Elections 2010 Malecela: Bye bye Mtera

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
tangu kijana mpambanaji kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutangaza nia ya kumng'oa mwanasiasa mzee bw samwel malecela. hali ya mzee huyo imezidi kuwa mbaya kisiasa kiasi cha hivi sasa kuhamia jimboni kila mara..
 
You must be out of your mind, nilidhani unataka kutuamia Mzee kaamua mwenyewe kujitoa kwenye kinyang'anyiro. Nani wa kuweza kumng'oa Mzee Chigwe?
 
Kuna uhusiano gani kati ya habari hiyo na kichwa cha habari. Nilitegemea kuona response ya wananchi ndiyo useme malechela byebye. Unganisha mawazo yako kwanza na hali halisi uje na habari ya kueleweka. Otherwise no thanks!
 
Pangetakiwa pawe na filter inayochuja topic kabla haijawekwa hapa jukwaa la siasa. :angry:
 
We bwana acha siasa za kizamani nenda huko kijijini endelea kuwaelimisha wapiga kura usikae kutegemea porojo,kumbuka dua la kuku.......
 
thread yako pumba, au kwakuwa humu jf kuna manazi wengi wa chadema ulitegemea kuungwa mkono kwakuwa umetaja chadema. jenga vizuri hoja yako
 
tangu kijana mpambanaji kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutangaza nia ya kumng'oa mwanasiasa mzee bw samwel malecela. hali ya mzee huyo imezidi kuwa mbaya kisiasa kiasi cha hivi sasa kuhamia jimboni kila mara..

Wahi Milembe broda!
 
Ado, nadhani umemmisi tuu FMEs Wazee wa Sauti za Umeme, hivyo unaanza uchokozi ili akatize likizo yake humu JF!.
FMEs, tulia tuu, endelea na likizo yako, hizi ni kelele tuu za mlango!.
 
Maoni ya mtu kweli inakua breaking news? Nilidhani mwenyewe Malecela
ametamka, ipo haja ya watu kuelimishwa matumizi ya breaking news hapa
jamvini.
 
HIZI BANGI ZINGINE HIZI SOO TUPU,MTU HUJALA UNAKULA JANI KISHA UNATUIBUKIA HAPA NA BREAKING NEWS KAMA UNAOTA VILE.:angry:NENDA KALE KIJANA
 
thread yako pumba, au kwakuwa humu jf kuna manazi wengi wa chadema ulitegemea kuungwa mkono kwakuwa umetaja chadema. jenga vizuri hoja yako

Shhhhhhhhhhhhhh chunga mdomo wako paulss. Chadema sio manazi unasikia wewe? usianze kutuchokoza
 
Back
Top Bottom