Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,262
- 105,425
Oh yeah............absolutely........sasa Mkuu....si umeona mwenyewe watu wanavyokataa mfano
1. Mikataba iwe wazi
2. Rais apunguziwe madaraka
3. Punguza matumizi yasio ya lazima
4. Performance based uongozi nk nk nk
hatuwezi kujenga middleclass, civil societies au kuwa na independent electoral commission........huku tukiwaachia majambazi wa demokrasia wakiendelea kujilinda........
.....we know all that.......but where do we start from?.............
We start by having some very charismatic individuals and grassroot organizations that can take these ideas to the people and spark that cheche that will cause a wildfire.
Mwanakijiji anajitahidi to an extent, tunahitaji hiyo spirit katika mikoa yote.JF ina play its part by and large, lakini access ya watu kwa mtandao ni ndogo, tunahitaji kina Thomas Paine wetu watakaoandika "Common Sense" yetu, lakini kabla ya hapo inabidi tuondokane na subsistence economy, kwa sababu mtu ambaye hana uhakika wa kula hawezi kujali kusoma, as a matter fact chances are hajui kusoma au kama anajua anaweza kuwa na level ndogo sana ya comprehension.
Ndiyo maana kuna watu wanaamini kwamba serikali inapromote illiteracy makusudi kwa kujua kwamba the more people become literate the more it's hegemony is threatened.
Kwa hiyo inabidi - for lack of a better comparative model- tuiangalie Maslow hierarchy of needs tuhakikishe angalau tunawafikisha asubstantial portion of the population/ economy katika kwenye level ya tatu pale, na hawa wata act kama catalyst ya mabadiliko na maendeleo.