Malawi watoa cartoon ya baada ya Tanzania kutoa ramani mpya

Kwa Cartoon hiyo inamaana RAIS WA TZ ANAONEKANA KAMA MWOGA FLANI EEH?

haamna....anaonekana tu ni asiyeaminika.... wakati huo huo huyoo mama aliyewekwa madarakani na tb joshua kwao wanamimina tu sala..... na hawaoni kitu so far...they cant prohesize!!! tehetyeheteheQ!!!!!
 
Cartoon-MW-vs-TZ.jpg

] Joyce-Banda-Kikwete.jpg Joyce-Banda5.jpg
 
[h=1]Malawi President, opposition leaders discuss Tanzania dispute0[/h]
[h=1]Tanzania stick to their guns in Lake Malawi border dispute: Demands 50%[/h]
 
wale hawana kitu cha maana sema tu watz hatutaki vita ila wale inafaa mnawapiga kwao kama USA afanyavyo

Jama tukubali tulichemka siku nyingi sana kuhusu mpaka na malawi, hivi leo kagua vu
vitabu vyakufudishia mashuleni, mpaka waziwa kwaupande wa TZ upo nchi kavu, ziwa lote lipo malawi, na jina la ziwa ni ziwa malawi, vitabu vimehakikiwa na kusainiwa na mamlaka ya wizara ya elimu ( EMAC) inayothibitisha na kuhakiki vitabu vyote vya kufundishia, na vimesainiwa na mwenyekiti wa mamlaka hiyo Bw Musaroche.

Sasa swala la kuwapiga litoke wapi? Tumekurupuka, tutafute busara ktk hilo.

Tafakari..................chukua hatua.............vaa uzalendo.
 
Hiyo suti ni ya YANGA au ya CCM? Maana kote yupo

Yawezekana pia ikawa magwanda ya TDF! Hapa ni kwa sababu Msanii kampa mhusika wake mavazi nusunusu, yaani nusu askari na nusu nyingine suti, akiamaanisha Unasiasa! Kwa ujumla Ujumbe UNASADIFU na hali halisi ya undumilakuwili wa Mhusika.
 
Jama tukubali tulichemka siku nyingi sana kuhusu mpaka na malawi, hivi leo kagua vu
vitabu vyakufudishia mashuleni, mpaka waziwa kwaupande wa TZ upo nchi kavu, ziwa lote lipo malawi, na jina la ziwa ni ziwa malawi, vitabu vimehakikiwa na kusainiwa na mamlaka ya wizara ya elimu ( EMAC) inayothibitisha na kuhakiki vitabu vyote vya kufundishia, na vimesainiwa na mwenyekiti wa mamlaka hiyo Bw Musaroche.

Sasa swala la kuwapiga litoke wapi? Tumekurupuka, tutafute busara ktk hilo.

Tafakari..................chukua hatua.............vaa uzalendo.

Nadhani unafikiri kwa kutumia kitu tofauti na ubongo!
 
Kwenye hiyo picha JK ana pande mbili pia,nusu amevaa kijeshi na nusu Kiraia.Hawa jamaa wanamdhihaki Rais wao!

Huyu mama ni mlokole na hana experience nzuri sana ktk ukorofi au issue za kimataifa zinazoambatana na fitna nyingi,sasa wakorofi wa malawi ambao ni design ya akina Zitto, ngeleja ,manji na Rostam ndio wanamletea docuemnet na ushauri unaomwaminisha huyu mama kuwa ziwa ni lao.So huyu mama anafanya kile anachoamini kuwa ni haki yao.Ila ulokole unamwambia kuwa vita si njema.

Mama alipomwappoach, naye akaongea lugha ya mani huku nyuma akiweka vitisho(carrot and stick), wamalawi wakanza hisi tumewageuka na tunaweza wachapa.Kwa vile hata hao waliopo nyuma ya mama ni waoga tena sana.Wakaamu mpa mama ushuri mwingin huku wakijtahidi cheza na ulokole wake ,wakaja na ushauri kuwa mama ajitoe ktk mazungunzo kwa vile Tanzania si partners waaminifu.Kwa huyu mama uaminifu ni kitu kizuri sana , kwa kuaminika alikoambiwa kuwa Tz sio ndio kumenfanya mama awaone watanzania kama wahuni.

Hao jamaa wanaoshape policy za malawi kama mafisadi wa bongo wana wapiga debe wakubwa sana nyuma yao wanaowafagilia kuw ani ma expert wa siasa za kimataifa na hivyo mama hawezi kwenda bila wao.So mama anacheza picha anayoiona kuwa sahihi na ya Kumcha Mungu ktk akili zake,ila kw aupande wa pili anafany akazi ya mafisadi kama ilivyo hapa kwetu.Mkapa alianzisha TRA,PCB etc kumbe alikuw akaindaa platforma ya hili genge la kijambazi leo.Yeye aliletewa CV za watu waliokuwa agent wa mtandao.Baadaye ndio kam aunavyoona,Tenda,Chenge, werema, Hosea na wengine.

Siku mama anaamka kugundua kuwa alikuwa anatumika bila kujijua kama si wao kumuua basi ni wao kukumbana na matatizo.Nadhani Media za kibongo ndo kipindi zinabidi zianze watengenezea doubt wamalawi ili wengine wajiulize maswali ya msingi.Hata mama mwenyewe naye ajikuta akiangalia upande wa pili wa fikra.

Wao wanatengeneza false belief kwa mama sisi tuna tengeneza sense of doubt kwa kila kitu anacholishwa huko kao, na ikiwezekana Intelligence yetu ije na ushahidi atakaopewa mama.Na jumui ay akimataifa kuwa mama anatumika na mitandao ya kifisadi bila kujijua kwa malengo ya kutengeza faida haramu kubwa.
 
hapana,kwa hapa JK kaonekana mjanja zaidi, angalia essence ya kumchora kavaa nnusu jeshi nusu raia,kushika pistol,wanajeshi na vifaru nyuma yake

Kutoaminika hakuaaminishi kuw ani mjanja.Kunaweza maanisha kuwa upo easily influenced na un-reliable.yaani kama toto lako ukilikanya lisiwafuate wavuta bangi waliolifundisha,mnakubalina ila likitoka nje na kuwaona wavuta bangi wakilipiga madongo kuwa wewe mtoto wa mama huwezi hii life haraka linakurupuka kuosha jina halafu baada ya muda linajiuliza jinsi ya kurudi nyumbani.Huyu si mjana ila ni dhaifu in character na haaminiki akiachiwa katika dunia kwa lolote.Kwani yeye hana fikra huru na yupo tayari kufuata lolote kama wapendavyo watu wengine.

Au uwe na mke ambaye anajiapiza kuwa uzinzi basi ila baada ya kukutana na mshoga zake na wanaume popote basi yeye anchoweza fanya ni kujutia tuu kuwa ni shetani,ni vishawishi etc.Ila si kuzuia hiyo hali.

Jk kaahidi kila kila alipokwenda,kaahidi miskitini, na makanisani na mengi yakiwa hayatekelezeki.Amekuwa na kila kitu kama kipaumbele.Sasa kwanini wamalawi kam walimu assess kwa hayo wamwone anaaminika?
 
Jama tukubali tulichemka siku nyingi sana kuhusu mpaka na malawi, hivi leo kagua vu
vitabu vyakufudishia mashuleni, mpaka waziwa kwaupande wa TZ upo nchi kavu, ziwa lote lipo malawi, na jina la ziwa ni ziwa malawi, vitabu vimehakikiwa na kusainiwa na mamlaka ya wizara ya elimu ( EMAC) inayothibitisha na kuhakiki vitabu vyote vya kufundishia, na vimesainiwa na mwenyekiti wa mamlaka hiyo Bw Musaroche.

Sasa swala la kuwapiga litoke wapi? Tumekurupuka, tutafute busara ktk hilo.

Tafakari..................chukua hatua.............vaa uzalendo.

Tumechemka juzijuzi baada ya mungai kuanza badili kila kitu vitabu vikachapwa na kila mhuni humo ndani wanaweza kuwepo watu wenye agenda za malawi.Mimi nilisomea kitabu kilichogawanya ziwa vipande vitatu msumbiji wakiwa na kidogo, malawi wakiwa na kikumbwa tanzania wakiwa na cha kati kwa vile sehemu ilimegwa na msumbiji.

Nilikuwa mchoraji bora wa ramani shuleni kwa vile nilikuwa na ulewa mkubwa sana giographia ya dunia na tanzania mara kibao .Michoro yangu ilikuwa ikitumika katika illustrations za shule.


Kwa logic yako ni kwamba unataka sema Ziwa Tangantika ni letu lote.Jamani jifunze kujua mambo vyma na kufikiri vyema.Nyie ndio mnaopewa mchi halafu mnakwenda na hizi fikra kwa wamalawi.
 
SISI tuzungumzie amani, vita haitamnufaisha yeyote awe malawi au tanzania. kama ziwani kuna mafuta ndio kabisa wazungu watatuzunguka sisi na wamalawi na wataondoka wakituacha tukiwa hatuelewani.
 
Presidaa wetu ni mwanajeshi ambaye amechaguliwa kiraia, hivyo hiyo picha inaonyesha hivyo, lakini pia tahadhari ni muhimu pamoja na diplomacy negotiation yote. Hapa jf watu wanajadiri watu badala ya kujadiri meseji iliyopo kwenye katuni. Aliyehora hiyo katuni ukimwuliza utajisitikitia kwa unavyodhani. Lakini kuhusu mavazi; mavazi ya JK ni bendera ya Taifa (angalia vizuri) sijui Bi Joyce kuhusu vazi lake maana sina ufahamu mzuri kuhusu Malawi. Ukienda zaidi kwenye cartoon hii utaona kuwa Jk anatumia diplomacy lakini mawazoni mwake ni kuwa ikishindikana atatumia njia nyingine kulinda mipaka yetu
 
Wamarekani wapo nyuma yetu, msiogope! Mbona tulipoenda Comoro walitusaidia kwenye logistics na tukafanikiwa kuuza sura!

Sema Mwingereza hayuko tayari kupiganishwa na Mmarekani maana yake Tanzania kupigana na Malawi ni sawa na Marekani kupigana na Uingereza respectively

We jipe moyo tu! Wamarekani hawana rafiki. Urafiki wao uko ki-maslahi zaidi.
 
Ndio ameingizwa hivyo.kwani aliingiaje baraza la mitihani na issue za muungano?

mbona issue ya necta inawauma sana?inaonekana mnamaslahi napo mnajua akitoka seminary zitakua haziongozi.ok turudi kwenye topic yetu picha ya jk na mama banda comment huko ndugu
 

Mchoraji ametoa tahadhari kwa wamalawi katika picha yake! Ni kama vile anasema, "Mama mbona huyo msoja hatabasamu kama kawaida yake na hakuangalii usoni akauona uzuri wako na kukuachia hilo swimming pool? Oohoo, mpe neno la sivyo atakuua kama anamwua nyani bila kumwangalia usoni."
 
mbona issue ya necta inawauma sana?inaonekana mnamaslahi napo mnajua akitoka seminary zitakua haziongozi.ok turudi kwenye topic yetu picha ya jk na mama banda comment huko ndugu

Itakuwa ngumu sana.Waislam waliosoma seminary na kufikia kumaliza shule salama walifaulu.Ila mkawaharibu na mafundisho yenu kuwa wenzao wamependelewa.

Kwa vile dini huwaogopesha sana wakashindwa sema ukweli jinsi wenzao walivyojipangia na kusimamia viwango walivyojiwekea, ni rahisi kuwa wanafiki kama walivyo wengine.

Christians will come up with millions of ways to show islam other opportunities in life.Ndipo waislam watarudi tena ktk ground zero ya kulalamika.
 
[h=2][/h]
Featured National President Joyce Banda maintains that the entire Lake Malawi belongs to Malawians as stipulated in the information and data they have retrieved and has substantial and legal signatures by the colonial masters.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom