumbe Mzuri sana, lakini umenichefua sana kwa kusema watanzania ni wanafiki? Sifa ya unafiki ni sifa ya uovu, na na sifa ya uovu ni sifa ya kishetani, na ni sifa inayoambatana na binaadamu wote waovu, na hakuna mwanaadamu muovu ambaye hana sifa hii, kwa namna nilivyofundishwa mimi ni kwamba binaadamu wote ni waovu, na hivyo wote ni wanafiki, ukitoa wale wenye ufahamu, hivyo unapowasingle out watanzania na kusema ni wanafiki umekosea sana,tuombe radhi watanzania.
 
TULIOMUONA ZAMANI HIZO......BONGE LA KALIKITI

401172_3173684740261_1209820481_33466017_1061006228_n.jpg

Naona yupo na Joseph Kusaga.
 
Mambo ya magendaeka FB, waachie FB mwenyewe na vinyamkela vyake. Mengine pungo zazo huziwezi.
 
- Mleta mada naomba nikushuru sana kwa kunisaidia sana kuitangaza my new Blog, yaani; Malecela Blog kwenye

Malecela Blog

- I mean I am humbled sana na utu wako, nilipokuwa njiani kurudi nyumbani toka US, niliptia baadhi ya nchi kama nne za Ulaya, hapa nikarushiwa maneno mengi sana kwamba ninenda kufanya nini, nilipofika hapa nikaenda Mtera kuwasikiliza wananchi, again nikarushiwa maneno mengi sana kwamba mimi ni nani hasa kuwasikiliza wananchi, nilipogombea ubunge wa EAC again nikarushiwa maneno mengi sana kwamba sina elimu, ha! ha! ha! ha! na sasa here you come na maneno maneno mengi yasiyo na tija kabisa kwa taifa!

- Sasa ninajiuliza one question, exactly what is the problem here? I mean ninawashukuru sana cause mnanitangaza sana tena bure bila ya kulipia, lakini something is a miss, unajua ninajua kitu kimoja JF huwa hatuwajadili watu au Viongozi tusiowapenda, siku zote tunawajadili wale tu tunaowapenda na infact kuna msemo kwamba:

MTI WENYE MATUNDA MEMA NDIO HURUSHIWA SANA MAWE

- So between, ninawasoma sana ndugu zangu blog nimeanzisha kwa sababu ya kuwaachia wengine kwa sababu sina sana muda tena, otherwise ninawashukuru sana kwa kunijali sana maana kila kukicha haikosi thread yangu, saafi sana mimi nipo powa sana, na ninaendelea na shughuli zangu, sijaamua nini cha kufanya next, lakini nipo Shambani kwangu Kinyerezi, maana nikiwa Baharini nilinunua shamba kubwa sana miaka ya 90 NA kujenga nyumba, sasa ninalima huko kila siku, karibuni sana mkiweza!

MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI

William.
 
Umetoa Ujumbe Mzuri sana, lakini umenichefua sana kwa kusema watanzania ni wanafiki? Sifa ya unafiki ni sifa ya uovu, na na sifa ya uovu ni sifa ya kishetani, na ni sifa inayoambatana na binaadamu wote waovu, na hakuna mwanaadamu muovu ambaye hana sifa hii, kwa namna nilivyofundishwa mimi ni kwamba binaadamu wote ni waovu, na hivyo wote ni wanafiki, ukitoa wale wenye ufahamu, hivyo unapowasingle out watanzania na kusema ni wanafiki umekosea sana,tuombe radhi watanzania.

Napigilia msumari kabisa...

Waafrika tuna vijinasaba vya wivu, choyo na umbea umbea kwani mada umesisoma hujaibua kimojawapo kati ya hivyo?
 
Mkuu W. J. Malecela,
Ni muda sasa tangu utoke Marekani nadhani ni zaidi ya miezi miwili. Wewe kama binadamu wengine tunajua unakula, unakunywa na unavaa kila siku. Sasa mimi swali langu ni kutaka kujua mwenzetu unaishije? Maana kazi umeacha na tunakuona unapuyanga mjini mara IFM, mara UDSM, CBE, DIT, DUCE nk tena ukiwa na gari - maana yake unatumia mafuta. Hivi unafanya kazi wapi kwa sasa mkuu wangu? Maana tunajua Ubunge wa EAC ulishindwa, Ukuu wa Wilaya wamekutosa, Wakuu wa Mikoa na Mabalozi bado hawateuliwa wapya nk.

Usije ukasema kwamba kazi yako ni personnel issue. No! Tunataka kujua maana unataka kuwa kiongozi wetu siku zijazo. kwa hiyo kujua staili ya maisha ya kiongozi mtarajiwa hasa mwanasiasa ni jambo jema hasa kwetu sisi wapiga kura wako.

TUMBIRI wa JF.
 
- Nilipoona maandishi makubwa ya bluu nilidhani kuna hoja mpya kwa taifa, kumbe ni yale yale tu ya kunitangaza ahsante sana mkuu keep it up, ninawashukuru sana kwa kunipatia free media kwa a politician kama mimi ni plus sana, so again ninawashukuru sana,

- Otherwise, karibuni sana huku Kinyerezi maana muda mwingi ninakwua huku Shamba adn then, ninarudi mjini kujiachanganya na wananchi wa aina mbali mbali bila kujali wanakotoka, in the process tunawapa wananchi wengi a hope kwamba maisha ni kukomaaa nayo tu mpaka kieleweke!

- Unajua miaka sita baharini sio mchezo bro, na kutembelea karibu 90% ya Dunia, sio mchezo bro sasa ni wakati wa kutoa back kwa jamii tuliyojifunza huko kwa walioendelea, kuhusu Facebook na Blogs kwa ujumla naona wengi wetu hatuna the basic idea of what they stand for, halafu inaonekana wengi wetu hatuna social life kabisa, na tungependa wengine wote wawe kama sisi, hapana. Kama kiongozi kutokuwa na Social life ndio kigezo cha kuwa kiongozi bora then tungekwua mbali sana kimaendeleo!

- Jamani kubalini tu kwamba taifa tuna matatizo na wengi wetu hatujui solutions, sasa tumebakia kurusha rusha matusi bila solutions na kumrukia anybody tunayeona hafanani na sisi, poleni sana siasa na socila life ni muhimu sana!

MBARIKIWE SANA NA MUNGU WA MBINGUNI!

William.
 
Umetoa Ujumbe Mzuri sana, lakini umenichefua sana kwa kusema watanzania ni wanafiki? Sifa ya unafiki ni sifa ya uovu, na na sifa ya uovu ni sifa ya kishetani, na ni sifa inayoambatana na binaadamu wote waovu, na hakuna mwanaadamu muovu ambaye hana sifa hii, kwa namna nilivyofundishwa mimi ni kwamba binaadamu wote ni waovu, na hivyo wote ni wanafiki, ukitoa wale wenye ufahamu, hivyo unapowasingle out watanzania na kusema ni wanafiki umekosea sana,tuombe radhi watanzania.

Nimekusoma kiongozi na nimekuelewa vyema. Though najua wapo walio wanafiki, shida na tatizo nimewa generalize watanznia wote...kwa hilo "NAOMBA RADHI WATANZANIA WOTE"
Tupo pamoja.
http://www.williammalecela.blogspot.com/2012/05/mrembo-wa-dc-afunika-blog.html
 
- Nilipoona maandishi makubwa ya bluu nilidhani kuna hoja mpya kwa taifa, kumbe ni yale yale tu ya kunitangaza ahsante sana mkuu keep it up.

- Unajua miaka sita baharini sio mchezo bro, na kutembelea karibu 90% ya Dunia, sio mchezo bro sasa ni wakati wa kutoa back kwa jamii tuliyojifunza huko kwa walioendelea.

- Kuhusu Facebook na Blogs kwa ujumla naona wengi wetu hatuna the basic idea of what they stand for, halafu inaonekana wengi wetu hatuna social life kabisa, na tungependa wengine wote wawe kama sisi, hapana. Kama kiongozi kutokuwa na Social life ndio kigezo cha kuwa kiongozi bora then tungekwua mbali sana kimaendeleo!

- Jamani kubalini tu kwamba taifa tuna matatizo na wengi wetu hatujui solutions, sasa tumebakia kurusha rusha matusi bila solutions na kumrukia anybody tunayeona hafanani na sisi, poleni sana siasa na socila life ni muhimu sana!

William.
W. J. Malecela,
Mkuu Mimi mwenyewe nilipoona maandishi madogodogo meusi na kizuri zaidi ni post ya W. J. Malecela, nilidhani kuna hoja mpya kwa taifa, kumbe ni majigambo yale yale tu.

Unasema umeendesha meli miaka sita baharini na kwamba kwa kazi hiyo umeweza kutembelea karibu 90% ya Dunia. Hapa nakukatalia rafiki yangu maana kwa akili yangu ya Jiografia inaonyesha kuwa siyo karibu 90% ya nchi za dunia zipo connected na bahari. Majority na nchi ni 'Land locked' countries. Kwa hiyo kama ni kutembea duniani basi naamini umefanikiwa kutembelea nchi zilizo kando kando mwa bahari au maziwa au mito ambazo hazizidi 50% ya nchi zote duniani. Hilo la kwanza.

La pili. Unasema wengi wetu hatuna the basic idea of what Facebook and Blogs they stand for. Mi nasema hivi kama Facebook na Blogs zinastand kwa ajili ya kupost picha za wasichana wakiwa na sketi fupi fupi na mikufu miguuni. Pia kupost picha za wanaume waliovaa cheni shingoni basi niseme tu ni kweli hatujui matumizi ya Facebook na Blogs. Endelea kutufundisha.

La tatu. Unasema tukubali taifa lina matatizo na wengi wetu hatujui solutions. Mimi nasema hivi, solution ya matatizo yetu yapo wazi kabisa. Na solution yenyewe ni kuwavueni magamba na kuwavalisha magandwa.

TUMBIRI wa JF,
tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
William malecella kila siku huwa namwambia kuwa hana sifa za kuwa kiongozi kwani anachukulia siasa ni kama kipaji cah mziki au kama sehemu ya kujipatia umaarufu, alikimbia shule na hata cheti cha 4M4 hana pia ni mtu mzima makamu ya baba kabisa alafu anafanya mambo ya kitoto. Gosh.....

wewe acha chuki,kama humjui mtu kaa pembeni....:shock:
 
W. J. Malecela,
Mkuu Mimi mwenyewe nilipoona maandishi madogodogo meusi na kizuri zaidi ni post ya W. J. Malecela, nilidhani kuna hoja mpya kwa taifa, kumbe ni majigambo yale yale tu.

Unasema umeendesha meli miaka sita baharini na kwamba kwa kazi hiyo umeweza kutembelea karibu 90% ya Dunia. Hapa nakukatalia rafiki yangu maana kwa akili yangu ya Jiografia inaonyesha kuwa siyo karibu 90% ya nchi za dunia zipo connected na bahari. Majority na nchi ni 'Land locked' countries. Kwa hiyo kama ni kutembea duniani basi naamini umefanikiwa kutembelea nchi zilizo kando kando mwa bahari au maziwa au mito ambazo hazizidi 50% ya nchi zote duniani. Hilo la kwanza.

La pili. Unasema wengi wetu hatuna the basic idea of what Facebook and Blogs they stand for. Mi nasema hivi kama Facebook na Blogs zinastand kwa ajili ya kupost picha za wasichana wakiwa na sketi fupi fupi na mikufu miguuni. Pia kupost picha za wanaume waliovaa cheni shingoni basi niseme tu ni kweli hatujui matumizi ya Facebook na Blogs. Endelea kutufundisha.

La tatu. Unasema tukubali taifa lina matatizo na wengi wetu hatujui solutions. Mimi nasema hivi, solution ya matatizo yetu yapo wazi kabisa.
Na solution yenyewe ni kuwavueni magamba na kuwavalisha magandwa.

TUMBIRI wa JF,
tumbiri@jamiiforums.com

- Sasa unaona the contradiction, kwanza sifai kuwa hata kiongozi wa kata, lakini ungependa nivue gamba na univalishe gwanda, something is very wrong na unachokisema na usichokisema, halafu si unajua kwamba some of us can read between the lines na kujua the ishu! ha! ha! ha! ha!

- Sina mpango wowote wa kuvaa gwanda, read my lips; NEVER!

- Bado ninaimani sana CCM najua ina matatizo mengi, lakini siamini kwamba Chadema ndio jawabu infact wao wapo very weak kuliko hata TLP, wangekuwa Strong basi 2015 wangeshika nchi, lakini so far wao ni beneficiary wa udhaifu wa ndani ya CCM yenyewe, it has nothing to do na uimara wao.

- I appreciate kwamba wanakikosesha chama changu usinginzi, lakini kufikia kujiunga nao please mkuu wangu, mbona unataka kunipoteza njia, mimi sina mpango wa kutoka CCM wala kujiunga na Chadema; IT WILL NEVER HAPPEN, HATA CCM YOTE WAKITOKA NITAKUWA MTU WA MWISHO STANDING NA CCM, inahitaji kurekebishwa tu!, Ila bado ni chama makini sana!

- I understand kwenda kwangu Machame last week kunaweza kuwa kumewachanganya, ukweli ni kwamba nilienda kwenye msiba wa Family Friend na sio anything else!

UBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI; TUPO WOTE PEOPLE!

Sishangai wewe kuwa bado na imani na CCM maana hata Chemical Ally bado anaamini Sadam Hussein ni Rais wa Iraq na majeshi ya Marekani bado hayajafika Baghdad. Hilo la kwanza.

La pili unasema huamini kwamba Chadema ndio jawabu na kwamba wapo very weak kuliko hata TLP na kama tungekuwa Strong basi 2015 tungeshika nchi. Mi naomba tu nikuulize kwani sasa hivi tupo mwaka gani?

Unasema pia kwamba kwenda kwako Machame last week kumetuchanganya na unajinasibu kuwa ulienda kwenye msiba wa Family Friend na sio anything else. Naomba niwe wazi, walioogoa ni wapenzi wa CCM. Wanadhani ulienda kupiga jaramba kuchukua fomu za kugombea Ubalozi wa Nyumba kumi kumi.

TUMBIRI wa JF,
tumbiri@jamiiforums.com
 
W. J. Malecela,
Sishangai wewe kuwa bado na imani na CCM maana hata Chemical Ally bado anaamini Sadam Hussein ni Rais wa Iraq na majeshi ya Marekani bado hayajafika Baghdad. Hilo la kwanza.

La pili unasema huamini kwamba Chadema ndio jawabu na kwamba wapo very weak kuliko hata TLP na kama wangekuwa Strong basi 2015 wangeshika nchi. Mi naomba tu nikuulize kwani sasa hivi tupo mwaka gani?

Unasema pia kwamba kwenda kwako Machame last week kumetuchanganya na unajinasibu kuwa ulienda kwenye msiba wa Family Friend na sio anything else. Naomba niwe wazi, walioogoa ni wapenzi wa CCM.
Wanadhani ulienda kupiga jaramba kuchukua fomu za kugombea Ubalozi wa Nyumba kumi kumi.

TUMBIRI wa JF,
tumbiri@jamiiforums.com

- Ha! ha! ha! ha! Great Thinker bwana unanivunja mbavu sana, yaani unataka nivae gwanda level ya nyumba kumi kumi? ha! ha! ha! ha!

- HUKU BONGO USIKU SAA IZI, USIKU MWEMA SANA MKUU WANGU!

William.
 
Jamaa anakejeli huyu sijaona, kama anaona yuko poa na anajihisi yuko sahihi na matendo yake ya kitoto basi kuna tatizo sehemu ktk historia yake. Sioni ajabu sana nkiwaona wanaukoo wenzie kina Lusinde.
 
Huyu yank amenifundisha kitu kimoja ambacho kinapingana na wahenga. Si kila mtoto wa nyoka ni nyoka, nyoka wengine wanazaa mijusi kama mzee Samweli Malecela, mbona dada yake yule Dr ni kichwa sana? Huyu kazi ambayo anaiweza kweli ni ya kufungua club moja ya starehe matata sana hapo Dar then awe anakuwa pimp wa wanasiasa. Anawagawia madem hao ambao wote ni mabest wake hakuna hata mmoja anayewazidi wenzie
 
Back
Top Bottom