Malecela J. alaani uchonganishi wa gazeti la Jambo Leo

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Malecela ameungana na watz wengi wanaolaani uandishi mbovu na wenye hila wa gazeti la Jambo leo.Amesikitishwa na kitendo cha gazeti hilo chochezi cha kuandika kuwa Nape alitaka yeye Malecela na Sita ndo waende Igunga na kusema kuwa ni uongo kwa kuwa Nape anafaham afya ya mzee huyo hairuhusu ashirika katika rabsha kama hizo. Source, itv.
 
He makubwa.Jamboleo si gazeti linalotumiwa na Nape? Imekuwaje tena limewageuka? Ama kweli tutashuhudia mengi mwaka huu.
 
maandiko ya namna hyo ya JamboLEO yanaonesha jinsi ambavyo akina RA na MANJI walivyo na mikono mirefu...they are behind major part of the tz media.
 
He makubwa.Jamboleo si gazeti linalotumiwa na Nape? Imekuwaje tena limewageuka? Ama kweli tutashuhudia mengi mwaka huu.
<br />
<br />
Ila kwangu mimi ni HABARI njema acha wachongeane na wao safi kabisa.
 
He makubwa.Jamboleo si gazeti linalotumiwa na Nape? Imekuwaje tena limewageuka? Ama kweli tutashuhudia mengi mwaka huu.
<br />
<br />
Rostam amerudi jukwaani hivyo wake zake wote waliotaka kumkimbia wanarejea mmoja baada ya mwingine.
We hukuona wanaokuli makambo chini ya meza ya Jairo wakilisukuma gari lake aliporejeshwa wizarani? Kawaulize leo hii kama bado nyoyo zao bado zimeshikamana nae. Hii ni bongo ya majuha bana!
.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom