Yo Yo JF-Expert Member May 31, 2008 11,217 1,702 Nov 2, 2010 #1 Jamani mbona kwenye matokeo haya sisikii matokeo ya J4 Malecela? au kapita bila kupingwa?
F Fikra Pevu Senior Member Oct 13, 2010 126 17 Nov 2, 2010 #2 T 726 AQB said: Jamani mbona kwenye matokeo haya sisikii matokeo ya J4 Malecela? au kapita bila kupingwa? Click to expand... Alipigwa chini kwenye kura za maoni
T 726 AQB said: Jamani mbona kwenye matokeo haya sisikii matokeo ya J4 Malecela? au kapita bila kupingwa? Click to expand... Alipigwa chini kwenye kura za maoni
sensa JF-Expert Member Nov 1, 2010 397 22 Nov 2, 2010 #3 Ndio nani huyo?au unamaanisha John Malecela.