Malaysian firm picked to produce Tanzania National IDs

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,988
4,507
Kampuni ya Iris Corporation Bhd ya Malaysia imeshinda mkataba wa miaka mitano wa kutengeneza vitambulisho vya taifa wenye thamani ya dola 149 milioni za Marekani, sawa na Sh223 bilioni.

Mkataba huo umetolewa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Kulingana na mkataba huo, kampuni hiyo itatengeneza vitambulisho milioni 25 tu, vitambulisho hivyo vitakuwa katika mfumo wa teknolojia ya 'Smart card'.

Mkataba huo ni pamoja na kampuni hiyo ya Malaysia kuhughulikia masuala ya manunuzi, usambazaji, muundo na utekelezaji wa mradi huo.

Malaysian firm picked to produce national IDs
Monday, 25 April 2011 23:07

By Sylivester Ernest
The Citizen Reporter

Dar es Salaam. The government has finally picked a firm to take charge the over Sh200-billion national identification project. The firm, Iris Corp Bhd of Malaysia has been announced winner of the internationally floated tender and will commence production later this year. The National Identification Authority (NIDA) Executive Director, Mr Dickson Maimu, confirmed the development when The Citizen reached him on the phone for comment yesterday.

"It is true a Malaysian company won the contract but then, because of the Easter holidays, the official communication to that effect has not been released," said Mr Maimu, who added that the board of directors would meet and thereafter issue a public announcement by Friday.

He said NIDA had already signed the prerequisite contract, but "other sensitive issues were being worked out before a clear message is communicated to the general public."

Media reports in Malaysia reported yesterday that Iris Corp Bhd had won the five-year contract to issue 25 million National Identification cards (IDs) to qualifying Tanzanian citizens. The protracted deal, worth $149 million (about Sh200.2 billion) would involve procurement, supply, design, implementation, test, maintenance, support and commissioning of the national ID system based on modern Smartcard Technology.

Iris Corp Bhd announced on Friday that 36 months of the contract period would be for implementation while the other 24 months would involve maintenance and support services.

According to the company, the funds for the project would come from the Tanzanian government revenues and bank loans. Iris Corp Bhd also informed that it would set up a data centre and disaster recovery site, along with the required hardware, software including Automated Fingerprint Identification System and Services.

There would also be a National ID registry system and database including associated hardware, software, and services for the rollout of the enrolment system to 142 sites across the country and a personalisation system at a centralised site. According to the information, the company would also undertake the necessary post-implementation maintenance and support services including supply of spare parts.

The signing of the contract puts to rest the long process to search for an appropriate company to run the project that had earlier been shrouded in corruption claims. The government was forced to cancel the tender process several times as reports suggested some crooked politicians had attempted to interfere in the process for personal gain.

The Home Affairs ministry announced a few months ago that six companies would vie for the project. They included Unisy, Giesecke & Devrient, Iris Corporation and Madras Security Printers. Two consortiums included Marubeni Corporation in Partnership with Zetes and NEC as well as Tata Consultancy Services in Collaboration with On Track Innovations.

Two weeks ago the Controller and Auditor General Mr Ludovick Utouh said the project had been delayed despite a Cabinet approval four years ago. NIDA subsequently signed a contract with M/s Gotham International Limited in 2010 for provision of Management Consultancy Services for the establishment of a National Identification System, based on Smart Card Technology for a contract price of $9,000,000 (Sh12.6bn).

http://www.iris.com.my/
 
Lakini sio waje kuzigawa kama njugu, watapata wakenya na wanigeria na sio watanzania
laana ya kufisadiwa bado ipo
 
That part of NIDA giving $9 million to Gotham International sounds fishy! We give NIDA a job to do and they simply hire someone else to do it, at our cost!

Kuna upuuzi hapa. Kwanini NIDA wapo kama sio wenyewe wanasimamia? Mie nadhani tumelizwa tena na mafisadi.
 
tuliopo njé na hatufikiri kurudi ndani ya hiyo miaka 5 yao itakuwajé au 2tazipata ubalozini?
 
Lakini sio waje kuzigawa kama njugu, watapata wakenya na wanigeria na sio watanzania
laana ya kufisadiwa bado ipo

Mkuu, Serikali iliyokuwa madarakani imejaa uzembe wa hali ya juu, hivyo hilo la kupewa vitambulisho hivyo kwa wale ambao hawastahili lazima litatokea kama vile ilivyo passports zetu ambazo zimeshakutwa na watu ambao hawajui chochote kuhusu Tanzania na wala hawajawahi kukanyaga ndani ya nchi yetu.

Well, inaelekea kuwa BERNARD MEMBE is not as clean as he wants us to think. Lakini siwezi kusema conclusively kuwa ni clean. Kuna leaks kuwa Membe na Lowasa hawasemi kisa ni mradi wa VITAMBULISHO VYA TAIFA ambavyo wote wanataka kampuni zao zipewe hiyo tenda.

ASSAH .MMWAMBENE . (spin doctor wa MEMBE) najua kwa kutaka kudivert BAD news atakuja kumtetea bosi wake humu au atatuma jeshi lake kujaribu kudivert hii thread. The bottom line is laka huyo A.M anafanya kazi yake vizuri then leo hii Foreign wangekuwa na website.

Mindhali wana JF mshajiposition kupinga UFISADI then hii itakuwa nzuri kwa kuanzia mwaka.

Anyway issue imekaa hivi:
BERNARD MEMBE:
Membe alipotoka Singapore akaingiwa na huu wazimu wa ID cards kama zinazotumika kule Singapore. Mind you, Singapore ni moja kati ya totalitarian states duniani...na uchumi wake umekuwa at the expense of civil liberties. Membe anamtumia mpambe wake anaitwa bwana MWIKALO ambaye yuko USA kama front ya hiyo kampuni ambayo anata ipewe tenda ya ID CARDS

Idea aliyoipata Membe toka kule singapore/Malaysia ilikuwa ni ya Technology ya Smart Car /RFID ambayo wataala wanasema kuwa haitaweza kufanikiwa Tanzania.

Tatizo lingine ni kuwa proposal ya huu mradi wa Membe hautokuwa na masalahi kwa taifa kwani ni expensive sana. Bwana membe aliiendelea na shopping trips zake na kila aendako alikuwa anapata cheaper alternative wakati yeye alitaka expensive ili apate pesa nyingi zaidi.

By the way hao jamaa wa Gotham Consultants wanawakilishwa na the so called "local consultant" (mjukuu wake JKN) ambaye alishawekwa kwenye magazeti na Usalama wa Taifa kuwa ni tapeli ambaye anatumia jina la hiyo ofisi(nadhani nyie watu wa jikoni mnajua who i am talking about here).

LOWASSA

Waziri wetu mkuu mheshimiwa, ndugu yetu Edward Lowassa kupitia mwanae wenyewe wana propose technology ya 2D bar coding ambayo ni affordabale and applicable kwa Tanzania...sasa Membe anawafanyia fitna kwa JK ili kampuni ambayo ana maslahi nayo ipewe

MUNGAI

By the way sasa Mungai nae ana jaaa zake wa TehnoBrain. Hapa iko kazi...naye ashaanza ku lobby ili kampuni yake ipewe

RAIS_NA_MEMBE.jpg

MUNGU IBARIKI TANZANIA NA FIKRA ZA MWALIMU NYERERE

Inamaana zile pesa alizopewa na Gadafi zimekwisha kabla ya 2015?

topic hii hapa:

https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/1669-tanzania-national-identities-6.html

habari mnaweza kuona ililetwa mwaka gani
 
Huku si ndiyo kila siku viongozi wetu wa siasa wanakwenda lakini? Akiwemo gamba mmoja na hata wana jf fulani. Hakuna mguu au mkono wa mtu kweli humoooo?
 
MAMBO yameiva kwenye mradi wa vitambulisho vya taifa, baada ya Kampuni ya Iris Corporation Bhd ya Malaysia, kushinda zabuni na kusaini mkataba.
Taarifa zilizolifikia gazeti hili jana, zimeeleza kuwa mkataba huo wa miaka mitano, una thamani ya dola 149 milioni za Marekani, sawa na Sh223 bilioni.
 
Una copy ya mkataba?
ngumu sana ku-comment bila hata kuuona huo mkataba, kufanya hivyo tutakua hatuna tofauti na yule waziri aliyesaini mkataba hotelini au yule mwingine alikuwa wa fedha aliyesaini barua ya page mbili miaka michache badae akawa analalamika 'eti' kachomekewa na gavana eti alikua hajasoma hiyo barua
 
Immediate benefits za kuspend 200 bn kwenye hii ishu sasa as opposed to lets say improving teaching material at muhimbili ni nini?
Mimi kweli cjui hio electronic National ID itanisaidieje kimaisha. Tuelimishane.
 
Inamaana zile pesa alizopewa na Gadafi zimekwisha kabla ya 2015?

topic hii hapa:

https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/1669-tanzania-national-identities-6.html

habari mnaweza kuona ililetwa mwaka gani

Very juvenile way of discussing issues. Hivi kuna ajabu gani kwa watu kuingia kwenye management contracts katika miradi kama hii mradi waliopewa hiyo contract ni watu ambao wana uwezo na uendeshaji wa mambo hayo?

Huu upuuzi wa kudhani kwamba mradi huu ni wa JK au Membe tumeusikia muda mrefu na hakuna yeyote aliyethubutu kuja na ushahidi wa kutuonyesha uhusika wa hao jamaa katika suala hili la ID. Kwa vile kuna watu waliokuwa wanautolea macho mradi huu na wakaukosa, sasa tutasikia mengi sana. Lakini wajijue kwamba nchi hii wao hawana haki ya kupata kila kitu na pale wanabanwa walislete utapeli wao ndo wanaamua kuhamishia hoja hizo kwa watu wengine. Watuondolee upuuzi wao ili suala hili lipige hatua kwa maslahi ya taifa!
 
Habari ch ten wametangaza.tusubiri copy ya mkataba.malaysia company tupe vitambulisho.
 
Kampuni ya Iris Corporation Bhd ya Malaysia imeshinda mkataba wa miaka mitano wa kutengeneza vitambulisho vya taifa wenye thamani ya dola 149 milioni za Marekani, sawa na Sh223 bilioni.

Mkataba huo umetolewa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Kulingana na mkataba huo, kampuni hiyo itatengeneza vitambulisho milioni 25 tu, vitambulisho hivyo vitakuwa katika mfumo wa teknolojia ya 'Smart card’.

Mkataba huo ni pamoja na kampuni hiyo ya Malaysia kuhughulikia masuala ya manunuzi, usambazaji, muundo na utekelezaji wa mradi huo.

mkataba umesainiwa lini na wapi?au NIDA sijui NIDO inafanya kazi siku za Public holiday!au ilikuwa urgent?au....mwenye jibu jamani.
 
Nimeona kuwa tender ya kuchapicha na kusambaza vitambulisho vya Uraia Tanzania ni kutengeneza 25million IDs, je ina maana Watanzania tupo 25Million tu?

Source: The citizen

Media reports in Malaysia reported yesterday that Iris Corp Bhd had won the five-year contract to issue 25 million National Identification cards (IDs) to qualifying Tanzanian citizens. The protracted deal, worth $149 million (about Sh200.2 billion) would involve procurement, supply, design, implementation, test, maintenance, support and commissioning of the national ID system based on modern Smartcard Technology.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom