Malecela and Dr. Salim - Into Oblivion?

Kwakweli ninaona juhudi kubwa za kujaribu kuuharibu huu mjadala, nimesema nitaanza na elimu na CV za viongozi wetu, kwa sababu katika polical smarts za kisasa tunalinganisha, katika kushambulia au kuhukumu, ni lazima tujue wanatokea wapi hawa viongozi wetu, Dr. Malecela included!

Kuhusu jimbo la Dr. Malecela, nafikiri only Mheshimiwa Zitto, ndiye anaweza kunisaidia kwa hilo, kwani inafahamika na bunge zima kuwa ni jimbo lake pekee tu ndilo lenye shule ya msingi na dispensary katika kila tarafa 51 za jimbo lake, likiongoza taifa zima! Kwa hiyo kabla hatujaandika hapa tuwe tunatafuta ukweli uko wapi kwanza maana sio wote wajinga hapa!

Mwalimu, as far as I am concerned hana kiongozi yoyote wa bongo mwenye kumlinganisha naye, na political smarts za kileo, zinataka mwananchi kujiangalia hali yake kwanza, kabla ya kuangalia hali za wananchi wengine, katika kutoa hukumu kwa viongozi wake mbali mbali waliowahi na wanaoendelea kumtawala. Mwalimu, alikuwa ni kiongozi wa pekee na kundi lake halina wa kumsogelea kabisaaa, kwa hiyo huyo tunamuondoa kabisaa kwenye huu mjadala.

Ila kabla sijaendelea ni lazima niseme kuwa nimeshitushwa sna na hoja ya mjumbe mmoja kuwa ni afadhali ya Msuya?

......Itaendelea........!
 
Mzee ES, nakubaliana na wewe nadhani tumuongeze huyu kwenye huu mjadala. Admn.. unaweza kuongeza jina la Msuya kwenye Oblivion? tafadhali.
 
Bi 50 Cents,

Kwanza heshima yako mkuu, great labda niwataje kwa majina viongozi wetu wa zamani, na baadhi ya wa sasa ambao mimi ninawaona kuwa walikuwa katika makundi mawili,

(1). Waliokuwa na uamuzi wa mwisho katika creation za political policies za taifa letu, ambazo zilikuwa zikitugusa wananchi binafsi katika maisha yetu ya kila siku, nao ni Mwinyi, Mkapa, sasa Kikwete!


(2). Waliokuwa na higher ifluence, katika process za creation za policies za taifa letu kabla ya kuamuliwa na viongozi wetu wa kundi la kwanza, nao ni Kambona, Kawawa, Sokoine, Dr. Salim, Msuya, Warioba, Dr. Malecela, na Sumaye!

(3). Waliokuwa na influence kidogo, nao ni Karume, Jumbe, Idrisa, Seif Hamadi, Omari Juma, Dr. Salimin, Karume (Mtoto), Dr. Bilali, na Nahodha!


Kabla ya sijaambiwa kuwa ninataka kupotosha ukweli, ninaomba kama kuna niliyemuacha aongezwe kwenye any of the list hizo juu! Isipokuwa tu kuna uwezekano kuwa nisiguse kabisa kundi la tatu katika uchambuzi!

......Itaendelea......
 
Perdana Menteri Republik Serikat Tanzania
Rashidi Kawawa 17 Februari 1972 13 Februari 1977 TANU
Edward Moringe Sokoine 13 Februari 1977 7 November 1980 CCM
Cleopa David Msuya 7 November 1980 24 Februari 1983 CCM
Edward Moringe Sokoine 24 Februari 1983 12 April 1984 CCM
Salim Ahmed Salim 24 April 1984 5 November 1985 CCM
Joseph Sinde Warioba 5 November 1985 9 November 1990 CCM
John Malecela 9 November 1990 7 Desember 1994 CCM
Cleopa David Msuya 7 Desember 1994 28 November 1995 CCM
Frederick Sumaye 28 November 1995 30 Desember 2005 CCM
Edward Lowassa
30 Desember 2005 sekarang CCM



Mzee Mtanzania, shukrani nimekusikia mkuu!
 
Hebu tutolee uchafu wako hapa
Kama unataka kumjadili baba yako Malecela...cut to the chase na mjadili...haya mambo ya nani kasomea wapi na nini hatuna muda nayo.
 
Yaani Malecela kumbe ni baba yako ndio maana una hasira nini bro?
Mtu asiyekuwa na muda huwa haingii kwenye topic, the point ni kwamba tunajaribu kuachana na mijadala ya pua, kama unayotaka kuianzisha, mimi sina baba humu forum na wala usijaribu kunitisha kijana, kama unataka waaambie wakubwa wako humu wafute post zangu kama mlivyofanya huko nyuma ila usinitishe maana hapa kwangu ni ngoma nzito,

Ni muhimu tukajua elimu za viongozi tunaowaongelea kutwa hapa, na pia ni muhimu kujua walikotoka kisiasa, ili kujua walmefikaje walipo sasa, kama hupendi huuu muondoko badili chanell bro, ila usitishe mtu hapa!

On my time taratibu, sina haraka, kama kuna baba yako hapo ambaye ahana elimu ya kuwafikia wenziwe usinilaumu mimi bro!
 
On my time taratibu, sina haraka, kama kuna baba yako hapo ambaye ahana elimu ya kuwafikia wenziwe usinilaumu mimi bro!

ndio mkuu taratibu ndio mwendo - take your time

angalia tu usije ukakwaa kisiki

be cool as a fish in the pool - asikupandishe pressure huyo Nyani
 
Duh! Nyani ni mara ngapi umenitisha bro na tumepambana hapa uso kwa uso, toka BCS? ninakuomba usiuharibu hu mjadala, fungua thread mpya ya ku-deal na huo u-bully wako, sikukimbii maana si unajua kuwa sijawahi hata siku moja kukimbia mtu bro, sembuse wewe?

Wewe leo 2007 bado una matusi ya fala? fungua thread mpya bro, tule sahani moja!
 
Hebu tutolee uchafu wako hapa
Kama unataka kumjadili baba yako Malecela...cut to the chase na mjadili...haya mambo ya nani kasomea wapi na nini hatuna muda nayo.

What provoked that outburst? What are trying to achieve?
 
Mzee Kalamu & Jembajemba,

Heshima wakuu, msiwe na wasi everything is under control! tutaendelea na mjadala taratibu na kwa nafasi hatishwi mtu, si ndio new motto hapa forum au?
 
Na wewe leo 2007 hujui kama fala sio tusi? Wewe porojo nyingi mno huna lolote. We kila mtu unamjua. Kila kitu unajua. Kila kiongozi unamjua. Kila kazi kuanzia ubunge hadi ubaharia umefanya. Kila kona ya dunia hadi ugiriki umefika. Kazi kwenye Television bongo umepewa eti kutokana na michango yako hapa kwenye internet...(by the way how is that going?) Good Lord!!! Kwa mtu yoyote yule mwenye common sense atakustukia wewe ni fraud. I'm nut bullying you or anything...I'm just spitting the truth. You are a total fraud.
 
......Inaendelea.........!

Rashid Mfaume Kawawa





Name: Rashid Mfaume Kawawa
Date of Birth: 1926 - Matepwende, Songea Ruvuma Region

Education: 1941 - Primary - Liwale Lindi

1942 - 1947 Dar es Salaam Secondary School

Employment/

Appointments 1955-1960 - Secretary General and President - Tanganyika Federation of Labour

1960-1961 Minister of Local Government and Housing

1961 Minister without Portfolio

1962 Prime Minister of Tanganyika

Dec. 1962-April, 1964 Vice President of Tanganyika

1964-1972 Second Vice President of the Republic of Tanzania

1972-77 Feb. Prime Minister and Second Vice President of the United Republic of Tanzania

Memberships: 1953-1960 Tanganyika African Government Servants’ Association

1958 Member of TANU Central Committee and TANU vice President; CCM Member and Member of the Central Committee, Chairman, Standing Committee on Party Affairs

1982 Secretary General, CCM


.....Itaendelea.........!
 
Hizi ndio CV za viongozi waliotufikisha hapa tulipo as a nation, na Mungu aibariki bongo yetu! hivi kijana huoni kuwa taifa letu linahitaji kuombewa kanisani kila siku!

Yaaani hiii ni elimu ya bure from the forum ngoja sisi tule hiii elimu!
 
Viongozi wawili ambao wote waliwahi kuwa Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamebakia kuwa ishara ya "kilichotokea" CCM.


Dr. Malecela bado ni kiongozi wa CCM, yaani makamu wa mwenyekiti wa CCM, na pia Mbunge wa taifa wa Mtera(CCM), Chancellor wa Open University Dar-Es-Saalam, Dr. Salim, pia bado ni mjumbe wa NEC wa CCM, kwa hiyo si kweli kwamba wamebaki kuwa inshara ya kilichotokea CCM, in fact wote wawili bado ni inshara ya yanayotokea CCM sasa hivi, na mfano mzuri ni uchaguzi wa bunge kule Tunduru, hivi karibuni ambako Dr. Malecela ndiye aliongoza kampeni hiyo upande wa ushindi, yaani CCM.

Dr. Salim, yeye hayupo nchini yupo Abuja, kama muwakilishi wa kimataifa wa Darfour, kwa hiyo hashiriki sana kwenye shughuli za kila siku za CCM, lakini huhudhuria vikao vyote vya maamuzi ya juu vya CCM, hapa bongo.

Wote wawili waliwahi kuwa mawaziri wakuu, na pia waliwahi kuwa wawakilishi wetu kule UN, na to this day heshima waliyoiacha kule kwa taifa letu, ni kubwa sana mpaka haikuwa tatizo kwa UN kutupatia nafasi nyingi za uongozi mkuuu wa UN na OAU, kutokana na misingi ya uongozi walioionyesha huko, leo wabongo tunawakilishwa huko na Mama Tibaijuka, Mama Mongella, Mama Migiro, Balozi Manongi, na bwana Yusuf. Na ni hivi karibuni tu Balozi Mahiga, alikuwa mwenyekiti wa Security Council wa Dunia huko UN, sasa wakati hawa wabongo waki-enjoy matunda ya uongozi uliowekwa na Dr. Salim na Dr. Malecela katika miaka ya nyuma, tumesikia nchi kama Kenya, Nigeria, na South Africa, wakilia wivu kwamba kwa nini wabongo tu ndio wanaopewa nafasi hizo kubwa za dunia, ukweli ni kwamba wazungu hujali references katika kutoa nafasi hizo za dunia, sio ukubwa au utajiri wa nchi.

......Itaendelea........!
 
Nyani ,

Hakuna haja ya kumtukana mtu ...sio sahihi na sio ustaarabu kumuita mtu mwingine fala simply kwa sababu unapinga kile alichosema ! Tupingane kwa hoja maneno kama fala na mengine hayana nafasi kabisa katika hii forum !
 
Back
Top Bottom