Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,462
- 39,929
- Thread starter
- #61
Bi. Senti 50 nimeangalia maneno yako na wasiwasi walioonesha wakongwe wengine hapa. Nikuhakikishie kuwa hakuna mtu anayeogopwa hapa au kupendelewa. Hoja hujibiwa kwa hoja, na hoja zilizojaa matusi au zinazolazimishwa kwa matusi tunazipangua kila kukicha. So, zungumza ukijua ya kuwa hautakuwa peke yako na hakuna mtu ambaye ni mkubwa kuliko hii forum. Heshima ya Forum hii ni paramount! keep up the good work!