Malawi wao wamepiga marufuku international trip kwa viongozi wote wa uma, vip kwetu inawezekana?

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
malawi baada ya kukoswakoswa wao wamepiga marufuku safari za viongozi wao nje ya nchi, hii ni ili wabane matumizi, vipi bongo? Inawezekana? Make christopher columba anazidi kudiscover dunia
 
Utapinga safari za nje wakati nchi yako inategemea kuomba misaada!. Mwambie Kikwete apige simu kwa obama aombe $300 Million kama atapewa!. Misaada inataka uwe na business case ukweli ni kwamba kama nchi yako inategemea misaaada basi itabidi usafiri hakuna njia!. Hivyo kupinga kusafiri ni kutokujua nchi yetu inaendeleaje kuanzia kwenye afya, elimu, mazingira ni misaada tu. Sijui nchi nyingine lakini hapa USA Uje na sababu za kupewa msaada!!!. Malawi sio nchi ya kuiga ni pwagu na pwaguzi!
 
utapinga safari za nje wakati nchi yako inategemea kuomba misaada!. Mwambie kikwete apige simu kwa obama aombe $300 million kama atapewa!. Misaada inataka uwe na business case ukweli ni kwamba kama nchi yako inategemea misaaada basi itabidi usafiri hakuna njia!. Hivyo kupinga kusafiri ni kutokujua nchi yetu inaendeleaje kuanzia kwenye afya, elimu, mazingira ni misaada tu. Sijui nchi nyingine lakini hapa usa uje na sababu za kupewa msaada!!!. Malawi sio nchi ya kuiga ni pwagu na pwaguzi!

mbona nchi zingine kama kenya, rwanda viongozi wao hawasafiri sana? Hapo inakuwaje? Unaamini ziara zote za nje ya nchi ni za kuomba misaada?
 
Nani atapitisha ili iwe sheria wakati wabunge wetu kila mmoja anajidai dakitari wa kuunga mikono....
 
Hivi Tanzania ilishawahi ku-turn down mwaliko wowote wa Mataifa ya nje... i bet inawezekana haijawahi tokea.
 
Tanzania hali yetu kiuchumi mbaya, lakini ya Malawi sijui nitumie maneno gani - it is very bad. Wa Mutharika na uprofesa wake amekuwa kituko. He has thrown that country to the dogs!
 
tanzania hali yetu kiuchumi mbaya, lakini ya malawi sijui nitumie maneno gani - it is very bad. Wa mutharika na uprofesa wake amekuwa kituko. He has thrown that country to the dogs!

c kweli, malawi wako freshi hata katika swala la agriculture wamepiga hatua sana, kule kilimo kwanza kina tekelezwa kwa vitendo c huku porojo tu.

Kwa kifupi viongozi watanzania wanapenda kusafiri sana, na hwa wanaenda kuwakilisha familia zao huko
 
Utapinga safari za nje wakati nchi yako inategemea kuomba misaada!. Mwambie Kikwete apige simu kwa obama aombe $300 Million kama atapewa!. Misaada inataka uwe na business case ukweli ni kwamba kama nchi yako inategemea misaaada basi itabidi usafiri hakuna njia!. Hivyo kupinga kusafiri ni kutokujua nchi yetu inaendeleaje kuanzia kwenye afya, elimu, mazingira ni misaada tu. Sijui nchi nyingine lakini hapa USA Uje na sababu za kupewa msaada!!!. Malawi sio nchi ya kuiga ni pwagu na pwaguzi!

Kwa nini nchi hii itegemee misaada?
 
c kweli, malawi wako freshi hata katika swala la agriculture wamepiga hatua sana, kule kilimo kwanza kina tekelezwa kwa vitendo c huku porojo tu.

Kwa kifupi viongozi watanzania wanapenda kusafiri sana, na hwa wanaenda kuwakilisha familia zao huko

Komando, nilichosema nina uhakika nacho. Rafiki yangu yuko huko kama expatriate ni hivi ninavyoandika mke wake karudi Tanzania, mambo yamebadilika kuliko. Strangely enough Wa Mutharika anashauriana na Mugabe!.

Na kuhusu kilimo, pamoja na matatizo yetu Tanzania wanawapita kwa mbali kwenye agricultural research, na hata food production (Statistically) Sijui wewe umetembelea mashamba mangapi hapa Tanzania. Yes, mambo mengi hapa nyumbani yanaenda sivyo lakini kuna vitu tumepiga hatua, na pengine hoja hapa ni kwamba tungetakiwa tuwe tumepiga hatua zaidi kwa sababu tuna resources nyingi.

Lakini asikudanye mtu, Malawi hawajatupita. kumbuka Geograophically hizi nchi mbili ni tofauti sana. Tanzania ni kubwa watu million 44 na ushei Malawi hawafiki hata miliono 12.
 
Back
Top Bottom