Malecela and Dr. Salim - Into Oblivion?

Mzee ES,
Mimi wasifu wake sina. Ila umesema huo wasifu uliotoa Wikipedia. Mimi nilichofanya ni kuongeza tu yale ambayo Wikipedia hawakuwa nayo, that's all. Hakuna cha jazba. Basi turudi kwenye topic ambayo ni ufanisi wa Wazee Salim na Malecela--topic ambayo mimi nilishaahidi sitaigusa hata ukinipa mlingoti wa futi kumi.
 
Watanzania wawakumbuke viongozi hawa kwa yapi? Nafikiri ndilo swali la mjj. Je historia ya nchi yetu inaweza kuwakumbuka kwa jambo gani ambalo pasipo wao lisingefanyika? Kwa maoni yangu ni kuwa Malecela na Salim wangeweza kupita katika historia kama hawakuwahi kuwepo kwani historia ya Tanzania itakapoandikwa majina yao yanaweza yasikumbukwe (may be Salim kidogo anaweza kukumbukwa kwa siasa za Kimataifa).

Hilo ndilo hitimisho langu Dr. Malecela na Dr. Salim ni failures of domestic body politics and history will treat them as such.

Asanteni.
 
........Inaendelea........

Christopher Mtikila
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search

Rev. Christopher Mtikila addressing a crowdRev. Christopher Mtikila was born in southern Tanzania in 1950. He studied abroad and became active in the human rights organization of the Full Salvation Church known as the Liberty Desk. He is described as a "dangerous opportunist" and a highly polemic individual. Others view him as a champion of ordinary people in a struggle against Gabocholis (a derogatory term used to describe Tanzanians of Asian origin). (Indian Ocean Newsletter 13 Feb. 1993) Toward the end of 1995, a growing sense of Tanganyikan nationalism was taking hold and there was an increase of separatist sentiment on the mainland. DP leader, Rev. Mtikila, one of the most extreme advocates of separatism, launched verbal attacks against Islam, the religion adhered to by the majority of Zanzibaris.


......Itaendelea.......
 
Katika political correctness za kisasa huwa tunalinganisha between viongozi na waliyoyafanya, Malecela in your views ni failure kulinganisha na kiongozi gani chini Tanzania na aliyefanya nini, na hakufanya nini?

Hakuna anayekuzuia kumuona Malecela ni failure, mimi ninachojaribu ni kuangalia kwa undani hoja yako kwa kulinganisha kuanzia elimu za viongozi wetu against "the Failure" Malecela na ninakuja pole pole mpaka kwenye uwezo wao kisiasa, lakini nimeanzia na elimu, that is all!

Kama ni historia huwa inaandikwa na walioko kwenye madaraka, unless utakuwa ni wewe hawa watahukumiwa kwa mema mengi waliyolifanyia taifa hili, na mabaya machache ambayo yalitokana na mapungufu yao kama sisi wote bin-adamu tulivyopungukiwa, historia ya nchi yetu haindikwi na wewe na Mzee MMJ, au haiwi predicted na ninyi watu wawili halafu ikawa ndio final authority on Salim na Malecela, hapana tunazo akili wabongo na ndio hivi tunajaribu kuchambua ukweli!
 
......Inaendelea.........


Salim Ahmed Salim
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
Salim Ahmed Salim



--------------------------------------------------------------------------------

5th Prime Minister of Tanzania
In office
April 24, 1984 – November 5, 1985
President Julius Nyerere
Preceded by Edward Moringe Sokoine
Succeeded by Joseph Sinde Warioba

--------------------------------------------------------------------------------

Born January 23, 1942
Zanzibar
Political party Chama cha Mapinduzi
Salim Ahmed Salim (b. January 23, 1942, Zanzibar, present-day Tanzania) a Tanzanian diplomat who has worked in the international diplomatic arena since the early 1960s. Salim is married to Amne and they have three children: Maryam, Ali and Ahmed.

Contents [hide]
1 Education
2 Positons held in Tanzania
3 Diplomatic positons held
3.1 Positions at the United Nations
3.2 Other diplomatic positions
4 Honours and decorations
5 See also
6 External links



[edit] Education
He was educated at Lumumba College in Zanzibar and later pursued his undergraduate studies at the St. Stephen's College of the University of Delhi and obtained his Masters degree in International Affairs from the School of International and Public Affairs at Columbia University in New York. He became a student activist in the early 1960s and was founder and first Vice President of the All-Zanzibar Student union. He holds six Doctorates (Honoris Causa) including: Doctor of Laws, the University of Philippines at Los Baños (1980), Doctor of Humanities, University of Maiduguri, Nigeria (1983), Doctor of Civil Law, University of Mauritius (1991), Doctor of Arts in International Affairs, University of Khartoum, Sudan (1995), Doctor of Philosophy in International Relations, University of Bologna, Italy (1996), and Doctor of Laws, University of Cape Town, South Africa (1998).


[edit] Positons held in Tanzania
Chief Editor of a Zanzibar daily paper, Secretary General of the All-Zanzibar Journalists Organisation 1963-1964
Minister for Foreign Affairs 1980-1984
Prime Minister of Tanzania 1984-1985
Deputy Prime Minister of Tanzania 1986-1989
Minister for Defence and National Service 1986-1989
President of the Julius K. Nyerere Foundation 2001 - current
 
Julius Nyerere
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jump to: navigation, search
This article or section is missing citations and/or footnotes.
This article or section contains insufficiently sourced phrases. Using inline citations helps guard against copyright violations and factual inaccuracies. You may improve the article or discuss this issue on its talk page. Help on using footnotes is available. This article has been tagged since July 2007.

Julius Kambarage Nyerere



--------------------------------------------------------------------------------

1st President of Tanzania
In office
October 29, 1964 – November 5, 1985
Preceded by None
Succeeded by Ali Hassan Mwinyi

--------------------------------------------------------------------------------

Born April 13, 1922
Butiama, Tanzania
Died October 14, 1999
London, United Kingdom
Political party CCM
Spouse Maria Nyerere
Julius Kambarage Nyerere (April 13, 1922 - October 14, 1999) was the first President of Tanzania, and previously Tanganyika, from the country's founding in 1964 until his retirement in 1985. Born in Tanganyika to a local Zanaki chief called Nyerere Burito, Julius Nyerere was known by the Swahili name Mwalimu or 'teacher' because of his profession before becoming active in politics.

Contents [hide]
1 Education
2 Political career
2.1 Government Positions Held
3 Economic Policies
4 Foreign Policy
5 After the Presidency
5.1 Positions Held after Presidency
5.2 Beatification inquiry
6 Honorary Degrees
7 Awards
8 Posthumous Awards
9 Publications & Literary Works
10 See also
11 References
12 External links
12.1 Beatification



[edit] Education
Nyerere began attending Government Primary School in Musoma at the age of 12 where he completed the 4 years program in 3 years and went on to Tabora Boys Government Secondary School. He received a scholarship to attend Makerere University, (at that time it was the only tertiary education institution in East Africa), where he obtained a teaching Diploma. He returned to Tanganyika and worked for 3 years at St. Mary’s Secondary School in Tabora, where he taught Biology and English. In 1949 he got a scholarship to attend the University of Edinburgh (he was the first Tanzanian to study at a British university and only the second to gain a university degree outside Africa) where he obtained his Masters of Arts Degree on Economics and History in 1952. In Edinburgh, partly through his encounter with Fabian thinking, Nyerere began to develop his particular vision of connecting socialism with African communal living.


[edit] Political career
On his return to Tanganyika, Nyerere took a position teaching History, English and Kiswahili, at St. Francis' College, near Dar es Salaam. In 1953 he was elected president of Tanganyika African Association (TAA), a civic organisation dominated by of civil servants, that he had helped found while a student at Makerere University. In 1954 he transformed TAA into the politically oriented Tanganyika African National Union (TANU). TANU's main objective was to achieve national sovereignty for Tanganyika. A campaign to register new members was launched, and within a year TANU had become the leading political organisation in the country.[1][2]

Nyerere's activities attracted the attention of the Colonial Authorities, and he was forced to make a choice between his political activities and his teaching. He was reported as saying that he was a schoolmaster by choice and a politician by accident. He resigned from teaching and traveled throughout the country speaking to common people and tribal chiefs, trying to garner support for movement towards independence. He also spoke on behalf of TANU to the Trusteeship Council and Fourth Committee of the United Nations in New York. His oratory skills and integrity helped Nyerere achieve TANU goal for an independent country without war or bloodshed. The cooperative British governor Sir Richard Turnbull was also a factor in the struggle for independence. Nyerere entered the Colonial Legislative council in 1958 and was elected chief minister in 1960. In 1961 Tanganyika was granted self governance and Nyerere became its first Prime Minister on December 9, 1961. A year later Nyerere was elected President of Tanganyika when it became a Republic. Nyerere was instrumental in the union between the islands of Zanzibar and the mainland Tanganyika to form Tanzania, after a coup in Zanzibar in 1964 toppled Jamshid bin Abdullah, who was the Sultan of Zanzibar.


[edit] Government Positions Held
1954 A Founder Member of TANU
1958-1960 Member of the Legislative Assembly in the first elections in which Africans were allowed to vote.
1958 Leader of the Opposition in Parliament.
1960 Chief Minister of the first Internal Self-Government Administration.
1961 Prime Minister of the first Government of Independent Tanganyika
1962 Elected President of Tanganyika when it became a Republic.
1963-1970 Chancellor of the University of East Africa.
1964-1985 President of the United Republic of Tanzania.
1970-1985 Chancellor of University of Dar-es-Salaam.
1977-1990 Chairman of Chama Cha Mapinduzi which was formed by a merger between TANU and the Afro-Shiraz Party of Zanzibar. CCM was born in Zanzibar on February 5, 1977.
1984-1985 Chancellor of Sokoine University of Agriculture.
1985: Retired from Presidency. 1999: Died of leukemia in London.


[edit] Economic Policies

Symbolic mixing of Soils from Zanzibar and Tanganyika in 1964When in power, Nyerere implemented a socialist economic program (announced in the Arusha Declaration), establishing close ties with China, and also introduced a policy of collectivization in the country's agricultural system, known as Ujamaa or "familyhood".

Although some of his policies can be characterized as socialist, Nyerere was first and foremost an African, and secondly a socialist. He was what is often called an African socialist. Nyerere had tremendous faith in rural African people and their traditional values and ways of life. He believed that life should be structured around the ujamaa, or extended family found in traditional Africa. He believed that in these traditional villages, the state of ujamaa had existed before the arrival of imperialists.

He believed that Africans were already, recently, socialists, all that they needed to do was return to their traditional mode of life and they would recapture it. This would be a true repudiation of capitalism, since his society would not rely on capitalism to exist. This ujamaa system failed to boost agricultural output and by 1976, the end of the forced collectivization program, Tanzania went from the largest exporter of agricultural products in Africa to the largest importer of agricultural products in Africa. Politically and socially the declaration was hugely unpopular. It was a failure and only plunged Tanzania into further debt, a crisis in its balance of payments deficits and worsened relations with international donors.

With the realisation that the Tanzanian economy did not flourish and being unwilling to lead Tanzania using an economic model he did not believe, Nyerere willingly announced that he would retire after presidential elections in 1985, leaving the country to enter its free market era under the leadership of Ali Hassan Mwinyi.

Nyerere was instrumental in putting both Ali Hassan Mwinyi and Benjamin Mkapa in power. He remained the chairman of Chama Cha Mapinduzi (ruling party) for five years following his presidency until 1990, and is still recognised as the Father of the Nation
 
Mzee ES,

Use Wikipedia cautiously; myself, I do use it as a reference from time to time but very cautiously
 
Ahsante mkuu wangu, ila angalau kuna ka-mahali pa kupatia hizi wasifu, ila sina neno kama kuna mwenye marekebisho kwenye any za hizo wasifu,

Ila shukrani kwa ushauri wako mkuu!
 
Mzee ES,za kale hazivumi ndg yangu,historia ndiyo inayotoa hukumu kwa kila jambo,uzuri wa Dr.Cigweyimisi na ubaya wa Dr.BM ni vitu viwili tofauti,Dr.BM ni historia ambayo kila Mtanzania na walimwengu sasa wanayo haki kuisoma kwa mabaya na mazuri yake na ni kwa mtaji huohuo wapenzi wa historia wataamua yupi ni faraja kwa nchi hii na nani ni tatizo,acha kujipendekeza kwa JK kwa sahangilio la kinafiki wakati dhahiri rohoni mwako unaonyesha una jambo linalokukereketa,mwache ajitume kwa moyo wake wote na sisi tumuunge mkono kwa vitendo na tuwe wakweli daima ili afahamu kuwa kweli watanzania ni washirika wenzake ktk kutafuta maendeleo ya kweli.

Mwisho ushauri wa kumtaka Dr. Cigweymisi ajing'atue una faida mbivu,awape wapenzi wa historia nafasi kumsoma kwa mema na mabaya yake kama ilivyo kwa Dr.BM.

Ahsante kaka
 
Bwana Biro,

Heshima yako kaka, ila sijakuelewa unasema nini vipi ukifafanua kidogo, maana mimi ni CCM toka siku ya kwanza nilipoingia BCS na sijawahi kuficha wala kuwa mnafiki on hilo, kwamba CCm ni chama changu na kina uozo ndani yake unaohitaji kuondolewa, lakini sio kwamba viongozi wake wote ni wabovu, hapana kuna wenye uwezo mkubwa wa kuongoza na Salim na Malecela, ni wamojawao, sasa ndugu yangu unafiki wangu kwa JK unatokea wapi?

Mapungufu yote ya Malecela, ambayo wewe na wenzako mnaya-create kuwa ni makubwa sana kiasi cha yeye kuhitaji kuuliwa yanafahamika sana na wananchi wa jimbo lake la Mtera, na wananchama wote wa CCM, lakini walimchagua anyaway, sasa leo ang'atuke eti kwa sababu wewe Biro humtaki against wananchi wa Mtera Asilimia 95% waliomchagua ubunge, na wajumbe wa CCM 99.9% waliomchagua kuwa makamu wao wa CCM? Hiyo ndio demokrasia ambayo wewe na wenzako humu fourm mnaiona kuwa ni the future of nchi yetu?

Malalmiko yenu against Malecela ni yale yale tu ambayo yalianzishwa na Mwalimu, vipi hakuna mapya? Kasma ni uwezo kisiasa si huwa unahukumiwa kutokana na results, spika Gingrich wa Republican alijiuzulu baada tu ya Republican kushindwa bungeni na Democrats, lakini akaendelea kuwa mbunge mpaka muda wake ulipokwisha, sasa hebu tuchukulie uchaguzi wa hivi karibuni kule Tunduru, ambako upinzani walipamabana na Malecela uso kwa uso, matokeo yalikuwa Malecela(CCM) kura 63%, Chadema (Freman) 3%, sasa ndugu yangu hebu kuwa mkweli anayetakiwa kung'atuka katika siasa ya nchi yetu ni nani hapo?

Next time usinipandikize mawazo au idea ambazo sio zangu bro, JK ni rafiki yangu wa karibu sana mkuu, lakini sijawahi kumuonea haya hapa, anapokuwa raight ninasema na anapokuwa wrong ninamkosoa, lakini bado ninaiheshimu demokrais aya nchi yangu iliyompa madaraka kwa Asilimia 80%, na ninaamini anyetaka kumtoa anahitaji kuwashauri wananchi kuwa hafai ili next time wasimpe kura na chama chake!

Ahsante saana mkuu wangu ambaye kwa jina lako unaonekana ni mwanachama mpya, karibu pia katika forum hii ndugu "Mgeni"! na historia ya nchi yetu Tanzania haitaandikwa na wewe na wenzako!
 
Mzee ES,
Tafadhali, tafadhali, hizo CV za wamesoma nini na wapi hazitusaidii kitu chochote? Tueleze wamefanya nini katika mapambano ya kumkomboa Mtanzania toka janga la umaskini.

Hatutaki vijana wetu waendelee kuzamia meli kwa lengo la kukimbia shida TZ, wazamie meli kwa mapenzi yao. Wajibu wa hawa
viongozi si kututambia kwa jinsi walivyosoma vizuri, bali kututambia kwa mafanikio yao makubwa katika utendaji wao.

Namheshimu mzee Malecela lakini kwa kweli sioni katika miaka yote hiyo ya utumishi wake amefanya nini cha ajabu? Malecela ni kundi moja na Kawawa, Wazalendo wa nchi yao, watiifu kwa viongozi wao na hapo ndipo inapoishia.

Hawa viongozi wawe judged kwa juhudi zao za kutumia resources kidogo tulizo nazo katika kumkomboa Mtanzania kiuchumi, kupambana na maradhi pamoja na ujinga.

Wote tulisoma hapa, kule kwa mheshimiwa Malecela kuna shule ina mwalimu mmoja. There is no way kwenye jimbo langu ninaweza kuruhusu shule ikawa na mwalimu mmoja. Huenda hata mzee wetu alikuwa hajui (out of touch).

Mrema hajasoma kama hao wengine lakini angalau tunaweza kuona nini alifanya katika kipindi kifupi. Sokoine hakusoma lakini
tunajua alifanya nini, kila wakati alikuwa anakuja na mawazo mapya, hata kama alishindwa lakini change ndio inaleta maendeleo na huwezi kuleta maendeleo kwa kuweka stability mbele. Maendeleo yanakuja pale kunapokuwa na mapambano ya fikra.

Ningetaka kufahamu, je Malecela kama mbunge kafanya nini kule Dodoma? Najua kama waziri na waziri mkuu hakuna cha maana, ingelikuwa marks ningetoa AVERAGE.

Siyajui mafanikio ya Mbowe kama mbunge na mwanasiasa ila najua mafanikio yake kama mfanyabishara. Hayo ndio mambo ya kuongelea na sio hizo CV za kasoma wapi.
 
Mtanzania take 5

Hiyo ya kuwa wamesoma sana na kuwa na CV nzuri haitusaidii chochote, hasa huyu Dr. Salim yeye ndio hafai kabisa kule Pemba sijui kaisaidi kitu gani. kama yeye ni deplomasia mbona mpaka leo kashindwa kusaidia kutatua mpasuko wa kisiasa Zanzibar? kusaidia nje wakati nyumbani kwako kubovu ndio kuisaidia nchi hivyo?

Naomba tuwe wakweli tusipelekwe na mapenzi binafsi. Tufahamisheni hawa mabwana (madokta) wameisaidia kitu gani Tanzainia?
 
Mtanzania na Jembajemba,

MMeongea vizuri, sasa mwacheni ES naye awajibu. Ila mngeweka kidogo bayana yaliyotakiwa kufanywa na hawa watu lakini hawakufanya. Yaani failures zao, vilevile mngeleta pia mazuri yao, ili wataalamu wa kuangalia pande zote za shilingi tuchambue.

Tinaendelea

CCM hoyeee!

FD
 
...Namheshimu mzee Malecela lakini kwa kweli sioni katika miaka yote hiyo ya utumishi wake amefanya nini cha ajabu? Malecela ni kundi moja na Kawawa, Wazalendo wa nchi yao, watiifu kwa viongozi wao na hapo ndipo inapoishia...Wote tulisoma hapa, kule kwa mheshimiwa Malecela kuna shule ina mwalimu mmoja. There is no way kwenye jimbo langu ninaweza kuruhusu shule ikawa na mwalimu mmoja. Huenda hata mzee wetu alikuwa hajui (out of touch).

Mtanzania na Jembajemba,

MMeongea vizuri, sasa mwacheni ES naye awajibu. Ila mngeweka kidogo bayana yaliyotakiwa kufanywa na hawa watu lakini hawakufanya. Yaani failures zao, vilevile mngeleta pia mazuri yao, ili wataalamu wa kuangalia pande zote za shilingi tuchambue.

Tinaendelea

CCM hoyeee!

FD

Upande mmoja wa shilingi kumhusu Malecela si huo hapo?Tusaidie basi mtaalam kutuchambulia kuhusu failure yake kwenye maendeleo ya elimu jimbo lake.
 
Kumbukumbu yangu ya karibu kuhusu Malecela ni ile kauli yake kuwa "wananchi can go to hell..." na pengine ataendelea kukumbukwa kwa failures zake ktk kila jaribio la kuingia Ikulu.Ni aibu kwa VC kutopitishwa kuwa mgombea wa chama kwenye nafasi ya urais kila anapojaribu bahati yake.
Kuna wanaotutaka tuamini kuwa Malecela ni mwanasiasa anayeheshimika sana ndani ya CCM lakini hawatuambii kwanini heshima hiyo (kama ipo) hai-turn into nomination ktk attempts za kikongwe huyo kuingia Ikulu.
Pia kama angekuwa ni aina ya mwanasiasa mwenye machungu na nchi yake basi ni dhahiri hata akina Slaa au Kabwe wasingepata fursa ya kuongelea unyang'au unaofanywa na baadhi ya watendaji wa CCM.Nyerere aliheshimika kwa vile hakumuonea mtu aibu,Sokoine anakumbukwa kwa vile alikuwa na maneno machache lakini matendo marefu,na Mrema atakumbukwa kwa kelele zilizo-turn into actions.Yaani hata mkewe kaweza kumpiga bao pale alipowataka viongozi wetu wamuogope Mungu wanapofanya maamuzi yanayoathiri Taifa letu!Where's this old man?Sakata la Richmond alikaa kimya,ishu ya BOT yuko kimya,utata kwenye mikataba ya madini yuko kimya,ahadi hewa za Chenge kuhusu miundombinu yuko kimya,potential impacts za bajeti ya Meghji yuko kimya.Then bado mtu anatuambia kuwa this is a distinguished politician?Party afflitions aside,Zitto Kabwe,Slaa,Seleli,marehemu Amina Chifupa,nk wataingia kwenye kumbukumbu za Watanzania kwani angalau wametuonyesha wanafahamu matatizo yanayowakabili Watanzania.Unadhani kama Malecela angekuwa na hiyo "heshima" inayosemwa,then akashikia bango ishu kama Richmond au hii ya BOT tusiongeona mabadiliko?
 
FD,

Mambo tunayoyataka kutoka kwa viongozi wetu ni mengi tukiyaorodhesha hapa tutaandika kurasa na kurasa. Kwa kuwa CCM wenyewe walituambia tuna maadui watatu, Ujinga, maradhi na umasikini nafikiri tunaweza kuangalia achievement zao based on those.

Nikifocus kwa JSM pekee, pamoja na kuwa mbunge kwa miaka nenda miaka rudi ameshindwa hata kupunguza ujinga, maradhi na umasikini katika jimbo lake. Last week ndiyo kwanza anaanza kulalamikia barabara ya mtera-iringa kuwa itasaidia kuinua utalii. What a joke Doc. mzima alikuwa wapi kuona siku zote kama mbunge, VP, PM na VC wa CCM????

Mtanzania anakuambia kule mtera kuna shule ina mwalimu mmoja hapo ujinga utaondoka lini. Mimi naona akangejifunza kwa Msuya. Mimi siyo mpare lakini nafikiri watu kama wale ndiyo wanatakiwa. Kama wameweza kupeleka maendeleo kwao kwa nyazifa walizoshika then wangeweza kuleta maendeleo kwa taifa kama wangepewa nchi. Hizo asilimia 95 JSM anazozipa kwenye uchaguzi ni dalili kati ya matatizo hayo matatu, ndiyo sababu aliwahi kuwambia wananchi wa jimbo lake "you can go to hell".
 
FD,

Mambo tunayoyataka kutoka kwa viongozi wetu ni mengi tukiyaorodhesha hapa tutaandika kurasa na kurasa. Kwa kuwa CCM wenyewe walituambia tuna maadui watatu, Ujinga, maradhi na umasikini nafikiri tunaweza kuangalia achievement zao based on those.

Nikifocus kwa JSM pekee, pamoja na kuwa mbunge kwa miaka nenda miaka rudi ameshindwa hata kupunguza ujinga, maradhi na umasikini katika jimbo lake. Last week ndiyo kwanza anaanza kulalamikia barabara ya mtera-iringa kuwa itasaidia kuinua utalii. What a joke Doc. mzima alikuwa wapi kuona siku zote kama mbunge, VP, PM na VC wa CCM????

Mtanzania anakuambia kule mtera kuna shule ina mwalimu mmoja hapo ujinga utaondoka lini. Mimi naona akangejifunza kwa Msuya. Mimi siyo mpare lakini nafikiri watu kama wale ndiyo wanatakiwa. Kama wameweza kupeleka maendeleo kwao kwa nyazifa walizoshika then wangeweza kuleta maendeleo kwa taifa kama wangepewa nchi. Hizo asilimia 95 JSM anazozipa kwenye uchaguzi ni dalili kati ya matatizo hayo matatu, ndiyo sababu aliwahi kuwambia wananchi wa jimbo lake "you can go to hell".


lete vitu Mr. 0

duh!!! kawaambia hivyo ("you can go to hell)? mbona bado wanampa kura nyingi tena kwa kishindo katika kila chaguzi?

Huyu mzee ni hodari wa kuiba kura za wapinzani, nadhani hili ndio kubwa alilofanikiwa kwa Taifa (CCM).
 
Back
Top Bottom