Malawi Yajiandaa Kuhalalisha Ukahaba

Norway ni nchi ya kwanza duniani kuwa mahali pazuri kwa kuishi lakini nilifika ktk mji wa stavanga na bila shaka nikauliza vipi red lights nikaambiwa ah....twende uchague....pale nilikuta wanorway, warusia, polish....waafrika n.k. na bei ilikuwa ni NOK100 short time...

Sasa huwa najiuliza hivi bongo jeuri tunaitoa wapi kuzuia ukahaba kama wanaotupa misaada wameruhusu na wanakusanya kodi?

JK hebu leta sheria hii haraka!!!
 
Uhakaba ndiyo nini? Hao mahakaba wa Malawi ni wazungu?

Amandla.......

Hawa ni wazungu waliokimbia Zimbabwe, naona hata wale wadada wa Uyole, Tukuyu na Kyela wapo njiani kwenda Malawi sasa kufanya biashara bila bughuza na kwa afya!
 
Mkuu sidhani kama kuna uhusiano wowote wa uhalalishaji na UKIMWI...
Endelea na dhana...
Unaongea kwa kiimani au unaongea kwa kutumia data?
Mkuu habari za UKIMWI unasubiri data ndo uamini kuwa watu wanateketea?
Tazama kwa mujibu taarifa zilizotolewa baada ya utafiti wa mwisho wa kugundua chanjo ya UKIMWI,uliofanywa kati ya serikali ya Marekani na Thailand...mbao umefanikiwa kugundua chanjo inayoweza kukinga kwa asilimia 31 tu...wametoa takwimu zao wanasema, kiasi ya watu 2.7 milioni wanaambukizwa UKiMWI kila mwaka..kati ya idadi hiyo...1.5 milioni ni maambukizo kutoka Afrika (kwasababu tofauti)...kwa takwimu hizo...wanasema kuwa ni wastani wa watu 7500 wanaombukizwa kila siku...ndugu UKIMWI upo na nchi ambazo zina mporomoko mkubwa wa maadili ndo zinachukuwa asilimia kubwa ya takwimu za hapo juu.Upo!
 
We bana nawe kwani nani hapo juu kakataa ukimwi haupo? Hapa ishu ni Kuhalalisha Ukahaba na Kuongezeka kwa Ukimwi! Lete data ya Nchi ambazo wamehalalisha Ukahaba kwa kutengewa sehemu na kutambuliwa na then compare na nchi ambazo zinapiga marufuku ukahaba....wapi maambukizi ya ukimwi ni makubwa!
 
Naona unawaza kibilisi bilisi tu.
 
Naona unawaza kibilisi bilisi tu.

Mkuu vipi umeishiwa point? Tumekupa mifano kuwa Uholanzi, Ubelgiji, Norway, hata huko Thailand na Marekani wameruhusu ukahaba nenda kwenye google angalia Preverence alafu ukitoka huko angalia nchi zilizopiga marufuku ikiwemo Tanzania, zambia, Msumbiji, Botswana, n.k alafu tupe data wapi ni wapi.

Kwa mfano ukienda Red Light Uholanzi kununua malaya na ukakataa kutumia kondom utashitakiwa na una weza kukuta unatumikia kifungo, Huoni kama tutakuwa na sheria kama hii tutawalinda makahaba na wateja wao? Hapa sio suala la Ibilisi, hata hayo mambo sio Ibilisi anatuambia tufanye some Biblia/Quran vizuri. Ibilisi alishafanya kazi yake ya kumdanganya Eva ikaisha sasa hivi ni sisi wenyewe tunaamua kufanya mema au mabaya.
 
Mkuu vipi umeishiwa point? Tumekupa mifano kuwa Uholanzi, Ubelgiji, Norway, hata huko Thailand na Marekani wameruhusu ukahaba .....
Kwa mfano ukienda Red Light Uholanzi kununua malaya na ukakataa kutumia kondom utashitakiwa na una weza kukuta unatumikia kifungo, Huoni kama tutakuwa na sheria kama hii tutawalinda makahaba na wateja wao?
Eti ndo Great Thinker huyu....!!!!
 
Back
Top Bottom