Malawi wameiva kidiplomasia kuliko Tanzania?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Malawi imesitisha shughuli za kutafuta mafuta na gas kwenye eneo la ziwa Nyasa lenye utata. Tanzania ilionekana kuchachamaa na kutaka kupigana vita. Je, aliyetaka kupigana na ambaye ameamua kufuata njia zinazofaa kimataifa ni yupi amekomaa kisiasa na kidiplomasia? Malawi haikuwa na option ya vita on the table lakini Tanzania ilionesha kuwa na option hiyo on the table, je haikuwa tayari deals za kununua silaha na matumizi mabovu katika vita zimechongwa? Thanks Malawi for the wisest decision!!

Source: Mwananchi 10/08/2012
 
sisi sio kwamba tunataka vita..tatizo la wabongo mikwara imezidi...mara ngapi tunatishia tutafanya kitu hatufanyi? huo ulikua ni mkwara na malawi wameingia mkenge...
 
Wamesitisha kwakuwa wameona mkwara wetu mzito otherwise tungewaachia ungesikia sasa hivi wapo Mbeya wanatafuta gesi.
 
Wangekuwa wameiva kidiplomasia wangekaa mezani na Tanzania kabla ya kuipa tenda kampuni ya kigeni kufanya utafiti kwenye ziwa letu.
 
Hakuna kuiva apo ni kuoza kidiplomasia!
Unajua fika ziwa si lako lote unacommission kampuni kufanya utafiti wa mafuta bila kushirikiana na jirani
 
Wangekuwa wameiva kidiplomasia wangekaa mezani na Tanzania kabla ya kuipa tenda kampuni ya kigeni kufanya utafiti kwenye ziwa letu.

Na kwa taarifa tu Tanzania ni nchi moja wapo inayosifika kwa kuwa na diplomasia ya hali ya juu katika nyanja za kimataifa.
Hawa Malawi hawana sifa hizo na wala hawafui dafu kwa wa TZ.
Wamekosa busara kabisa na weredi wao ni mdogo sana.
Wana asili ya chokochoko. laiti wangeelewa hata kidogo madhara ya mawimbi wangeweza kuwa na busara ya kuliangalia hili kwa mapana.
Wameogopa kichapo, kwani hawaiwezi TZ kwa kichapo, wakamua kifyata mkia.
Waende zao huko!
 
Malawi imesitisha shughuli za kutafuta mafuta na gas kwenye eneo la ziwa Nyasa lenye utata. Tanzania ilionekana kuchachamaa na kutaka kupigana vita. Je, aliyetaka kupigana na ambaye ameamua kufuata njia zinazofaa kimataifa ni yupi amekomaa kisiasa na kidiplomasia? Malawi haikuwa na option ya vita on the table lakini Tanzania ilionesha kuwa na option hiyo on the table, je haikuwa tayari deals za kununua silaha na matumizi mabovu katika vita zimechongwa? Thanks Malawi for the wisest decision!!

Source: Mwananchi 10/08/2012

Wangekuwa wanataka Diplomasia wasingetangazia dunia kuwa Lake Malawi lote ni lakwao. wangesubri vikao. Mkwara wa TZi kiboko na naunga mkono kabisa hata tungewaonjesha mabomu ya Mbagala
 
Malawi imesitisha shughuli za kutafuta mafuta na gas kwenye eneo la ziwa Nyasa lenye utata. Tanzania ilionekana kuchachamaa na kutaka kupigana vita. Je, aliyetaka kupigana na ambaye ameamua kufuata njia zinazofaa kimataifa ni yupi amekomaa kisiasa na kidiplomasia? Malawi haikuwa na option ya vita on the table lakini Tanzania ilionesha kuwa na option hiyo on the table, je haikuwa tayari deals za kununua silaha na matumizi mabovu katika vita zimechongwa? Thanks Malawi for the wisest decision!!

Source: Mwananchi 10/08/2012

May the diplomatic approach taken by the Malawi government make our HOWLERS get back on their senses...WAACHE UPUMBAVU WA KUHAMISHA MAWAZO YA WANANCHI TOKA KATIKA MAMBO YA MSINGI NA KUYAHAMISHIA KWENYE MAMBO YA USANIII!!!!

Enyi viongozi; kama mko tayari kwa vita PIGANENI NA WIZI NDANI YA SERIKALI NA KATIKA ROHO ZENU KABLA HAMJAWAZA MALAWI wana mpango gani na ziwa! NYASA!!
 
mh! unapambana na ufisadi huku wamalawi wanakuja!
 
Wamesitisha kwakuwa wameona mkwara wetu mzito otherwise tungewaachia ungesikia sasa hivi wapo Mbeya wanatafuta gesi.

sisi sio kwamba tunataka vita..tatizo la wabongo mikwara imezidi...mara ngapi tunatishia tutafanya kitu hatufanyi? huo ulikua ni mkwara na malawi wameingia mkenge...

People.gif
 
sidhani kama wameiva kidiplomasia! kwani wanajua fika kua hilo ziwa bado linamgogoro tokea enzi na enzi! Kama wameiva kidiplomasia wangeajulisha upande wa pili ili wazungumze lakini hawakufanya hivyo! Uzuri ni kua wametujulisha kua kuna natural resource zakutosha once mgogoro ukiisha tunatafuta wa china tunachimba
 
Na kwa taarifa tu Tanzania ni nchi moja wapo inayosifika kwa kuwa na diplomasia ya hali ya juu katika nyanja za kimataifa.
Hawa Malawi hawana sifa hizo na wala hawafui dafu kwa wa TZ.
Wamekosa busara kabisa na weredi wao ni mdogo sana.
Wana asili ya chokochoko. laiti wangeelewa hata kidogo madhara ya mawimbi wangeweza kuwa na busara ya kuliangalia hili kwa mapana.
Wameogopa kichapo, kwani hawaiwezi TZ kwa kichapo, wakamua kifyata mkia.
Waende zao huko!

Nadhani unazungumzia miaka ya sabini!
 
Sijui kama kweli Malawi wameiva kidiplomasia kwani matamshi ya waziri wa mambo ya nje ya awali yalikuwa ya kibabe. Nadhani kuwa huyu mama rais wa malawi ndiye ana busara zaidi kuliko hata Lowasa na Sitta. Viongozi hawa wa Tanzania walifanya makosa makubwa ya kidiplomasia kuanza kutangaza uwezekano wa kupeleka majeshi mpakani na hivyo kusababisha mtafaruku wa kidplomasia ambao haukuwa wa lazima. Ingawa sheria za kihistoria zinayumba sana kuhusu mpaka huo (nina collection ya documents nyingi sana za kiingereza, kijerumani na za kireno zilizoandikwa kati ya mwaka 1883 na mwaka 1910 ambazo zinacomplicate madai ya nchi zote mbili), Tanzania ambayo ni nchi kubwa kuliko Malawi inatakiwa ndiyo iwe na busara zaidi katika kutatua mgogoro wa mpaka huo. Mimi ningekuwa nina madaraka kwenye serikali ya Tanzania huenda ningekubali kuwapa wamalawi kitu fulani nchini Tanzania (ambacho hawana huko Malawi) kusudi tumalize kwa amani bila hata kuingiliwa na mataifa ya nje mgogoro huu wa mpaka ambao umedumu tangu tupate uhuru. Kwa mfano nigewapa gati maalumu bandarini Dar na kuwapa eneo maalumu kwa ajili yao tu kwa miaka hamsini au zaidi ili wawezekutumia eno hilo na gati hilo kusafirishia na kupokea mizigo yao nje ya nchi bila kuingiliwa na mamlaka ya Tanzania, yaani iwe kama vile wako Malawi tu. Chini ya mkubaliano hayo nigewakubalia pia kuwaruhusu watu wao idadi kadhaa waje kufanya kazi kwenye gati hilo kwa masharti rahisi sana. Iwapo wakoloni walikuwa wanaweza kuandikiana Treaties ambazo leo ndiyo eti zinatuongoza zaidi ya karne moja, ni aibu kwetu kushindwa kumaliza mgogoro huu mdogo kwa kuweka treaties zetu tunazokubalina nazo bila kupigana.
 
Tunajiaminisha saana

huku maswali kibao hatujiuulizi

Was it a coincidence kuwa Hillary Clinton alienda Malawi na Kenya na kutokuja kwetu?

What if Malawi wana watu wanaoipa jeuri?

what if kuna watu wamebuni njia ya kupata gesi na mafuta hapo kwa kuanzisha vita kwanza?

is it a coincidence nchi karibu zote za Kiafrica zenye mafuta zina vita??
 
Aje kwetu mara ngapi?
Hakuna nchi itakayoipa Malawi jeuri, hawana kitu. Hata hivyo, so what?
Yaani hata kuogelea ziwa Nyasa na passport??
 
the agression of Tanzania esp from top govt officials was uncalled for. For example in the migingo fiasco, Kenya had the might tons over Uganda but never bullied her, alot was there to loose than just a neighbour. Infact the then Chief of Defence Forces, Jeremiah Kianga laughed off the matter and diffused it in such a manner to insinuate the confrontation was too miniscule to really warrant a military mop up exercise.
Tanzania would have let 2nd class politicians to do the noisemaking, *the message would still be passed* but not the executive, duh! How will this two states forge ahead? In malawis book, Tanzania has booked a spot as a hostile neighbour. Such threats go a long way in determining govt-govt bilateral trade agreements which am sure Tanzania the bigger sibling of the two states is set to lose out in the coming days. Malawi will grow some day, her market too, her industries and her gross cosmopolitan requirements which will one day surpass her national industry output/capacity. Tanzania being her immediate neighbour (by virtue of geographical advantage) is/was poised to be the biggest beneficiary to this virgin market....lemmie cut the cake in the middle, i call this aggression to a neighbour myopic. Tanzania should have exhausted all her diplomatic avenues before drumming for war but in this case the latter took center stage.
 
Baada ya kupigwa Mkwara wenyewe wamenywea.

Wasituletee ujinga wa mipaka isiyokuwepo. Wakae chini waongelee wapi tupige mstari, no more no less. Wakijidai sijui ramani ya 1890, sisi tunayo toka ya alipokuja Ibn Batuta ilipokuwa yote hiyo ni zenj empire, na yote ilikuwa chini ya himaya ya Zenj mpaka Zimbabwe. Wasilete za kuleta.
 
Back
Top Bottom