Malawi watoa cartoon ya baada ya Tanzania kutoa ramani mpya

ukiichunguza kiumakini hii picha utaona mama kashika "KITU KAMA BIBLE" au kabrasha kubwa mkono mmoja na JK kashika CHA MOTO mkono mmkoja ina maana wanaotafuta amani ni wamalawi lakini WASWAHILI tunatafuta VITA.....
 
Wamalawi wamempatia jamaa yetu maana huwa hatabiriki. Na kusema ukweli mama Banda anadanganywa. Jamaa yetu ni mtoto wa mjini na hachelewi kubadilika. yeye huenda na upepo. Wamalawi watapigwa wasipoangalia
Cartoon-MW-vs-TZ.jpg
 
Maana ya i cant prophesy kwenye kanisa kule nyuma ,ina mlenga mchungaji tb joshua ambako huyu mama banda ana sali huko kwake ikumbukwe huyu jama ndie alitabiri kifo cha mutharika wa malawi,Ila kwa nn wame mvalisha huyo mama rangi nyekundu na sisi kijani/

wanasubiri amutabilie lakini kimya; kwanini yupo kimya mapaka sasa mchungaji Joshua
 
Huwa napenda sana maamuzi ya USA wao.ukiwazingua wanakufata kwako hawakusubiri hata kidogo yaani unapigwa hadi unawaomba msamaha wana wivu.na mafuta yetu heheh
 

Picha inazungumza mengi sana, kwamba Rais wetu ana sura mbili, ya Kiraia upande wake wa kushoto na wa kijeshi upande wake wa kulia.

Anaenda kuongea na Rais mwenzie wakati nyuma kuna majeshi na helikopta zana ambaa angani na yeye mwenyewe ana bastola.

Wakati raisi wa Malawi anakubaliana na rais wetu kuwa hakuna vita wananchi wa malawi wanasema hawawezi kuprophesize.
 
Kwanini wakati wa uongozi wa marais waliopita hawa wamalawi/wanyasa hawakuwai kudai lile ziwa ila kioindi hiki tu cha "******" ndo wanalidai sana hili ziwa au nao washamjua.......tafakari!!!
 
halafu kule nyuma ya JK kichakani kuna wanajeshi,halafu JK mwenyewe kama kashika bastola,ndo mana mmama haamini,halafu angalia kuna helikopta kwa chini yake wameandika "smile",ina maana jamaa mpaka wanafaham smile ya JK?
sio bastola, ni ile ya kutoa alert ya kutimiza amri.
For once tumepata faida ya kuwa na prezidaaa handsome,lol
 
ukiichunguza kumakini hii picha utaona mama kashika "KITU KAMA BIBLE" au kabrasha kubwa mkono mmoja na JK kashika CHA MOTO mkono mmkoja ina maana wanaotafuta amani ni wamalawi lakini WASWAHILI tunatafuta VITA.....

Ndugu, ukichunguza nini? lugha gongana, mh!
 
Wamarekani wapo nyuma yetu, msiogope! Mbona tulipoenda Comoro walitusaidia kwenye logistics na tukafanikiwa kuuza sura!

Sema Mwingereza hayuko tayari kupiganishwa na Mmarekani maana yake Tanzania kupigana na Malawi ni sawa na Marekani kupigana na Uingereza respectively

na mchina mlompa visima mtwara? Hayupo nyuma yetu pia?
 

Chini ya cartoon hii yapo maneno:
We want peace and we want Tz to stop being a nuisance but smiling to a person who is threatening to kill you and your people for what is yours does not give a good picture at all!
 
Kwanini wakati wa uongozi wa marais waliopita hawa wamalawi/wanyasa hawakuwai kudai lile ziwa ila kioindi hiki tu cha "******" ndo wanalidai sana hili ziwa au nao washamjua.......tafakari!!!

Alishawahi Presidaa Kamunzu Banda kudai ziwa hili, sasa huyu mwanamama Banda anajaribu kuvunja mfupa uliomshinda ndugu yake (Kamuzu).
 

The message from the graphic is clear and straightforward; in short they (the cartoonists) are telling their President that never trust these people (Tanzanians) regardless of how soft their words (from Kikwete) are. Look at the horizons, we're almost to be attacked; deploy the army for battle NOW - no more prophecies. In short it is a declaration of war from the media side.
 
Katika picha yapo mambo mengi mimi ninavyoona:
1.JK yupo kataiaka taaswira mbili akisaliamiana kama Rais (raia) huku upande wa pili ameficha uaskari wake kwa tai kubwa ikificha bastola yake.
2.Nibaada ya ya ndege za uchunguzi wamaeneo ya mafuta ndio yaliyoibua sekeseke la mpaka.
3.Wamesimama katiak eneo lenye mzozo huku wakikabiliwa na viumbe wakali (nyoka).wakitishia mustskabari mzima wa makubaliano(uingereza).
4. Askari wa Tz wakisubiri amari ya Amirijeshi kuanza kazi .
5. Mama (Banda) akimtegemea Mungu kanisa pembeni
 
Back
Top Bottom