The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Hii inakuja around Tshs 9000Kila kadi around dola 5.96. Convert kwa hela ya madafu
Hii inakuja around Tshs 9000Kila kadi around dola 5.96. Convert kwa hela ya madafu
Kaka kama sikosei hili dili Masha litakuwa limemtoa pia.ni nchi ya kitu kidooogoo
ni nchi ya watu wadoogooo
ukitaka chai wewe kaka nunua tatepa
ukitaka pesa wee kaka
fanya serikaliiini
Mkuu i am also skeptic nikiangalia background of our shady dealsI am sure there is going to be some IPTL like ugly Malaysian shady deal somewhere there.
Huwezi kusikia Mtanzania anampa deal kama hili Mswidi, utasikia character za ajabu tu, mara Mfilipino, mara Muhindi, mara Mmalay.
I am sorry, not to be biased, but I can't help letting our track record guide me to skepticism.
Si bure.
Kwa nini Mfilipino, Muhindi na Mmalay ni "character za ajabu"?Huwezi kusikia Mtanzania anampa deal kama hili Mswidi, utasikia character za ajabu tu, mara Mfilipino, mara Muhindi, mara Mmalay.
thanks. Error noted!! Duh...nilikuwa nianzishe fujo huku! Lakini hii cost bado ipo around reasonable prices?
Kwa nini Mfilipino, Muhindi na Mmalay ni "character za ajabu"?
On my behalf it sounds reasonable. Hata mi nilifanya mahesabu kama yako mara ya kwanza.
Lakini sio waje kuzigawa kama njugu, watapata wakenya na wanigeria na sio watanzania
laana ya kufisadiwa bado ipo
Kiranga ukiongelea RITES nasikia hasira kweli.TICTS (MFilipino) , RITES (Mhindi), IPTL (Mmalay) .
Just based on recent history and track record like I have said before.
Tutakuja kusikia baada ya miaka michache uchafu unaoendelea, by then it will be too late.
Ningeweza kutaka kuwa politically correct and all that, lakini nikasema that's just not me.
Kiranga ukiongelea RITES nasikia hasira kweli.
Hao wenyewe wajinga kuliko hata sisi, mi nashangaa sijui ni alhaji waziri wa ndani katoa kwa mamwinyi wenzake wa malaysia, hawa wako nyuma sana.I am sure there is going to be some IPTL like ugly Malaysian shady deal somewhere there.
Huwezi kusikia Mtanzania anampa deal kama hili Mswidi, utasikia character za ajabu tu, mara Mfilipino, mara Muhindi, mara Mmalay.
I am sorry, not to be biased, but I can't help letting our track record guide me to skepticism.
Si bure.
Kuna wakati Rostam alikwenda kutafuta wawekezaji katika usafiri wa anga...Nafikiri sasa amepatikana mwekezaji wa kusafirisha fedha za watanzania kwa njia ya angani!That part of NIDA giving $9 million to Gotham International sounds fishy! We give NIDA a job to do and they simply hire someone else to do it, at our cost!
Kuna upuuzi hapa. Kwanini NIDA wapo kama sio wenyewe wanasimamia? Mie nadhani tumelizwa tena na mafisadi.
Hakuna lolote bali ni ubabaishaji. Talk about smart card hivi ni nchi ngapi duniani zinatoa smart card kama vitambulisho? Sipingi tuwe na vitambulisho lakini hii ni beyond reason kama kweli tunahitaji aina hiyo ya technology kwa nini tuwalipe Mafedhuli tena kwa kipindi cha miaka mitano tu fedha zote hizo then what? Technology ya kuweka chip kama kwenye credit card etc, haiwezi kuwa ghali kiasi hicho kama kweli serikali ina nia ya kuwasaidia Watanzania kuondokana na wageni kutafuna keki ya taifa tena bila kunawa mikono.
Inakuwaje fedha nyingi namna hii kutumiwa kuwanufaisha makuwadi wa nje. Je kama tukiwa na technologia ya namna hii sisi wenyewe itatugharimu kiasi gani? Je kwa nini tusiweze wenyewe kufanya hii shughuli na tunapenda kila wakati kuzipa faida nchi za wenzetu then tunalalamika hatuendelei. Ni wakati wa kupinga swala hili na kufanyika within our own country this technology can be bought na tuweze wenyewe kutengeneza plastic cards bila mkwaruzo. Nina uhakika kabisa haiwezi kuzidi hata $1 kwa sababu hutengenezi kidogo bali volume ndio inakupa faida hawa Mafisadi wanataka kutengeneza faida kwa kila card absolutely pathetic.
BTW kumbukeni Credit Cards zinatumia same type of technology na haziuzwi kwa bei mbaya kiasi hicho - kitu kitakachoongezwa ni picha pamoja na finger prints etc.