Well,
Naona kama tunaandikia mate ilhali wino upo, wakuu niwaletee alichokiongea Mzee Malecela katika Audio Version? Endapo mnakubaliana nami naomba niifunge hii kwa muda tusikilize alichokiongea na kutokea hapo mjadala na uendelee kirahisi...
Well,
Naona kama tunaandikia mate ilhali wino upo, wakuu niwaletee alichokiongea Mzee Malecela katika Audio Version? Endapo mnakubaliana nami naomba niifunge hii kwa muda tusikilize alichokiongea na kutokea hapo mjadala na uendelee kirahisi...
A moment pls, dakika 30 itakuwa hewaniExactly! Tunaandikia mate kweli. Sijui hata ni kwa nini. Mazee hebu weka alichokiongelea Mzee Malecela. Please.
-Ukiheshimu independent thinking yangu utathamini ukweli kwamba Tanzania bado hatujawa na mbunge "illegal" and therefore it is unnecessary and misleading kuongea kuwa "legally alikuwa mbunge from a to b"
Nadhani Billy aliteleza ulimi tu kutumia hilo neno "legally" ambalo linaweza au linaleta implications zingine. Ni uchaguzi mbaya tu wa matumizi ya neno.
Kiranga;406503]- Hakuna jazba hapa, kama kuna jazba basi kuona hili nililolisema kama jazba ndiyo jazba yenyewe - Naona umeleta swala la kuelimishana, huwezi kuelimika mpaka ukubali kuwa umekosea na umeelimishwa, jambo ambalo mpaka sasa hujafanya
- Katika kukomoana na kushushiana hadhi sipo, katika "zero tolerance" nipo.Hii "zero tolerance" tunaihitaji sana, siyo tu katika kupambana na ufisadi na kuleta maendeleo, bali hata katika mawazo na kauli zetu.Moja ya sababu tunakuwa maskini ni hili la kujiachia kuwa na kauli tata, zisizoeleweka, zenye kuweza kutafsiriwa vibaya kama hii kauli ya "legally alikuwa mbunge kutoka a mpaka b". Hii kauli inabidi isahihishwe au unajionyesha haambiliki.
lakini kutakuwa hakuna maana kama unapoelimishwa unakataa kuelimika. Sina nia ya ku intimidate mtu, na wala sijaanza kutumia maneno makubwa, na kama umejua kuwa yako misplaced basi si makubwa hivyo, kwa sababu naamini katika kuelimishana naomba unielimishe nime misplace wapi hayo maneno.
-Ukiheshimu independent thinking yangu utathamini ukweli kwamba Tanzania bado hatujawa na mbunge "illegal" and therefore it is unnecessary and misleading kuongea kuwa "legally alikuwa mbunge from a to b
...kuna majadiliano mengine yanaendelea wala hayahusiani ha content za audio hiyo bali kaulimtu mbovu.
Nadhani Billy aliteleza ulimi tu kutumia hilo neno "legally" ambalo linaweza au linaleta implications zingine. Ni uchaguzi mbaya tu wa matumizi ya neno.
- Huwezi kuelimika kama huwezi kukubali kuwa huna elimu ya kutosha, nimekubali kuwa mkuu una elimu kubwa sana na upeo mkubwa, sasa kushindwa kwako kuliona hili ni moja ya mapungufu yako aynayosababishwa na jazba na ukali wako, katika kujaribu ku-intimdate mtu unayetaka kunifundisha ndio maana huwezi kumuelimisha mtu wa namna yangu ambaye ni intimdated tayari kutokana na jazba na ukali wako.
- Zero tolerance huku ukiwa una-deal na hoja za wengine bin-adam wenye mapungufu kama wewe? Eti umasikini wetu wa-Tanzania unatokana na ku-tolerate kauli tata za wananchi wengine? Mkuu kumbe na wewe mtupu? Eti unakuwa zero tolerance lakini unaambilika?
- Zero tolerance katika mijadala na wananchi wenzio huoni kuwa hapa sio mahali pake mpaka nikuambie? Unafikiri wote hapa tuna elimu saawa na upeo sawa mkuu? Sasa bado huoni the misplace of your big words?
- Ya illegally, sikuyasema ila nimesema ya legally, unakuwaje mbunge legally kama huwezi hudhuria vikao vya wabunge nje ya bunge? Na huwezi kuitwa mbunge?
Kiranga,
Hizo "kaulimtu mbovu" ni kitu kinachonisumbua sana. Wabongo na kauli na usahihi na umakini na details tuko nyuma.
Bwana W.J. Malecela anasema unavyomdai uhakiki wa kaulimtu ni ukali. La hasha! Tunajaribu kujenga ka jamii kanako jali taarifa na usahihi na details na kaulimtu zilizonyooka.
- Again ya kaulimtu ni misguided, misinformed, igonarnce, au misplaced na it could be all the above, kwa sababu nimeongelea state of legally being an MP, lakini not the state of not being MP legally, ambayo ungeisaidia sana hii forum kama ungajaza hiyo blank badala ya kujaribu kuniwekea maneno mdomoni ya illegally ambayo sikuyasema.
- Na I stand to what I said, kwamaba Dr. Malecela, legally amekuwa mbunge kuanzia 1975, sasa kwa msomi yoyote mwenye kuona mbali kielimu as you guys claim to be mlipaswa kutafuta namna ya ku-fill in the blank, sikuwa mjinga kutokugusua state of what he was alipokuwa waziri wa nje kwa sababu sikuwa na words to fit the ishu, ndio maana nikaacha blank, sasa fill in tuelimishe what was he? Badala ya kujaribu hizi gotcha games.
Ahsanteni Tena.
Wakuu haina haja ua ku complicate kuhusu hilo la "Legally" Ni wazi alikuwa akicompare sheria za wakati ule na sasa na ukifanya comparison unaweaza kutumia lugha aliyoitumia during explanation kwamba legally(baada ya mabadiliko ya kisheria) huwezi kuwa waziri kama si mbunge,kwa standard za sasa ni illegal licha ya kwamba haikuwa illegal kwa wakati huo(before 1975) kuwa waziri hata kama wewe si mbunge.
Kwahiyo comparison wise ni illegaly,lakini referencewise siyo kwani sheria za wakati huo ziliruhusu,hivyo mjadala usije ukabadilika na kupoteza meaning kwasababu tu ya makosa madogo madogo....Najuwa wengine tuna mu hold ndugu yetu Malecela on high standards kama tunavyofanya kwa members wengine hapa ambao ni watumishi wa jamii in one way or another ie Dk Slaa, and Zitto,hata hivyo ni muhimu tuka concentrate kwenye hoja especially kama tumeweza kuelewa kuwa ni kosa dogo tu la kimatamshi.
Ukiyataja ya legally umeyataja ya illegally by induction, hizi ni pande mbili za sarafu ile ile. Tanzania tuna watu wabunge, na wengine si wabunge, hatuna wabunge legal, kuwa mbunge maana yake ni kwamba uko legal kwa hiyo mbunge legal ni an unnecessary and confusing misnomer. Either mbunge, au si mbunge.Ukitaka kumleta mbunge legal basi hapo hapo umemuonyesha kwamba anawezekana kuwepo mbunge illegal.